Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Profesa Mwandosya alonga


NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
ALIYEKUWA mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Profesa Mark Mwandosya, amesema suala la wabunge kuwajibishwa na wananchi, halipo katika katiba ya nchi yoyote duniani.
Imeelezwa wajumbe wa Bunge hilo waliangalia na kuzipitia katiba nyingi, lakini hawakuona hata moja  iliyowapa uwezo wananchi kumwajibisha mbunge.
Profesa Mwandosya aliyasema hayo, alipokuwa akijibu swali aliloulizwa kwanini katiba iliyopendekezwa haikuweka kifungu hicho kama wananchi walivyopendekeza...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Safari ya maisha ya Profesa Mwandosya

Wahenga walishasema maisha ni safari ndefu. Ni ukweli ulio dhahiri kwamba viongozi wengi wanaolitumikia taifa hili katika nyadhifa kubwa na tofauti wamepita katika hatua nyingi za maisha tangu kuzaliwa kwao.

 

10 years ago

Vijimambo

PROFESA MWANDOSYA ANENA YA MOYONI

Na Profesa Mark MwandosyaLeo ni siku inayofuatia jana, siku ambayo Ndugu yangu Edward Ngoyai Lowassa aliacha rasmi uanachama wa CCM na kupewa kadi ya uanachama wa Chadema. Si yeye tu bali alisindikizwa na mke wake mpendwa Mama Regina Lowassa. Nilidhani leo mitandao yote ingesheni habari hiyo kubwa. Kumbe nami nimekuwa "staa" katika mitandao ya kijamii. Kuanzia asubuhi nimekuwa nikipokea na kujibu simu mbalimbali nikiulizwa maoni yangu kuhusu tukio la jana, kuhusu mchakato wa Dodoma...

 

10 years ago

Michuzi

PROFESA MARK MWANDOSYA ANENA

Na Profesa Mark MwandosyaLeo ni siku inayofuatia jana, siku ambayo Ndugu yangu Edward Ngoyai Lowassa aliacha rasmi uanachama wa CCM na kupewa kadi ya uanachama wa Chadema. Si yeye tu bali alisindikizwa na mke wake mpendwa Mama Regina Lowassa. 

Nilidhani leo mitandao yote ingesheni habari hiyo kubwa. Kumbe nami nimekuwa "staa" katika mitandao ya kijamii. Kuanzia asubuhi nimekuwa nikipokea na kujibu simu mbalimbali nikiulizwa maoni yangu kuhusu tukio la jana, kuhusu mchakato wa Dodoma...

 

11 years ago

Michuzi

profesa mwandosya atembelea rwanda

Waziri wa nchi ofisi ya Rais Mhe.Prof.Mark J.Mwandosya akizungumza na Mawaziri wa Rwanda.Kutoka kulia ni waziri ofisi ya Rais Mhe.Venantie Tugireyezo, Waziri wa mambo ya nje Mhe.Louise Mushikiwabo pamoja na kaimu balozi wa Tanzania nchini Rwanda Bw. Francis Mwaipaja

 

11 years ago

Michuzi

profesa mwandosya ziarani Burundi

Akiwa ziarani Burundi,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Profesa Mark Mwandosya  (wa tatu kulia) ,amepata nafasi ya kutembelea Bandari ya Uvira,Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.Amepewa maelezo  na Bwana Pierre Kalala Shabani,wa pili kulia. kuhusu shughuli za bandari hiyo ambayo ni ya pili kwa ukubwa baada ya Matadi.Wengine ni viongozi wa idara za bandari ya Uvira.Wamelalamika kudorora kwa shughuli za bandari kutokana na kupungua kwa ufanisi wa Reli ya Kati Tanzania.  Waziri...

 

11 years ago

Michuzi

Profesa Mark Mwandosya ziarani Burundi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum)yuko Bujumbura,Burundi, kwa ziara ya kikazi ya wiki moja. Hapa Prof Mwandosya akiwa na ujumbe wake ana mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Burundi, Joseph Bangurambana      .Waliosimama kutoka kushoto ni Bw. Anthony Massawe   kutoka DAWASA, Bi Miriam Mahanyu wa EWURA, Wales Chiwawa wa TCAA, na  BW. Elias Tamba,Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Burundi.

 

10 years ago

Mtanzania

Profesa Mwandosya amshika pabaya Dk. Slaa

MwandosyaNa Debora Sanja, Dodoma
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark Mwandosya ‘amemvaa’ Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa na kusema kwamba kiongozi huyo amekosa uzalendo kwa hatua yake ya kuizungumza vibaya Tanzania akiwa nje ya nchi.
Profesa Mwandosya alitoa kauli hiyo bungeni jana wakati akichangia mjadala wa Bajeti ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Utawala Bora, Uhusiano na Uratibu kwa mwaka wa fedha...

 

10 years ago

Raia Mwema

Mpambano wa Profesa Mwandosya na Zitto Kabwe

WIKI iliyopita, Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, alitoa wito kwa watu wanaotaka urais

Mwandishi Wetu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani