Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yaombwa kuwaingiza wafugaji kwenye bajeti ili kuinua uchumi wa taifa

Chama cha Wafugaji Kanda ya Ziwa kimeitaka Serikali kuwatambua kuwa nao ni miongoni mwa Sekta muhimu inayoweza kuinua uchumi wa nchi na wananchi wake kwa kulipa mapato na kutaka kuingizwa katika bajeti ya walipa kodi.

Wafugaji wamesema Tanzania ni nchi ya tatu barani Afrika kwa wingi wa mifugo ya asili lakini wengi wao wanaishi katika hali duni na hata serikali imeshindwa kupata kikamilifu matunda ya kuwepo kwa rasilimali hiyo.

 Hayo wameyasema katika Mkutano wao na Waziri wa Kilimo,Mifugo...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAOMBWA KUTAFUTA NJIA MBADALA KUVIFIKIA VIJIJI VISIVYOFIKIKA ILI KUVIPATIA ELIMU JUU YA COVID-19




Mchungaji David Chikawe Katibu wa Kanisa la Mission to Unreaches Area nchini (MUAC)   Na.Vero Ignatus,Kibaha Pwani
Serikali imeombwa kuhakikisha kwamba inatafutanjia mbadala ,kwaajili ya kuwafikia wananchi waliopo maeneo ambayo hayafikikikiurahisi, kwaajili ya kuwapatia elimu ya kuepukana maambukizi ya homa kali yamapafu, inayosababishwa na virusi vya Corona (COVID-19

Hayo yamesemwa na Mchungaji David Chikawe Katibu wa Kanisa la Mission to Unreaches Area nchini (MUAC),lililopo Kibaha mkoa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mikakati inayopaswa kuzingatiwa na Serikali ijayo ili kujenga uchumi bora

Mwezi wa Oktoba, Watanzania watamchagua Rais mpya Wabunge na Madiwani katika uchaguzi mkuu. Ni vyema Watanzania wakafahamu umuhimu wa uongozi katika maendeleo ya uchumi na jamii.

 

9 years ago

StarTV

Serikali yashauriwa kutenga bajeti ya kununua vifaa tiba ili Kupunguza Vifo Vya Watoto

 

SERIKALI imepewa changamoto ya kutenga fedha katika bajeti yake na kununua vifaa tiba pamoja na dawa zitakazosaidia kupunguza au kuondoa kabisa vifo vya watoto wachanga hapa nchini ambapo ripoti mbalimbali zinaonyesha mwaka jana pekee imefikia watoto elfu kumi na tatu.

Changamoto hiyo imetolewa na Taasisi ya Doris Mollel Foundation muda mfupi baada ya kukabidhi vifaa vitakavyosaidia kuokoa maisha ya watoto wachanga hususani watoto njiti katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Iringa.

Ndani ya...

 

5 years ago

Michuzi

Wizara ya Kilimo Lazima Tuongeze Tija na Uzalishaji Ili Kuipeleka Tanzania kwenye Uchumi wa Viwanda – Waziri Hasunga


Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga akisisitiza jambo wakati akizungumza kwenye kikao kazi na Wenyeviti, Wakuu wa Bodi za Mazao, na Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Kilimo pamoja na Idara na Vitengo vya Wizara ya Kilimo uliofanyika Leo Tarehe 7 Machi 2020 Jijini Dodoma. Wengine Pichani ni Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Omary Mgumba (Kulia) na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Musabila Kusaya. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)

Sehemu ya Wenyeviti, Wakuu wa Bodi za Mazao, na...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAOMBWA KULIINGIZA ZAO LA PILI PILI KICHAA KWENYE MAZAO YA KIMKAKATI.


Mhandishi na mkulima wa Manguajuki manispaa ya Singida,akikagua pilipili kichaa.Bei ya pilipili kichaa kilo ni shilingi 5,000 kwa kilo. Sehemu ya ekari tano za shamba la pilipili kichaa la mhandisi/mkulima wa Manguanjuki manspaa ya SingidamHassan Tati. Mmoja kati ya miche ya mapapai iliyopo kwenye shamba la pilipili kichaa linalomilikiwa na mhandisi/mkulima Haasan Tati mkazi wa Manguanjuki nje kidogo ya mji wa Singida.Mhandisi na mkulima na mkazi wa Manguanjuki manispaa ya ...

 

5 years ago

BBCSwahili

Je mapigano ya Jubaland na serikali ya Somalia yanaweza kuwaingiza zaidi Alshabab Kenya?

Hali ya utulivu imerejea katika eneo la Mandera kaskazini mwa Kenya baada ya mapigano makali yaliyotokea Jumatatu kati ya wanajeshi wa serikali ya Somalia na wale wa eneo la Jubaland.

 

10 years ago

Mwananchi

Waaswa kuinua uchumi wa nchi

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Dk Rehema Nchimbi amewataka wanafunzi wa vyuo vikuu na vya elimu ya juu mkoani Dodoma kutumiafursa waliyonayo kuisaidia nchi kusonga mbele na kufikia uchumi wa juu zaidi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani