Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa aahidi kuanzisha benki ya mikopo nafuu

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na vyama vya CUF, NCCR-Mageuzi na NLD, Edward Lowassa amesema akiteuliwa kuwa rais ataanzisha benki ya maendeleo kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wananchi wa kipato cha chini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

MO kuanzisha benki ya mikopo kwa wafanyabishara wadogo nchini

DSC_0316

CEO wa Kampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji akiwa ofisini kwake.

Na Modewjiblog team

Mfanyabiashara Bilionea Mohamed Dewji ambaye hivi karibuni amepata tuzo ya Mfanyabiashara Bora wa Afrika wa mwaka 2015, katika kinyang’anyiro cha tuzo za wafanyabiashara bora wa Afrika (African Business Awards 2015) amebainisha kuwa lengo kuu  la kampuni anayoiongoza ya  MeTL Group,  hadi kufikia mwaka 2022, ni kufikia dola bilioni 5 huku akitarajia kuajiri wafanyakazi zaidi ya Laki moja.

Dewji  maarufu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Benki ya CBA kuuza nyumba za kampuni Avic kwa mikopo ya masharti nafuu

 

cba 2

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CBA Tanzania  Bw.Julius Mcharo (katikati) akiwa pamoja na maofisa wa CBA na  Avic International Real Estate wakiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)  muda mfupi kabla ya kusaini mkataba ambapo CBA itawakopesha wateja wanaotaka kununua nyumba zilizojengwa na kampuni hiyo katika eneo la Kigamboni jijini Dar es Salaam.

cba 8

Mkuu wa Kitengo cha wateja binafsi wa Benki ya CBA,Bi.Hyasintha Mwimanzi akiwaleza waandishi wa habari  utaratibu wa mkopo wa nyumba...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yashauriwa kuanzisha benki kwa waajiriwa binafsi ya mikopo

Serikali imeshauriwa kuanzisha benki ya Vijana ambayo itatoa mikopo kwa vijana wanaohitimu mafunzo ya ufundi pamoja na wasomi mbalimbali wanaotaka kujiajiri wenyewe.

Kukosekana kwa benki hiyo na taasisi za kifedha zinazohudumia  vijana kunatajwa kuwa miongoni mwa changamoto inayodumaza hali ya uchumi wa Taifa kutokana na asilimia kubwa ya nguvu kazi ya vijana kutotumika ipasavyo  baada ya vijana wengi kukosa ajira katika sekta rasmi.

 Asilimia kubwa ya vijana kwa sasa tatizo lao si elimu –...

 

9 years ago

GPL

MO KUANZISHA BENKI YA MIKOPO KWA WAFANYABISHARA WADOGO NCHINI‏

CEO wa Kampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji akiwa ofisini kwake. Mfanyabiashara Bilionea Mohamed Dewji ambaye hivi karibuni amepata tuzo ya Mfanyabiashara Bora wa Afrika wa mwaka 2015, katika kinyang’anyiro cha tuzo za wafanyabiashara bora wa Afrika (African Business Awards 2015) amebainisha kuwa lengo kuu la kampuni anayoiongoza ya MeTL Group, hadi kufikia mwaka 2022, ni kufikia dola bilioni 5 huku akitarajia kuajiri...

 

11 years ago

Michuzi

NMB YAWAKOMBOA VIJANA KIUCHUMI KWA KUWAPA MIKOPO NAFUU YA PIKIPIKI Ni mikopo kwa ajili ya pikipiki za miguu miwili na mitatu

 Benki ya NMB kwa kushirikiana na kampuni tatu yaani Fair Deal Auto Private Ltd inayosambaza pikipiki za miguu miwili na mitatu aina ya Bajaji, kampuni ya Car & General Limited Ltd inayosambaza pikipiki za miguu mitatu aina ya TV’S King pamoja na kampuni ya Quality Motors inayosambaza pikipiki za miguu miwili aina ya Honda wameingia ubia ili kuwawezesha wananchi kupata mikopo nafuu ya kumiliki pikipiki za miguu miwili na mitatu.   Hii yote ni katika kuendeleza azma ya NMB inayolenga kubuni...

 

9 years ago

Dewji Blog

Benki ya NMB yazindua mfumo wa kisasa wa utunzaji wa taarifa mikopo, wateja sasa kupata mikopo ndani ya siku 4

NMB-1

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc Ineke Bussemaker akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu mfumo wa kisasa wa utunzaji wa taarifa za mikopo uliozinduliwa na Benki hiyo. Mfumo huo utatutumika kwenye kanzi data ya Mikopo ya Benki hiyo ( CRB’s) kwa lengo la kuwawezesha wateja wakubwa na wadogo wa wanaoomba mikopo kuipata ndani ya siku 1 hadi 4 .

NMB -2

Afisa Mkuu Udhibiti wa Hasara wa Benki ya NMB Bw. Tom Borghols (wa pili kutoka kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa Habari (hawapo...

 

11 years ago

Mwananchi

Wajasiriamali waomba mikopo nafuu

Wajasiriamali wadogo wamezitaka taasisi za fedha kupunguza riba na masharti, ili kuwasaidia kujikwamua na umaskini kwa kuwapatia mitaji.

 

11 years ago

Habarileo

BOA yatoa mikopo nafuu sekta ya afya

BENKI ya BOA Tanzania imeanza kutoa mikopo ya riba nafuu kwa sekta ya afya, ili kuwezesha zahanati, vituo vya afya na hospitali kutoa huduma bora kwa wananchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani