Waaswa kuinua uchumi wa nchi
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Dk Rehema Nchimbi amewataka wanafunzi wa vyuo vikuu na vya elimu ya juu mkoani Dodoma kutumiafursa waliyonayo kuisaidia nchi kusonga mbele na kufikia uchumi wa juu zaidi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
Huduma jumuishi za kifedha kuinua uchumi
HIVI karibuni Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa kushirikiana na wadau wa sekta binafsi na umma, walizindua Mpango wa Taifa wa Huduma Jumuishi za Kifedha, lengo likiwa ni kuboresha ustawi...
10 years ago
Habarileo30 Aug
'Viongozi muwe wabunifu kuinua uchumi'
RAIS Jakaya Kikwete amewataka viongozi wa mkoa wa Morogoro kuwa wabunifu katika kutafuta majawabu ya msingi yatakayowasaidia wananchi kuinua uchumi wao kupitia nyanja za kilimo, ufugaji na biashara ili kukuza vipato vyao na waondokane na umasikini.
10 years ago
Mwananchi18 Feb
Chai ina fursa za kuinua uchumi
10 years ago
Mwananchi02 Jun
Profesa Mwandosya aja na mambo 10 kuinua uchumi
10 years ago
Habarileo16 May
Waelezwa umuhimu mchango wa urithi wa utamaduni kuinua uchumi
URITHI wa utamaduni umeelezwa kuwa ni moja kati ya vitegauchumi muhimu ambapo kama utatumika vyema utaleta mchango mkubwa kwa wananchi na serikali kwa ujumla.
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
Sanaa kuinua uchumi Nigeria, Tanzania tunalo la kujifunza
HIVI karibuni dunia imeshuhudia na kushtushwa na namna ambavyo taifa la Nigeria limekua kiuchumi barani Afrika na kufanikiwa kuipiku Afrika Kusini. Hayo yamebainishwa katika takwimu mpya zilizotolewa za kupandisha pato...
9 years ago
StarTV24 Dec
Serikali yaombwa kuwaingiza wafugaji kwenye bajeti ili kuinua uchumi wa taifa
Chama cha Wafugaji Kanda ya Ziwa kimeitaka Serikali kuwatambua kuwa nao ni miongoni mwa Sekta muhimu inayoweza kuinua uchumi wa nchi na wananchi wake kwa kulipa mapato na kutaka kuingizwa katika bajeti ya walipa kodi.
Wafugaji wamesema Tanzania ni nchi ya tatu barani Afrika kwa wingi wa mifugo ya asili lakini wengi wao wanaishi katika hali duni na hata serikali imeshindwa kupata kikamilifu matunda ya kuwepo kwa rasilimali hiyo.
Hayo wameyasema katika Mkutano wao na Waziri wa Kilimo,Mifugo...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-U93ioIUE4L8/XvScuR7aiXI/AAAAAAALvYs/3rnoog_QjxkNbQnfKbTTK71k9V85vsc7gCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-25%2Bat%2B2.19.12%2BPM.jpeg)
SILIMA ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS , ASEMA AMEKUJA KUINUA UCHUMI WA WAZANZIBAR WOTE
JOTO la la nani atakayepewa kijiti kukiokongoza Zanzibar katika kinyang’anyiro cha urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM) limeendelea kupanda baada ya Kada nguli wa chama hizo Pereira Ame Silima kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo.
Silima licha ya kushika nyadhifa mbalimbali ndani ya Serikali ya Zanzibar ikiwemo Katibu Mkuu wa Wizara za Biashara Masoko na Utalii, Kilimo, Mifugo na Maliasili tangu Machi 2017 hadi sasa amekuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...
10 years ago
MichuziWATANZANIA WAASWA KUTHAMINI BIDHAA ZINAZOZALISHWA NDANI YA NCHI
NA FRANK KIBIKI, IRINGA
SHIRIKA la kuhudumia viwanda vidogo (SIDO), mkoani Iringa limewataka watanzania kujenga utamaduni wa kupenda bidhaa zinazotengenezwa ndani, badala ya zile zinazoingizwa kutoka nje ili kukuza uchumi wan chi.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Iringa, Kaimu meneja wa SIDO mkoani Iringa, Niko Mahinya alisema ikiwa watanzania wataenzi bidhaa zinazotengenezwa ndani...