Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajasiriamali waomba mikopo nafuu

Wajasiriamali wadogo wamezitaka taasisi za fedha kupunguza riba na masharti, ili kuwasaidia kujikwamua na umaskini kwa kuwapatia mitaji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NMB YAWAKOMBOA VIJANA KIUCHUMI KWA KUWAPA MIKOPO NAFUU YA PIKIPIKI Ni mikopo kwa ajili ya pikipiki za miguu miwili na mitatu

 Benki ya NMB kwa kushirikiana na kampuni tatu yaani Fair Deal Auto Private Ltd inayosambaza pikipiki za miguu miwili na mitatu aina ya Bajaji, kampuni ya Car & General Limited Ltd inayosambaza pikipiki za miguu mitatu aina ya TV’S King pamoja na kampuni ya Quality Motors inayosambaza pikipiki za miguu miwili aina ya Honda wameingia ubia ili kuwawezesha wananchi kupata mikopo nafuu ya kumiliki pikipiki za miguu miwili na mitatu.   Hii yote ni katika kuendeleza azma ya NMB inayolenga kubuni...

 

11 years ago

Habarileo

BOA yatoa mikopo nafuu sekta ya afya

BENKI ya BOA Tanzania imeanza kutoa mikopo ya riba nafuu kwa sekta ya afya, ili kuwezesha zahanati, vituo vya afya na hospitali kutoa huduma bora kwa wananchi.

 

9 years ago

Habarileo

Lowassa aahidi kuanzisha benki ya mikopo nafuu

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na vyama vya CUF, NCCR-Mageuzi na NLD, Edward Lowassa amesema akiteuliwa kuwa rais ataanzisha benki ya maendeleo kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wananchi wa kipato cha chini.

 

11 years ago

Habarileo

Wanafunzi 39,000 vyuo vikuu waomba mikopo

IKIWA zimebaki siku 10 kufungwa kwa shughuli ya kupokea maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2014/2015, takribani wanafunzi 39,000 wameshatuma maombi yao kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).

 

10 years ago

Michuzi

WANAWAKE WATAKIWA KUJIUNGA TAASISI ZA FEDHA ZENYE MASHARTI NAFUU YA MIKOPO

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiWANAWAKE wametakiwa kujiunga katika taasisi za fedha ambazo zinaainisha mikopo ya wajasiriamali hiyo itasaidia wanawake kujikwamua na umasikini.
Hayo ameyasema leo Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Sophia Simba wakati wa uzinduzi wa mpango Fanikisha Plus  wa wajasirimali unaondeshwa na benki ya Equity iliyofanyika leo katika ukumbi JB,Belmote jijini Dar es Salaam.
Sophia amesema wanawake umefika wakati kutumia fursa ambazo taasisi za fedha zenye...

 

9 years ago

Mwananchi

Wajasiriamali 6,000 wasotea mikopo NSSF

Wajasiriamali ambao ni wanachama wa Vicoba mikoa ya Kilimanjaro na Arusha, wamelalamikia kucheleweshewa mikopo waliyoahidiwa na Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), tangu Mei, mwaka huu.

 

9 years ago

Mwananchi

Wajasiriamali wapigiwa debe kupata mikopo

Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA), kimelitaka Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (Sido) liwape mbinu wajasiriamali wadogo ili waweze kupata mikopo katika taasisi za fedha.

 

9 years ago

GPL

MIKOPO KWA WAJASIRIAMALI WA KATI NA WAFANYAKAZI

Je umekwama kifedha?,Hujui wapi pa kwenda? Je unahitaji kutimiza ndoto na malengo yako? usihangaike
Kampuni ya mikopo ya wezesha mzawa microfinance ltd inatoa mikopo kwa wajasiriamali wa kati na wafanyakazi wa sekta zote ikiwemo biashara,viwanda na ufugaji.
Kiwango cha mkopo kinaanzia 500,000/= hadi 50,000,000/=
Mkopo unatolewa ndani ya masaa 24 Sifa za mkopaji
.uwe ni mtanzania mwenye umri usiopungua miaka 18
.uwe n...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani