Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajasiriamali 6,000 wasotea mikopo NSSF

Wajasiriamali ambao ni wanachama wa Vicoba mikoa ya Kilimanjaro na Arusha, wamelalamikia kucheleweshewa mikopo waliyoahidiwa na Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), tangu Mei, mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Zaidi ya Wajasiriamali 17,000 wajikwamua kiuchumi kupitia Mikopo ya Benki Ya Wanawake

Zaidi ya wanawake wajasiriamali 17,000 wamejikwamua kiuchumi kutokana na kupata mitaji kwa njia ya mikopo kutoka Benki ya wanawake ambayo imekuwa ikitoa mikopo ya viwango vya aina mbalimbali kusaidia wajasiriamali.

Benki hiyo ya wanawake ambayo imetimiza miaka 6 tangu kuanzishwa kwake imeweza kutengeneza faida kubwa kutokana na kuboresha huduma zake katika matawi mbalimbali nchini.

 Benki ya wanawake Tanzania imekuwa miiongoni mwa Benki ambayo imekuwa mstari wa mbele kusaidia wananchi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wajasiriamali waomba mikopo nafuu

Wajasiriamali wadogo wamezitaka taasisi za fedha kupunguza riba na masharti, ili kuwasaidia kujikwamua na umaskini kwa kuwapatia mitaji.

 

9 years ago

Michuzi

NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA WAJASIRIAMALI

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori akizungumza na Afisa Mwandamizi Matekelezo wa NSSF, Theopista Muheta (kulia) na Afisa Masoko na Uhusiano wa NSSF, Aisha Sango wakati wa maonesho ya 16 ya wajasiriamali wa Sekta isiyo rasmi Afrika Mashariki yanayoendelea kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. (Na Mpigapicha Wetu).Afisa Matekelezo Sekta Binafsi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Edwin Kafanabo akitoa maelezo jinsi ya kujiunga kwa hiari uanachama wa...

 

11 years ago

Mwananchi

NSSF yapongezwa kuwawezesha wajasiriamali

Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Batilda-Salha Buriani amepongeza Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa harakati chanya za kuwakomboa wajasiriamali wakubwa na wadogo, waliopo nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

 

11 years ago

Tanzania Daima

NSSF yapongezwa kuwakomboa wajasiriamali

BALOZI wa Tanzania nchini Kenya, Dk. Batilda Buriani, amelipongeza Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwa harakati chanya za kuwakomboa wajasiriamali wakubwa na wadogo walio katika nchi wanachama...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NSSF kuwafikia wajasiriamali milioni 22

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), limepanga kuwafikia wajasiriamali zaidi ya milioni 22 walio katika sekta isiyo rasmi, ili wajiunge na mfuko huo. Meneja wa Mafao wa shirika...

 

9 years ago

GPL

MIKOPO KWA WAJASIRIAMALI WA KATI NA WAFANYAKAZI

Je umekwama kifedha?,Hujui wapi pa kwenda? Je unahitaji kutimiza ndoto na malengo yako? usihangaike
Kampuni ya mikopo ya wezesha mzawa microfinance ltd inatoa mikopo kwa wajasiriamali wa kati na wafanyakazi wa sekta zote ikiwemo biashara,viwanda na ufugaji.
Kiwango cha mkopo kinaanzia 500,000/= hadi 50,000,000/=
Mkopo unatolewa ndani ya masaa 24 Sifa za mkopaji
.uwe ni mtanzania mwenye umri usiopungua miaka 18
.uwe n...

 

9 years ago

Mwananchi

Wajasiriamali wapigiwa debe kupata mikopo

Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA), kimelitaka Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (Sido) liwape mbinu wajasiriamali wadogo ili waweze kupata mikopo katika taasisi za fedha.

 

11 years ago

Mwananchi

Saccos nchini kunufaika na mikopo ya NSSF

Shirika la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), limeanza kuingia kwenye vyama vya kuweka na kukopa (Saccos).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani