Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Saccos nchini kunufaika na mikopo ya NSSF

Shirika la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), limeanza kuingia kwenye vyama vya kuweka na kukopa (Saccos).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Vijana nchini watakiwa kuzingatia vigezo ili kunufaika na Mikopo ya Mfuko wa Maendeleo ya Vijana (YDF)

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Concilia Niyibitanga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana leo jijini Dar es Salaam.Kuliani Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana Dkt. Steven Kissui na kushoto ni Afisa Habari wa Idara ya Habari MAELEZO Bw. Frank Mvungi. Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana Dkt. Steven Kissui akionyesha Kitabu cha Sera ya Maendeleo ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NSSF yazikopesha Saccos Bil. 29/-

WANANCHAMA 3,341 wa vyama vya kuweka na kukopa (Saccos) wamenufaika na mikopo yenye thamani ya sh bilioni 29.9 kutoka Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Hayo yalielezwa bungeni jana na...

 

10 years ago

Mwananchi

Tumaini Saccos yazidi ‘kumwaga’ mikopo

Chama cha kuweka na kukopa cha Tumaini Saccos kilichopo Kata ya Mamba Kusini wilayani Moshi Mkoa wa Kilimanjaro kimetoa mikopo ya Sh1.4 bilioni kwa kipindi cha miaka saba.

 

5 years ago

Michuzi

SACCOS ZATAKIWA KUWEKEZA MIKOPO KWA WANACHAMA WAO

 Mrajisi Msaidizi anayesimamia vyama vya ushirika wa Kifedha kutoka Dodoma Josephat Kisamalala akisisitiza jambo wakati wa mafunzo hayo AFISA Ushirika kutoka Tume ya Maendeleo ya Ushirika Dodoma Boniphace Moshi akizungumza wakati mafunzo hayo MRAJISI Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Tanga Jackline Senzige akizungumza wakati wa mafunzo hayo Sehemu ya washiriki kwenye mafunzo hayo Sehemu ya washiriki kwenye kikao hicho wakifuatilia matukio mbalimbaliVYAMA vya Ushirika wa Akiba na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wananchi kunufaika na viwanja 444 vya NSSF

NSSF-Kiluvya

Frank Mvungi-Maelezo

Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) laanza kuuza viwanja takribani 444 vyenye jumla ya mita za mraba 465,161 katika eneo la Kiluvya A Halmashauri ya Kisarawe Mkoa wa Pwani.

Hayo yamesema na Meneja Miradi wa NSSF Bw.Abdallah Mseli  wakati wa ziara ya waandishi wa habari walipotembelea eneo la mradi huo kuona maendeleo ya mradi huo .

 “Eneo hili litakuwa na makazi mapya ya kisasa, litakuwa na huduma muhimu za maji,umeme,barabara na pia kuna maeneo ya kujenga...

 

11 years ago

Mwananchi

NSSF yapokea maombi ya Sh1 bilioni kutoka Saccos mkoani Mtwara

Zaidi ya maombi ya mkopo wa Sh1 bilioni yametumwa na vyama vya Akiba na Mikopo (Saccos) Mkoa wa Mtwara kwa Shirika la Hifadhi wa Jamii (NSSF).

 

5 years ago

Michuzi

WALIOCHAPISHA TANGAZO LA MIKOPO LINALOSEMA 'JANET MAGUFULI SACCOS' WAFIKISHWA KORTINI WAKIKABILIWA NA KESI YA UHUJUMU UCHUMI


Na Karama Kenyunko, Michuzi TV

MWANAMKE Masse Uledi (43) ambaye ni Mkazi wa Kitunda Magore na mfanyabiashara Nkinda Shekalage (34), anayeishi Tegeta wazo wamewamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu  jijini Dar es salaam wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi.

Washtakiwa hao wamesomewa mashtaka matatu mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Augustina Mmbando ambayo ni kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao, kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kutakatisha fedha.

Katika hati ya mashtaka...

 

9 years ago

Mwananchi

Wajasiriamali 6,000 wasotea mikopo NSSF

Wajasiriamali ambao ni wanachama wa Vicoba mikoa ya Kilimanjaro na Arusha, wamelalamikia kucheleweshewa mikopo waliyoahidiwa na Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), tangu Mei, mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani