simu TV: profesa mwandosya azindua kitabu
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper26 Oct
Profesa Mwandosya alonga
NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
ALIYEKUWA mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Profesa Mark Mwandosya, amesema suala la wabunge kuwajibishwa na wananchi, halipo katika katiba ya nchi yoyote duniani.
Imeelezwa wajumbe wa Bunge hilo waliangalia na kuzipitia katiba nyingi, lakini hawakuona hata moja iliyowapa uwezo wananchi kumwajibisha mbunge.
Profesa Mwandosya aliyasema hayo, alipokuwa akijibu swali aliloulizwa kwanini katiba iliyopendekezwa haikuweka kifungu hicho kama wananchi walivyopendekeza...
11 years ago
Michuziprofesa mwandosya ziarani Burundi
Akiwa ziarani Burundi,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Profesa Mark Mwandosya (wa tatu kulia) ,amepata nafasi ya kutembelea Bandari ya Uvira,Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.Amepewa maelezo na Bwana Pierre Kalala Shabani,wa pili kulia. kuhusu shughuli za bandari hiyo ambayo ni ya pili kwa ukubwa baada ya Matadi.Wengine ni viongozi wa idara za bandari ya Uvira.Wamelalamika kudorora kwa shughuli za bandari kutokana na kupungua kwa ufanisi wa Reli ya Kati Tanzania. Waziri...
11 years ago
Michuziprofesa mwandosya atembelea rwanda
Waziri wa nchi ofisi ya Rais Mhe.Prof.Mark J.Mwandosya akizungumza na Mawaziri wa Rwanda.Kutoka kulia ni waziri ofisi ya Rais Mhe.Venantie Tugireyezo, Waziri wa mambo ya nje Mhe.Louise Mushikiwabo pamoja na kaimu balozi wa Tanzania nchini Rwanda Bw. Francis Mwaipaja
10 years ago
Mwananchi04 Jun
Safari ya maisha ya Profesa Mwandosya
Wahenga walishasema maisha ni safari ndefu. Ni ukweli ulio dhahiri kwamba viongozi wengi wanaolitumikia taifa hili katika nyadhifa kubwa na tofauti wamepita katika hatua nyingi za maisha tangu kuzaliwa kwao.
10 years ago
VijimamboPROFESA MWANDOSYA ANENA YA MOYONI
Na Profesa Mark MwandosyaLeo ni siku inayofuatia jana, siku ambayo Ndugu yangu Edward Ngoyai Lowassa aliacha rasmi uanachama wa CCM na kupewa kadi ya uanachama wa Chadema. Si yeye tu bali alisindikizwa na mke wake mpendwa Mama Regina Lowassa. Nilidhani leo mitandao yote ingesheni habari hiyo kubwa. Kumbe nami nimekuwa "staa" katika mitandao ya kijamii. Kuanzia asubuhi nimekuwa nikipokea na kujibu simu mbalimbali nikiulizwa maoni yangu kuhusu tukio la jana, kuhusu mchakato wa Dodoma...
10 years ago
MichuziPROFESA MARK MWANDOSYA ANENA
Na Profesa Mark MwandosyaLeo ni siku inayofuatia jana, siku ambayo Ndugu yangu Edward Ngoyai Lowassa aliacha rasmi uanachama wa CCM na kupewa kadi ya uanachama wa Chadema. Si yeye tu bali alisindikizwa na mke wake mpendwa Mama Regina Lowassa.
Nilidhani leo mitandao yote ingesheni habari hiyo kubwa. Kumbe nami nimekuwa "staa" katika mitandao ya kijamii. Kuanzia asubuhi nimekuwa nikipokea na kujibu simu mbalimbali nikiulizwa maoni yangu kuhusu tukio la jana, kuhusu mchakato wa Dodoma...
Nilidhani leo mitandao yote ingesheni habari hiyo kubwa. Kumbe nami nimekuwa "staa" katika mitandao ya kijamii. Kuanzia asubuhi nimekuwa nikipokea na kujibu simu mbalimbali nikiulizwa maoni yangu kuhusu tukio la jana, kuhusu mchakato wa Dodoma...
11 years ago
Michuziziara ya Profesa Mwandosya nchini Burundi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Profesa Mark Mwandosya,wa pili kulia, amekuwa na mazungumzo na Waziri wa Mawasiliano ya Simu,Habari,na Uhusiano na Bunge,wa Burundi,Mhe.Tharcisse Nkezabahizi,watatu kulia, na Francois Sigejeje,Katibu Mkuu wa Wizara yake,wa nne kulia.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Prof. Mark k Mwandosya ,wa tano kushoto ametembelea Mamlaka ya Maji na Umeme ya Burundi(REGIDESO) mjini Bujumbura.Pamoja naye ni Liberat Mfumukiko,wa sita kushoto.Wengine...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Prof. Mark k Mwandosya ,wa tano kushoto ametembelea Mamlaka ya Maji na Umeme ya Burundi(REGIDESO) mjini Bujumbura.Pamoja naye ni Liberat Mfumukiko,wa sita kushoto.Wengine...
11 years ago
MichuziProfesa Mark Mwandosya ziarani Burundi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum)yuko Bujumbura,Burundi, kwa ziara ya kikazi ya wiki moja. Hapa Prof Mwandosya akiwa na ujumbe wake ana mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Burundi, Joseph Bangurambana .Waliosimama kutoka kushoto ni Bw. Anthony Massawe kutoka DAWASA, Bi Miriam Mahanyu wa EWURA, Wales Chiwawa wa TCAA, na BW. Elias Tamba,Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Burundi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania