Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


profesa mwandosya ziarani Burundi

Akiwa ziarani Burundi,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Profesa Mark Mwandosya  (wa tatu kulia) ,amepata nafasi ya kutembelea Bandari ya Uvira,Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.Amepewa maelezo  na Bwana Pierre Kalala Shabani,wa pili kulia. kuhusu shughuli za bandari hiyo ambayo ni ya pili kwa ukubwa baada ya Matadi.Wengine ni viongozi wa idara za bandari ya Uvira.Wamelalamika kudorora kwa shughuli za bandari kutokana na kupungua kwa ufanisi wa Reli ya Kati Tanzania.  Waziri...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Profesa Mark Mwandosya ziarani Burundi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum)yuko Bujumbura,Burundi, kwa ziara ya kikazi ya wiki moja. Hapa Prof Mwandosya akiwa na ujumbe wake ana mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Burundi, Joseph Bangurambana      .Waliosimama kutoka kushoto ni Bw. Anthony Massawe   kutoka DAWASA, Bi Miriam Mahanyu wa EWURA, Wales Chiwawa wa TCAA, na  BW. Elias Tamba,Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Burundi.

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Mwandosya ziarani nchini Burundi

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Kazi Maalum),Profesa Mark Mwandosya,wa tatu kushoto akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Biashara,Viwanda,Posta,na Utalii wa Burundi,Mhe.Rose Nizigiyimana.Wengine ni maafisa walioongozana na Waziri Mwandosya na wale wa Burundi. Waziri wa Biashara,Viwanda,Posta,na Utalii wa Burundi Mhe Marie Rose Nizigiyimana na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais(Kazi Maalum),Profesa Mark Mwandosya wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Tanzania naule wa Burundi baada ya...

 

11 years ago

Michuzi

ziara ya Profesa Mwandosya nchini Burundi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum)  Profesa Mark Mwandosya,wa pili kulia, amekuwa na mazungumzo na Waziri wa Mawasiliano ya Simu,Habari,na Uhusiano na Bunge,wa Burundi,Mhe.Tharcisse Nkezabahizi,watatu kulia, na Francois Sigejeje,Katibu Mkuu wa Wizara yake,wa nne kulia.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Prof. Mark k Mwandosya ,wa tano kushoto ametembelea Mamlaka ya Maji na Umeme ya Burundi(REGIDESO) mjini Bujumbura.Pamoja naye ni Liberat Mfumukiko,wa sita kushoto.Wengine...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Mwandosya ziarani Zanzibar

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais -Kazi Maalum, Prof. Mark Mwandosya akifungua kisima cha maji cha Mradi wa SEMUSO uliopo Kibandamaiti, Zanzibar.Nyuma yake mwenye mawani ni Mheshimiwa Mussa Mussa Mbunge wa Amani.Baada ya kufungulia bomba la maji ya Mradi wa SEMUSO,Kibandamaiti,Zanzibar,Waziri Mwandosya alimtwisha ndoo ya maji Ndugu Ali Magoha, Mjumbe wa Kamati ya Mradi wa SEMUSO, kuashiria kuyafikisha maji kwa watumiaji.Tanki la maji la Mradi wa Maji wa SEMUSO lililo Kibandamaiti,Zanzibai,Mradi...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Profesa Mwandosya alonga


NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
ALIYEKUWA mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Profesa Mark Mwandosya, amesema suala la wabunge kuwajibishwa na wananchi, halipo katika katiba ya nchi yoyote duniani.
Imeelezwa wajumbe wa Bunge hilo waliangalia na kuzipitia katiba nyingi, lakini hawakuona hata moja  iliyowapa uwezo wananchi kumwajibisha mbunge.
Profesa Mwandosya aliyasema hayo, alipokuwa akijibu swali aliloulizwa kwanini katiba iliyopendekezwa haikuweka kifungu hicho kama wananchi walivyopendekeza...

 

10 years ago

Michuzi

PROFESA MARK MWANDOSYA ANENA

Na Profesa Mark MwandosyaLeo ni siku inayofuatia jana, siku ambayo Ndugu yangu Edward Ngoyai Lowassa aliacha rasmi uanachama wa CCM na kupewa kadi ya uanachama wa Chadema. Si yeye tu bali alisindikizwa na mke wake mpendwa Mama Regina Lowassa. 

Nilidhani leo mitandao yote ingesheni habari hiyo kubwa. Kumbe nami nimekuwa "staa" katika mitandao ya kijamii. Kuanzia asubuhi nimekuwa nikipokea na kujibu simu mbalimbali nikiulizwa maoni yangu kuhusu tukio la jana, kuhusu mchakato wa Dodoma...

 

10 years ago

Mwananchi

Safari ya maisha ya Profesa Mwandosya

Wahenga walishasema maisha ni safari ndefu. Ni ukweli ulio dhahiri kwamba viongozi wengi wanaolitumikia taifa hili katika nyadhifa kubwa na tofauti wamepita katika hatua nyingi za maisha tangu kuzaliwa kwao.

 

11 years ago

Michuzi

profesa mwandosya atembelea rwanda

Waziri wa nchi ofisi ya Rais Mhe.Prof.Mark J.Mwandosya akizungumza na Mawaziri wa Rwanda.Kutoka kulia ni waziri ofisi ya Rais Mhe.Venantie Tugireyezo, Waziri wa mambo ya nje Mhe.Louise Mushikiwabo pamoja na kaimu balozi wa Tanzania nchini Rwanda Bw. Francis Mwaipaja

 

10 years ago

Vijimambo

PROFESA MWANDOSYA ANENA YA MOYONI

Na Profesa Mark MwandosyaLeo ni siku inayofuatia jana, siku ambayo Ndugu yangu Edward Ngoyai Lowassa aliacha rasmi uanachama wa CCM na kupewa kadi ya uanachama wa Chadema. Si yeye tu bali alisindikizwa na mke wake mpendwa Mama Regina Lowassa. Nilidhani leo mitandao yote ingesheni habari hiyo kubwa. Kumbe nami nimekuwa "staa" katika mitandao ya kijamii. Kuanzia asubuhi nimekuwa nikipokea na kujibu simu mbalimbali nikiulizwa maoni yangu kuhusu tukio la jana, kuhusu mchakato wa Dodoma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani