Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASANII WAPEWA SOMO KUHUSU KUJIWEKEA AKIBA YA UZEENI

Baadhi ya wasanii waliohudhuria mkutano huo. Viongozi kutoka PSPF na COSOTA  ambao waliwapa somo waigizaji . Mwenyekiti wa Bongo Muvi,…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wasanii watakiwa kujiwekea akiba

WASANII nchini wametakiwa kujenga utamaduni wa kujiwekea akiba katika mifuko mbalimbali ya jamii kwani kufanya hivyo kutawasaidia katika maisha yao baada ya kustaafu kazi zao au wanapokuwa hawana tena uwezo wa kufanya kazi.

 

10 years ago

Michuzi

Wasanii waelezwa umuhimu wa kujiwekea akiba

WASANII nchini wametakiwa kujenga utamaduni wa kujiwekea akiba katika mifuko mbalimbali ya jamii kwa kuwa kufanya hivyo kuna kumuhimu mkubwa katika maisha yao baada kuwa wamestaafu kazi zao au wanapokuwa hawana tena uwezo wa kufanya kazi.

Hayo yalisemwa na msanii mkongwe wa maigizo hapa nchini Bakari Mbelemba maarufu kwa jina la Mzee Jangala wakati akizungumza katika Jukwaa la na Sanaa lililofanyika Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) mwanzoni mwa wiki hii jijini Dar es Salaam.

Mzee ...

 

11 years ago

Michuzi

CRDB YATOA SOMO KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI ZAIDI YA 1000 KUHUSU KUWEKA AKIBA

Zaidi ya wajasiriamaili wanawake 1000 kutoka katika Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam wamepata mafunzo ya kuwajengea uwezo wakati wa tamasha la Mwanamke na Akiba, 2014 lililofanyika katika ukumbi wa Dar Live Mbagala.
Akizungumzia Tamasha hilo, Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Angels Moment ambao ndio waandaaji wa tamasha hilo, Naima Malima alisema kuwa lengo la semina hiyo ni kuchochea utamaduni wa kuweka akiba kwa wanawake wajasiriamali na kuwaelimisha aina tofauti ya kuweka...

 

9 years ago

Michuzi

WATANZANIA WAPEWA SOMO KUHUSU DIPLOMASIA YA uCHUM (ECONOMIC DIPLOMACY

Kutoka kushoto ni Balozi mstaafu Ahmed Kiwanuka, Nduwayo Mzonya, Hussein Melele na Rashid Njenga wakiwasikiliza wachangaji mbalimbali katka kongamano hilo lijulikanalo Epowerment of Economic Diplomacy in Tanzania .Balozi mstafu wa Tanzania Nchini India ambaye pia ni mwalimu katika chuo cha diplomasia Balozi Ahmed Kiwanuka akitoa mhuadhara elo kuhusu namna Tanzania inavyoweza kutekeleza diplomasia ya uchumi kupitia ekta mbalimbali na kwa kutumia makundi mbalimbaliAllan Kasamala(mwenye shati...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Exim yahamasisha kujiwekea akiba

BENKI ya Exim Tanzania mwishoni mwa wiki ilifanya droo ya kwanza ya kampeni ya Akaunti ya Malengo ili kuwahamasisha wananchi kuwa na utamaduni wa kujiwekea akiba.

Droo hiyo iliyosimamiwa na Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, ni ya kwanza kati ya sita zinazotarajiwa kuendeshwa katika kampeni hiyo.

Akizungumza wakati wa kufanyika kwa droo hiyo, Meneja Bidhaa wa Benki ya Exim, Aloyse Maro, alisema kampeni hiyo ni sehemu ya jitahada za benki kuwapatia wateja wake faida zaidi pamoja...

 

11 years ago

Mwananchi

SSRA yawashauri watu kujiwekea akiba

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka amesema kuwa wananchi wengi wanaogopa kujiwekea akiba kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii kutokana na hisia potovu kuwa wao ni maskini.

 

11 years ago

Mwananchi

Wanawake waaswa kujifunza kujiwekea akiba

Wanawake nchini wameaswa kujenga tabia ya kutunza akiba, ili kufikia malengo wanayojiwekea kwa maendeleo ya familia zao.

 

5 years ago

Michuzi

WATUMISHI OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI WAPEWA SOMO KUHUSU VIRUSI VYA CORONA



Mkurugenzi wa Idara ya Rasilimali Watu na Utawala Bw. James Kibamba akizungumza na sehemu ya watumishi waliohudhulia mafunzo kuhusu namna sahihi ya kujinga na virusi vya ugonjwa wa Corona wakati akimkaribisha muwezeshaki Dkt. Peter Kibacha ambaye ni mtalaam bingwa wa afya na mtoto kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili. zoezi la kutoa elimu hiyo limefanyika katika ukumbi wa mikutano uliopo katika Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali uliopo Jijini Dar es Salaam.
Bw. Yusuph Varisanga kutoka kitengo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani