Wasanii waelezwa umuhimu wa kujiwekea akiba
![](http://4.bp.blogspot.com/-JSP8AYlro2M/Vbfe40RecjI/AAAAAAAAtcM/N2CVA-byRzg/s72-c/1.jpg)
WASANII nchini wametakiwa kujenga utamaduni wa kujiwekea akiba katika mifuko mbalimbali ya jamii kwa kuwa kufanya hivyo kuna kumuhimu mkubwa katika maisha yao baada kuwa wamestaafu kazi zao au wanapokuwa hawana tena uwezo wa kufanya kazi.
Hayo yalisemwa na msanii mkongwe wa maigizo hapa nchini Bakari Mbelemba maarufu kwa jina la Mzee Jangala wakati akizungumza katika Jukwaa la na Sanaa lililofanyika Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) mwanzoni mwa wiki hii jijini Dar es Salaam.
Mzee ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo30 Jul
Wasanii watakiwa kujiwekea akiba
WASANII nchini wametakiwa kujenga utamaduni wa kujiwekea akiba katika mifuko mbalimbali ya jamii kwani kufanya hivyo kutawasaidia katika maisha yao baada ya kustaafu kazi zao au wanapokuwa hawana tena uwezo wa kufanya kazi.
11 years ago
GPLWASANII WAPEWA SOMO KUHUSU KUJIWEKEA AKIBA YA UZEENI
10 years ago
Raia Tanzania27 Jul
Exim yahamasisha kujiwekea akiba
BENKI ya Exim Tanzania mwishoni mwa wiki ilifanya droo ya kwanza ya kampeni ya Akaunti ya Malengo ili kuwahamasisha wananchi kuwa na utamaduni wa kujiwekea akiba.
Droo hiyo iliyosimamiwa na Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, ni ya kwanza kati ya sita zinazotarajiwa kuendeshwa katika kampeni hiyo.
Akizungumza wakati wa kufanyika kwa droo hiyo, Meneja Bidhaa wa Benki ya Exim, Aloyse Maro, alisema kampeni hiyo ni sehemu ya jitahada za benki kuwapatia wateja wake faida zaidi pamoja...
10 years ago
Habarileo23 Jan
Magereza waelezwa umuhimu wa takwimu
MAOFISA Magereza wamekumbushwa kutambua kuwa takwimu rasmi zinahitajika kwa ajili ya kutunga sera, kupanga mipango ya maendeleo, kutathmini utekelezaji wa mikakati mbalimbali na kutoa maamuzi katika ngazi mbalimbali kwa ajili ya Taifa.
11 years ago
Mwananchi24 Feb
Wanawake waaswa kujifunza kujiwekea akiba
11 years ago
Mwananchi25 Dec
SSRA yawashauri watu kujiwekea akiba
10 years ago
Habarileo16 May
Waelezwa umuhimu mchango wa urithi wa utamaduni kuinua uchumi
URITHI wa utamaduni umeelezwa kuwa ni moja kati ya vitegauchumi muhimu ambapo kama utatumika vyema utaleta mchango mkubwa kwa wananchi na serikali kwa ujumla.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-8ndT5iO5XXk/VJFRpYDeQGI/AAAAAAAG3vg/6KcZLnsd39A/s72-c/picha%2B1.jpg)
WAKAGUZI WA MIGODI WAELEZWA UMUHIMU WA CHECKLIST KATIKA UKAGUZI
Hayo yameelezewa na Mtaalamu kutoka Idara ya Madini, Wizara ya Nishati na Madini , Mhandisi Noel Baraka wakati akitoa mada katika kikao kazi cha wakaguzi wa migodi wanaokutana kwa lengo la kuandaa checklist zitakazotumika kwa ajili ya shughuli za...