Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CRDB YATOA SOMO KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI ZAIDI YA 1000 KUHUSU KUWEKA AKIBA

Zaidi ya wajasiriamaili wanawake 1000 kutoka katika Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam wamepata mafunzo ya kuwajengea uwezo wakati wa tamasha la Mwanamke na Akiba, 2014 lililofanyika katika ukumbi wa Dar Live Mbagala.
Akizungumzia Tamasha hilo, Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Angels Moment ambao ndio waandaaji wa tamasha hilo, Naima Malima alisema kuwa lengo la semina hiyo ni kuchochea utamaduni wa kuweka akiba kwa wanawake wajasiriamali na kuwaelimisha aina tofauti ya kuweka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wanawake wahimizwa kuweka akiba

WANAWAKE nchini wameaswa kujenga tabia ya kutunza akiba ili kufikia malengo wanayojiwekea kwa maendeleo ya familia zao. Wito huo ulitolewa na mke wa Makamu wa Rais, Mama Asha Bilali, wakati...

 

10 years ago

Michuzi

FNB TANZANIA YAHIMIZA WATANZANIA KUWEKA AKIBA ZAIDI

Meneja wa Wateja Binafsi wa First National Bank, Francois Botha na Meneja wa Usambazaji na Matawi wa benki hiyo wakizindua mpango maalum unaohamasisha Watanzania kujiwekea akiba na kujiwekea mustakabali salama kifedha. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es salaam leo Oktoba 1, 2015.
BENKI ya FNB Tanzania imetoa wito kwa Watanzania kujijengea mustakabali salama kifedha kwa kuendelea kuweka akiba zaidi benki kupitia fursa ya mpango mpya wa benki hiyo wa “Weka akiba na ushinde”.

Wito huo...

 

11 years ago

GPL

WASANII WAPEWA SOMO KUHUSU KUJIWEKEA AKIBA YA UZEENI

Baadhi ya wasanii waliohudhuria mkutano huo. Viongozi kutoka PSPF na COSOTA  ambao waliwapa somo waigizaji . Mwenyekiti wa Bongo Muvi,…

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA NBC YATOA SOMO KUHUSU HUDUMA ZA ISLAMIC BANKING KWA WATEJA MKOANI MWANZA

Meneja Uendelezaji Biashara wa Benki ya NBC, Eddie Mhina (kushoto), akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo katika semina waliyowaandalia kuhusu bidhaa mbalimbali zinazopatikana kupitia huduma hiyo. Hafla hiyo ilifanyika jijini Mwanza hivi karibuni. Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kibenki zinazofuata misingi ya Kiislamu (Islamic Banking) za Benki ya NBC, Yassir Masoud (kushoto), akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo katika semina waliyowaandalia kuhusu bidhaa mbalimbali...

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA NBC YATOA SOMO KUHUSU UBORA WA HUDUMA YAKE YA ISLAMIC BANKING KWA WATEJA WA MTWARA

Meneja Uendelezaji wa Biashara wa Benki ya NBC, Eddie Mhina (kulia), akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo kuhusu huduma za kibenki zinazofuata kanuni na misingi ya kiislamu (Islamic Banking) katika warsha ya siku moja waliyowaandalia wateja wa NBC mkoani Mtwara hivi karibuni. Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kibenki zinazofuata misingi ya Kiislamu (Islamic Banking), cha Benki ya NBC, Yassir Masoud (kulia), akielezea kuhusu huduma hizo wakati wa warsha ya siku moja waliyowaandalia...

 

9 years ago

Dewji Blog

TPB yatoa zaidi ya Milioni 200 kuwawezesha wajasiriamali kiuchumi, ni mkopo nafuu

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, Sabasaba Moshingi, (kushoto), akikabidhi mfano wa hundi kwa Mkurugenzi wa Shirika la Vijana Wajasiriamali na Uwezeshaji Tanzania, (TYEEO), Ayub Gerald Luhuga, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Wizara ya Fedha na Mipango, jijini Dar es Salaam Desemba 23, 2015. Benki hiyo imevipatia vikundi vinane vya wajasiriamali jumla ya shilingi milioni 244,500,000/- kama mpoko nafuu ikiwa ni awamu ya kwanza ya utoaji mikopo hiyo, kufuatia makubaliano...

 

9 years ago

StarTV

Zaidi ya Wajasiriamali 17,000 wajikwamua kiuchumi kupitia Mikopo ya Benki Ya Wanawake

Zaidi ya wanawake wajasiriamali 17,000 wamejikwamua kiuchumi kutokana na kupata mitaji kwa njia ya mikopo kutoka Benki ya wanawake ambayo imekuwa ikitoa mikopo ya viwango vya aina mbalimbali kusaidia wajasiriamali.

Benki hiyo ya wanawake ambayo imetimiza miaka 6 tangu kuanzishwa kwake imeweza kutengeneza faida kubwa kutokana na kuboresha huduma zake katika matawi mbalimbali nchini.

 Benki ya wanawake Tanzania imekuwa miiongoni mwa Benki ambayo imekuwa mstari wa mbele kusaidia wananchi wa...

 

5 years ago

Michuzi

JAMBO YATOA MSAADA WA VINYWAJI KWA JESHI LA AKIBA SHINYANGA


Kampuni ya Utengenezaji na Usambazaji wa Vinywaji baridi ‘Jambo Food Products Limited’ ya mkoani Shinyanga imetoa msaada wa katoni 50 za vinywaji kwa wanafunzi wa Jeshi la Akiba wilaya ya Shinyanga waliopo katika mafunzo yao.

Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo leo Ijumaa Februari 21,2020, Mkurugenzi wa Kampuni ya Jambo Food Products Ltd, Esme Salum amesema kampuni hiyo imeungana na wanafunzi wa Jeshi la akiba kwa kuchangia katika kufanikisha mahafali ya mafunzo yatakayofanyika Machi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Watoto wafundishwa kuweka akiba UK

Watoto wametakiwa kujiunga kwenye makundi wakiwa shuleni ili kujiwekea akiba kuepuka madeni hapo baadae

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani