Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waelezwa umuhimu mchango wa urithi wa utamaduni kuinua uchumi

URITHI wa utamaduni umeelezwa kuwa ni moja kati ya vitegauchumi muhimu ambapo kama utatumika vyema utaleta mchango mkubwa kwa wananchi na serikali kwa ujumla.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Magereza waelezwa umuhimu wa takwimu

MAOFISA Magereza wamekumbushwa kutambua kuwa takwimu rasmi zinahitajika kwa ajili ya kutunga sera, kupanga mipango ya maendeleo, kutathmini utekelezaji wa mikakati mbalimbali na kutoa maamuzi katika ngazi mbalimbali kwa ajili ya Taifa.

 

10 years ago

Michuzi

Wasanii waelezwa umuhimu wa kujiwekea akiba

WASANII nchini wametakiwa kujenga utamaduni wa kujiwekea akiba katika mifuko mbalimbali ya jamii kwa kuwa kufanya hivyo kuna kumuhimu mkubwa katika maisha yao baada kuwa wamestaafu kazi zao au wanapokuwa hawana tena uwezo wa kufanya kazi.

Hayo yalisemwa na msanii mkongwe wa maigizo hapa nchini Bakari Mbelemba maarufu kwa jina la Mzee Jangala wakati akizungumza katika Jukwaa la na Sanaa lililofanyika Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) mwanzoni mwa wiki hii jijini Dar es Salaam.

Mzee ...

 

10 years ago

Michuzi

WAKAGUZI WA MIGODI WAELEZWA UMUHIMU WA CHECKLIST KATIKA UKAGUZI

Imeelezwa kuwa, wakaguzi wa migodi wanao mchango mkubwa katika kuepusha ajali zinazotokea migodini hususani kwa wachimbaji wadogo endapo watatoa mapendekezo na maoni yatakayowezesha kuandaa miongozo (checklist) itakayotumika katika ukaguzi wa migodi.
Hayo yameelezewa na Mtaalamu kutoka Idara ya Madini, Wizara ya Nishati na Madini , Mhandisi Noel Baraka wakati akitoa mada katika kikao kazi cha wakaguzi wa migodi wanaokutana kwa lengo la kuandaa checklist zitakazotumika kwa ajili ya shughuli za...

 

10 years ago

Vijimambo

SEMINA YA RASIMU YA SERA YA URITHI WA UTAMADUNI YAFANYIKA ZANZIBAR

Mkurugenzi Uendeshaji na Utumishi wa Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Joseph Kilangi akitoa hutuba yake ya ufunguzi katika Semina ya majadiliano ya “Rasimu ya Sera ya Urithi wa Utamaduni” iliyofanyika Forodhani Mjini Zanzibar,kulia kwake ni Mkurugenzi wa Uendeshaji na Utumishi, Sera na Utafiti wa Wizara hiyo na kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Makumbusho na Mambo ya Kale Dkt. Amina Ameir Issa. Proff Shariff Mtaalamu wa Historia akitoa mchango wake katika Semina ya majadiliano...

 

10 years ago

Mwananchi

Waaswa kuinua uchumi wa nchi

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Dk Rehema Nchimbi amewataka wanafunzi wa vyuo vikuu na vya elimu ya juu mkoani Dodoma kutumiafursa waliyonayo kuisaidia nchi kusonga mbele na kufikia uchumi wa juu zaidi.

 

5 years ago

Michuzi

KILA MTU AASWA KUTOA MCHANGO WA MAENDELEO YA UANUWAI WA UTAMADUNI

TANZANIA inaungana na dunia nzima katika kuadhimisha sherehe ya Uanuwai wa Utamaduni ambazo hufanyika kila mwaka tarehe 21 Mei. Katika sherehe za mwaka huu wa 2020, kila mwanajamii kwa nafasi yake na katika eneo lake aendelee kuchukua tahadhali zinazoendelea kutolewa na Serikali juu ya kupambana na janga hili la ugonjwa wa Covid 19 nchini na kuendelea na shughuli za kiuchumi.
Tunajivunia na kuuenzi Uanuwai wa Utamaduni nchini kwa zaidi ya miaka 56 ya Uhuru ambapo uanuai wa Utamaduni wa jamii...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Huduma jumuishi za kifedha kuinua uchumi

HIVI karibuni Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa kushirikiana na wadau wa sekta binafsi na umma, walizindua Mpango wa Taifa wa Huduma Jumuishi za Kifedha, lengo likiwa ni kuboresha ustawi...

 

10 years ago

Mwananchi

Chai ina fursa za kuinua uchumi

 Tanzania inaweza kuongeza uzalishaji wa zao la chai na kuliingizia Taifa fedha za kigeni kama nchi nyingine za Kiafrika, iwapo Serikali itaweka mazingira mazuri kwa kutumia fursa zilizopo.

 

10 years ago

Habarileo

'Viongozi muwe wabunifu kuinua uchumi'

RAIS Jakaya Kikwete amewataka viongozi wa mkoa wa Morogoro kuwa wabunifu katika kutafuta majawabu ya msingi yatakayowasaidia wananchi kuinua uchumi wao kupitia nyanja za kilimo, ufugaji na biashara ili kukuza vipato vyao na waondokane na umasikini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani