Profesa Mwandosya aja na mambo 10 kuinua uchumi
>Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark Mwandosya jana alitangaza nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kusema kesho atachukua fomu za kuwania nafasi hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi24 Nov
Waaswa kuinua uchumi wa nchi
10 years ago
Uhuru Newspaper26 Oct
Profesa Mwandosya alonga
NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
ALIYEKUWA mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Profesa Mark Mwandosya, amesema suala la wabunge kuwajibishwa na wananchi, halipo katika katiba ya nchi yoyote duniani.
Imeelezwa wajumbe wa Bunge hilo waliangalia na kuzipitia katiba nyingi, lakini hawakuona hata moja iliyowapa uwezo wananchi kumwajibisha mbunge.
Profesa Mwandosya aliyasema hayo, alipokuwa akijibu swali aliloulizwa kwanini katiba iliyopendekezwa haikuweka kifungu hicho kama wananchi walivyopendekeza...
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
Huduma jumuishi za kifedha kuinua uchumi
HIVI karibuni Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa kushirikiana na wadau wa sekta binafsi na umma, walizindua Mpango wa Taifa wa Huduma Jumuishi za Kifedha, lengo likiwa ni kuboresha ustawi...
10 years ago
Mwananchi18 Feb
Chai ina fursa za kuinua uchumi
10 years ago
Habarileo30 Aug
'Viongozi muwe wabunifu kuinua uchumi'
RAIS Jakaya Kikwete amewataka viongozi wa mkoa wa Morogoro kuwa wabunifu katika kutafuta majawabu ya msingi yatakayowasaidia wananchi kuinua uchumi wao kupitia nyanja za kilimo, ufugaji na biashara ili kukuza vipato vyao na waondokane na umasikini.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-vPUAyMtg3No/Uve1M71KpKI/AAAAAAAFL8I/7mHOSQkASfo/s72-c/unnamed+(12).jpg)
profesa mwandosya atembelea rwanda
![](http://1.bp.blogspot.com/-vPUAyMtg3No/Uve1M71KpKI/AAAAAAAFL8I/7mHOSQkASfo/s1600/unnamed+(12).jpg)
10 years ago
MichuziPROFESA MARK MWANDOSYA ANENA
Nilidhani leo mitandao yote ingesheni habari hiyo kubwa. Kumbe nami nimekuwa "staa" katika mitandao ya kijamii. Kuanzia asubuhi nimekuwa nikipokea na kujibu simu mbalimbali nikiulizwa maoni yangu kuhusu tukio la jana, kuhusu mchakato wa Dodoma...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-LfwYYKo-5tM/VbpKjD7OiAI/AAAAAAABS8E/k1Ps_CRB4JM/s72-c/mwandosya.jpg)
PROFESA MWANDOSYA ANENA YA MOYONI
![](http://1.bp.blogspot.com/-LfwYYKo-5tM/VbpKjD7OiAI/AAAAAAABS8E/k1Ps_CRB4JM/s640/mwandosya.jpg)
10 years ago
Mwananchi04 Jun
Safari ya maisha ya Profesa Mwandosya