MO KUANZISHA BENKI YA MIKOPO KWA WAFANYABISHARA WADOGO NCHINI
CEO wa Kampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji akiwa ofisini kwake. Mfanyabiashara Bilionea Mohamed Dewji ambaye hivi karibuni amepata tuzo ya Mfanyabiashara Bora wa Afrika wa mwaka 2015, katika kinyang’anyiro cha tuzo za wafanyabiashara bora wa Afrika (African Business Awards 2015) amebainisha kuwa lengo kuu la kampuni anayoiongoza ya MeTL Group, hadi kufikia mwaka 2022, ni kufikia dola bilioni 5 huku akitarajia kuajiri...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog30 Sep
MO kuanzisha benki ya mikopo kwa wafanyabishara wadogo nchini
CEO wa Kampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji akiwa ofisini kwake.
Na Modewjiblog team
Mfanyabiashara Bilionea Mohamed Dewji ambaye hivi karibuni amepata tuzo ya Mfanyabiashara Bora wa Afrika wa mwaka 2015, katika kinyang’anyiro cha tuzo za wafanyabiashara bora wa Afrika (African Business Awards 2015) amebainisha kuwa lengo kuu la kampuni anayoiongoza ya MeTL Group, hadi kufikia mwaka 2022, ni kufikia dola bilioni 5 huku akitarajia kuajiri wafanyakazi zaidi ya Laki moja.
Dewji maarufu...
9 years ago
StarTV18 Dec
Serikali yashauriwa kuanzisha benki kwa waajiriwa binafsi ya mikopo
Serikali imeshauriwa kuanzisha benki ya Vijana ambayo itatoa mikopo kwa vijana wanaohitimu mafunzo ya ufundi pamoja na wasomi mbalimbali wanaotaka kujiajiri wenyewe.
Kukosekana kwa benki hiyo na taasisi za kifedha zinazohudumia vijana kunatajwa kuwa miongoni mwa changamoto inayodumaza hali ya uchumi wa Taifa kutokana na asilimia kubwa ya nguvu kazi ya vijana kutotumika ipasavyo baada ya vijana wengi kukosa ajira katika sekta rasmi.
Asilimia kubwa ya vijana kwa sasa tatizo lao si elimu –...
9 years ago
Habarileo02 Oct
Lowassa aahidi kuanzisha benki ya mikopo nafuu
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na vyama vya CUF, NCCR-Mageuzi na NLD, Edward Lowassa amesema akiteuliwa kuwa rais ataanzisha benki ya maendeleo kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wananchi wa kipato cha chini.
10 years ago
GPLBENKI YA DUNIA YAZINDUA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA
10 years ago
Mwananchi29 Jan
Ni wakati wa kuanzisha benki ya vijana nchini
10 years ago
Michuzi15 Sep
BENKI YA DUNIA NA SERIKALI IKISHIRIKIANA NA WAWEKEZAJI WAKUBWA WA MADINI WAZINDUA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA.
11 years ago
MichuziNSSF YAPANUA WIGO WA HUDUMA ZAKE KWA KUANZISHA MPANGO MAALUMU KWA WAKULIMA NA WACHIMBA MADINI WADOGO
5 years ago
MichuziSERIKALI YATAKA MIKOPO YA TADB KUWA CHACHU KWA WAVUVI KUANZISHA VIWANDA VIDOGO
Walioshika mfano wa hundi: Kutoka kushoto, Mkurugenzi Mkuu wa TADB Bw. Japhet Justine, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega, Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika Zilagula Bw. Joram Yuda na Mratibu wa Dawati la Sekta Binafsi Bw. Steven Michael
……………………………………………………………………………………..
Na. Edward Kondela
Serikali imesema inataka kuona uanzishwaji wa viwanda vidogo vidogo vya wafugaji na wavuvi kupitia mikopo inayotolewa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) ili kuyaongezea...
10 years ago
Raia Tanzania22 Jul
Hongera Serikali kwa kuanzisha benki ya kilimo
SERIKALI hivi karibuni imetangaza kuanzisha benki maalumu ya maendeleo ya kilimo.
Benki hiyo inajulikana kwa jina la Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB).
Benki hiyo bado haijaanza kazi ikisubiri kibali kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Hata hivyo, imekwisha kuanza mchakato wa kutafuta wafanyakazi watakaotoa huduma.
Kwa mujibu wa serikali, pamoja na mambo mengine madhumuni makuu ya kuanzishwa kwa benki hii ni kurahisisha upatikanaji wa mikopo katika sekta ya kilimo ili...