MIKOPO KWA WAJASIRIAMALI WA KATI NA WAFANYAKAZI

Je umekwama kifedha?,Hujui wapi pa kwenda? Je unahitaji kutimiza ndoto na malengo yako? usihangaike Kampuni ya mikopo ya wezesha mzawa microfinance ltd inatoa mikopo kwa wajasiriamali wa kati na wafanyakazi wa sekta zote ikiwemo biashara,viwanda na ufugaji. Kiwango cha mkopo kinaanzia 500,000/= hadi 50,000,000/= Mkopo unatolewa ndani ya masaa 24 Sifa za mkopaji .uwe ni mtanzania mwenye umri usiopungua miaka 18 .uwe n...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog04 Sep
Fursa ya mikopo kwa wajasiriamali wa kati na wafanyakazi
Je umekwama kifedha?,Hujui wapi pa kwenda? Je unahitaji kutimiza ndoto na malengo yako? usihangaike
Kampuni ya mikopo ya wezesha mzawa microfinance ltd inatoa mikopo kwa wajasiriamali wa kati na wafanyakazi wa sekta zote ikiwemo biashara,viwanda na ufugaji.
Kiwango cha mkopo kinaanzia 500,000/= hadi 50,000,000/=
Mkopo unatolewa ndani ya masaa 24
Sifa za mkopaji
.uwe ni mtanzania mwenye umri usiopungua miaka 18
.uwe n uzoefu wa biashara usiopungua
.uwe na namba ya utambulisho wa kodi (TIN)
...
10 years ago
GPL
MIKOPO KWA WAJASIRIAMALI WA KATI NA WAFANYAKAZI
10 years ago
Dewji Blog24 Aug
Maonyesho ya SIDO kwa wajasiriamali kwa kanda ya kati kufanyika Agosti 26 hadi Septemba Mosi mwaka huu Mkoani Singida


11 years ago
Mwananchi06 May
Wajasiriamali waomba mikopo nafuu
10 years ago
Mwananchi31 Aug
Wajasiriamali wapigiwa debe kupata mikopo
10 years ago
Mwananchi22 Sep
Wajasiriamali 6,000 wasotea mikopo NSSF
10 years ago
Michuzi.jpg)
BODI YA MIKOPO YAANZA KUPOKEA MAOMBI YA MIKOPO KUTOKA KWA WANAFUNZI KWA MWAKA WA MASOMO 2015-2016
.jpg)
Na Mwandishi Wetu
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Ijumaa, Mei 1, 2015) imetoa mwongozo kwa wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba mikopo na ruzuku kwa ajili ya mwaka wa masomo 2015/2016 unaotarajiwa kuanza miezi michache ijayo.
Kwa mujibu wa mwongozo huo, ambao unapatikana katika tovuti ya Bodi (www.heslb.go.tz), waombaji wote wamepewa takribani miezi miwili kuwasilisha maombi yao kuanzia Jumatatu, Mei 4, 2015...
9 years ago
StarTV18 Dec
Zaidi ya Wajasiriamali 17,000 wajikwamua kiuchumi kupitia Mikopo ya Benki Ya Wanawake
Zaidi ya wanawake wajasiriamali 17,000 wamejikwamua kiuchumi kutokana na kupata mitaji kwa njia ya mikopo kutoka Benki ya wanawake ambayo imekuwa ikitoa mikopo ya viwango vya aina mbalimbali kusaidia wajasiriamali.
Benki hiyo ya wanawake ambayo imetimiza miaka 6 tangu kuanzishwa kwake imeweza kutengeneza faida kubwa kutokana na kuboresha huduma zake katika matawi mbalimbali nchini.
Benki ya wanawake Tanzania imekuwa miiongoni mwa Benki ambayo imekuwa mstari wa mbele kusaidia wananchi wa...