Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Mwandosya ziarani Zanzibar

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais -Kazi Maalum, Prof. Mark Mwandosya akifungua kisima cha maji cha Mradi wa SEMUSO uliopo Kibandamaiti, Zanzibar.Nyuma yake mwenye mawani ni Mheshimiwa Mussa Mussa Mbunge wa Amani.Baada ya kufungulia bomba la maji ya Mradi wa SEMUSO,Kibandamaiti,Zanzibar,Waziri Mwandosya alimtwisha ndoo ya maji Ndugu Ali Magoha, Mjumbe wa Kamati ya Mradi wa SEMUSO, kuashiria kuyafikisha maji kwa watumiaji.Tanki la maji la Mradi wa Maji wa SEMUSO lililo Kibandamaiti,Zanzibai,Mradi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Waziri Mwandosya ziarani nchini Burundi

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Kazi Maalum),Profesa Mark Mwandosya,wa tatu kushoto akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Biashara,Viwanda,Posta,na Utalii wa Burundi,Mhe.Rose Nizigiyimana.Wengine ni maafisa walioongozana na Waziri Mwandosya na wale wa Burundi. Waziri wa Biashara,Viwanda,Posta,na Utalii wa Burundi Mhe Marie Rose Nizigiyimana na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais(Kazi Maalum),Profesa Mark Mwandosya wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Tanzania naule wa Burundi baada ya...

 

11 years ago

Michuzi

profesa mwandosya ziarani Burundi

Akiwa ziarani Burundi,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Profesa Mark Mwandosya  (wa tatu kulia) ,amepata nafasi ya kutembelea Bandari ya Uvira,Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.Amepewa maelezo  na Bwana Pierre Kalala Shabani,wa pili kulia. kuhusu shughuli za bandari hiyo ambayo ni ya pili kwa ukubwa baada ya Matadi.Wengine ni viongozi wa idara za bandari ya Uvira.Wamelalamika kudorora kwa shughuli za bandari kutokana na kupungua kwa ufanisi wa Reli ya Kati Tanzania.  Waziri...

 

11 years ago

Michuzi

Profesa Mark Mwandosya ziarani Burundi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum)yuko Bujumbura,Burundi, kwa ziara ya kikazi ya wiki moja. Hapa Prof Mwandosya akiwa na ujumbe wake ana mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Burundi, Joseph Bangurambana      .Waliosimama kutoka kushoto ni Bw. Anthony Massawe   kutoka DAWASA, Bi Miriam Mahanyu wa EWURA, Wales Chiwawa wa TCAA, na  BW. Elias Tamba,Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Burundi.

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Mwandosya akutana na Pele


Akiwa njiani kwenda Hanoi, Vietnam, Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais ( Kazi Maalum),Profesa Mark Mwandosya, amekutana na  Edson Arantes do Nascimento (Pelé) mwanamichezo maarufu sana duniani. Pelé atatimiza umri wa miaka 75 ifikapo tarahe 23 Oktoba,2015. Katika uhai wake, Pelé aliweza kuingiza magoli 1283 katika michezo ya ushindani wa mpira wa miguu. 
Pelé aliichezea timu yake klabu ya Santos, Brazil kuanzia mwaka 1956 mpaka mwaka 1974.Baada ya kustaafu alijiunga na klabu ya New York ...

 

11 years ago

Michuzi

MKE WA MFALME MSWATI ZIARANI ZANZIBAR.

Mke wa Mfalme Mswati wa Swaziland Nomsa Matsebula kulia akipata maelezo kutoka kwa Mwalimu wa Chuo cha Kilimo Kizimbani Fumu Ali Garo kuhusu Mmea wa Mchaichai na faida zake wakati alipotembelea katika Shanba la Viungo Kizimbani ikiwa ni Miongoni mwa Ziara yake Zanzibar. Mmea wa Mmanjano kama Unavyoonekana ambao ni miongoni mwa mimea yenye faida kubwa ambao hupatikana sehemu ya Kizimbani Zanzibar. Mke wa Mfalme Mswati wa Swaziland Nomsa Matsebula Katikati akipata maelezo kuhusu Mmea wa...

 

10 years ago

Michuzi

ziara ya kikazi ya profesa mark mwandosya zanzibar

Kwa mwaliko wa Waziri wa Ardhi, Makaazi,Maji na Nishati wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Mheshimiwa Ramadhan Abdallah Shaaban, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum, Mark Mwandosya ametembeleaZanzibar kwa ziara ya kikazi. Pamoja na mambo mengine,Waziri Mwandosya amefungua rasmi Mradi wa maji wa Sebleni-Muungano-Sogea,SEMUSO. Tanki la maji la Mradi wa Maji wa SEMUSO lililo Kibandamaiti,Zanzibai,Mradi uliozinduliwa na Waziri Mwandosya.Waziri Mwandosya amepata nafasi ya kuhudhuria na...

 

10 years ago

Michuzi

Ziara ya Waziri Mwandosya nchini Ethiopia

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais(Kazi Maalum) Profesa Mark Mwandosya amekuwa na mazungumzo na mwenyeji wake Mheshimiwa Alemayehu Tegenu kuhusu maendeleo ya maji na umeme katika nchi zao Waziri Tegenu (kulia) akiwa na Waziri Mwandosya.Mawaziri wakisikiliza maafisa wa Ethiopia wakiwasilisha mada mbalimbali.Picha ya pamoja baada ya kikao. Wa  tatu kulia ni Ndugu Suma Mwakyusa Afisa Mwandamizi Ubalozi wa Tanzania Addis Ababa, wa nne kulia ni Mheshimiwa Naima Aziz, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia,...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Membe ziarani nchini Kuweit

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe akiwasili hotelini nchini Kuwait kwa ziara ya kikazi ya siku moja, ambapo atakutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait na Mkurugenzi Mkuu wa Kuwait Fund.Anayeongozana na Waziri Membe (mwenye kanzu nyeupe) ni Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Nassem Ibrahim Al Najib ambaye alimpokea uwanja wa ndege. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe akiwa kwenye picha ya...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Habari ziarani nchini China

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenela Mukangala yuko nchini China katika ziara ya kuangalia maendeleo ya Sekta ya Utangazaji na kuimarisha ushirikiano katika sekta ya Utangazaji kati ya Tanzania na China.
Katika ziara hiyo ameongozana na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Sihaba Nkinga, Mkurugenzi Mkuu wa TBC Bw. Clement Mshana na Mkurugenzi wa Utangazaji TCRA Bwana Habbi Gunze. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenela Mukangala na ujumbe wake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani