Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKAGUZI WA MIGODI WAELEZWA UMUHIMU WA CHECKLIST KATIKA UKAGUZI

Imeelezwa kuwa, wakaguzi wa migodi wanao mchango mkubwa katika kuepusha ajali zinazotokea migodini hususani kwa wachimbaji wadogo endapo watatoa mapendekezo na maoni yatakayowezesha kuandaa miongozo (checklist) itakayotumika katika ukaguzi wa migodi.
Hayo yameelezewa na Mtaalamu kutoka Idara ya Madini, Wizara ya Nishati na Madini , Mhandisi Noel Baraka wakati akitoa mada katika kikao kazi cha wakaguzi wa migodi wanaokutana kwa lengo la kuandaa checklist zitakazotumika kwa ajili ya shughuli za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KAMATI YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA YAENDELEA NA UKAGUZI KATIKA MIGODI

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Ummy Mwalimu (wa pili kutoka kulia) akitoa ufafanuzi wa kisheria mbele ya Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira. Kamati hiyo iko katika ziara ya kikazi kukagua utekelezaji wa Sheria ya Mazingira katika Migodi. Wengine katika picha ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Mh. James Lembeli (wa tatu kulia), Mh. John Mnyika na Mh. Henry Shekifu wajumbe wa Kamati hiyo. Wa kwanza (kushoto)...

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA ARDHI,MALIASILI NA MAZINGIRA YAENDELEA NA UKAGUZI KATIKA MIGODI

Kamati ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Mazingira imeendelea na ukaguzi katika Migodi ya dhahabu kufahamu utekelezaji wa Sheri a ya Mazingira. Katika Mgodi wa Bulyanhulu Kamati iliangalia jinsi maji yenye kemikali yanavyohifadhiwa na udhibiti wa taka za plastiki mgodini hapo. Migodi iliyotembelewa mpaka sasa ni Mgodi wa North Mara, Geita na Bulyanhulu. Hii leo Kamati hii itaendelea na ziara yake katika mgodi wa Buzwagi.Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Ummy Mwalimu (wa pili kutoka...

 

10 years ago

Habarileo

Magereza waelezwa umuhimu wa takwimu

MAOFISA Magereza wamekumbushwa kutambua kuwa takwimu rasmi zinahitajika kwa ajili ya kutunga sera, kupanga mipango ya maendeleo, kutathmini utekelezaji wa mikakati mbalimbali na kutoa maamuzi katika ngazi mbalimbali kwa ajili ya Taifa.

 

10 years ago

Michuzi

Wasanii waelezwa umuhimu wa kujiwekea akiba

WASANII nchini wametakiwa kujenga utamaduni wa kujiwekea akiba katika mifuko mbalimbali ya jamii kwa kuwa kufanya hivyo kuna kumuhimu mkubwa katika maisha yao baada kuwa wamestaafu kazi zao au wanapokuwa hawana tena uwezo wa kufanya kazi.

Hayo yalisemwa na msanii mkongwe wa maigizo hapa nchini Bakari Mbelemba maarufu kwa jina la Mzee Jangala wakati akizungumza katika Jukwaa la na Sanaa lililofanyika Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) mwanzoni mwa wiki hii jijini Dar es Salaam.

Mzee ...

 

10 years ago

Habarileo

Waelezwa umuhimu mchango wa urithi wa utamaduni kuinua uchumi

URITHI wa utamaduni umeelezwa kuwa ni moja kati ya vitegauchumi muhimu ambapo kama utatumika vyema utaleta mchango mkubwa kwa wananchi na serikali kwa ujumla.

 

10 years ago

Michuzi

Taasisi kutoka India yawapiga msasa wakaguzi wa migodi nchini

Kamishna Msaidizi – Ukaguzi wa Migodi, Mhandisi Ally Samaje kutoka Wizara ya Nishati na Madini (Kushoto) akijadiliana jambo na Mtaalam mwelekezi kutoka Taasisi ya Sayansi na Mazingira ya Nchini India, Sujit Kumar Singh (Kulia) kwenye mafunzo yaliyoshirikisha wakaguzi wa migodini nchini yaliyofanyika mjini Bagamoyo mkoani Pwani. Sehemu ya washiriki wa mafunzo yaliyoshirikisha wakaguzi wa migodini nchini yaliyofanyika mjini Bagamoyo mkoani Pwani wakishiriki katika zoezi la kuandaa...

 

10 years ago

Mwananchi

Wajawazito, watoto walivyo hatarini katika migodi Geita

Ni katika Kijiji cha Nyakabale kilichopo mjini Geita. Kijijini hapo kuna nyumba nyingi zilizojengwa, unazoweza kuzifananisha na makambi ya wakimbizi.

 

11 years ago

Vijimambo

Ziara ya Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira katika Migodi

 Sehemu ya Mabwawa yanayotumika katika shughuli za uzalishaji katika Mgodi wa Geita.

 Kutoka kulia, Mh. James Lembeli Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira akitoa maagizo kwa wataalamu wa mgodi wa Geita (hawapo pichani) juu ya Hifadhi endelevu ya Mazingira kwa mujibu wa Sheria. Wapili kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Ummy Mwalimu na wengine ni wajumbe wa Kamati hiyo. Mtaalamu kutoka Mgodi wa Geita akitoa ufafanuzi kwa Kamati ya Bunge ya Ardhi,...

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

TAARIFA YA KAMATI KUFUATIA MATOKEO YA UKAGUZI MAALUM WA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KATIKA AKAUNTI YA TEGETA ESCROW ILIYOKUWA KATIKA BENKI KUU YA TANZANIA

TAARIFA YA KAMATI KUFUATIA MATOKEO YA UKAGUZI MAALUM WA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KATIKA AKAUNTI YA TEGETA ESCROW ILIYOKUWA KATIKA BENKI KUU YA TANZANIA

View this document on Scribd

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani