Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasanii watakiwa kujiwekea akiba

WASANII nchini wametakiwa kujenga utamaduni wa kujiwekea akiba katika mifuko mbalimbali ya jamii kwani kufanya hivyo kutawasaidia katika maisha yao baada ya kustaafu kazi zao au wanapokuwa hawana tena uwezo wa kufanya kazi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Wasanii waelezwa umuhimu wa kujiwekea akiba

WASANII nchini wametakiwa kujenga utamaduni wa kujiwekea akiba katika mifuko mbalimbali ya jamii kwa kuwa kufanya hivyo kuna kumuhimu mkubwa katika maisha yao baada kuwa wamestaafu kazi zao au wanapokuwa hawana tena uwezo wa kufanya kazi.

Hayo yalisemwa na msanii mkongwe wa maigizo hapa nchini Bakari Mbelemba maarufu kwa jina la Mzee Jangala wakati akizungumza katika Jukwaa la na Sanaa lililofanyika Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) mwanzoni mwa wiki hii jijini Dar es Salaam.

Mzee ...

 

11 years ago

GPL

WASANII WAPEWA SOMO KUHUSU KUJIWEKEA AKIBA YA UZEENI

Baadhi ya wasanii waliohudhuria mkutano huo. Viongozi kutoka PSPF na COSOTA  ambao waliwapa somo waigizaji . Mwenyekiti wa Bongo Muvi,…

 

10 years ago

Raia Tanzania

Exim yahamasisha kujiwekea akiba

BENKI ya Exim Tanzania mwishoni mwa wiki ilifanya droo ya kwanza ya kampeni ya Akaunti ya Malengo ili kuwahamasisha wananchi kuwa na utamaduni wa kujiwekea akiba.

Droo hiyo iliyosimamiwa na Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, ni ya kwanza kati ya sita zinazotarajiwa kuendeshwa katika kampeni hiyo.

Akizungumza wakati wa kufanyika kwa droo hiyo, Meneja Bidhaa wa Benki ya Exim, Aloyse Maro, alisema kampeni hiyo ni sehemu ya jitahada za benki kuwapatia wateja wake faida zaidi pamoja...

 

11 years ago

Mwananchi

SSRA yawashauri watu kujiwekea akiba

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka amesema kuwa wananchi wengi wanaogopa kujiwekea akiba kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii kutokana na hisia potovu kuwa wao ni maskini.

 

11 years ago

Mwananchi

Wanawake waaswa kujifunza kujiwekea akiba

Wanawake nchini wameaswa kujenga tabia ya kutunza akiba, ili kufikia malengo wanayojiwekea kwa maendeleo ya familia zao.

 

9 years ago

Mwananchi

Njia bora za kujiwekea akiba kwa ajili ya faida ya baadaye

Taifa lenye akiba ya kutosha na uchumi imara linakuwa na uwezo katika kujiletea maendeleo na hata kustahimili majanga yoyote yanapotokea. Nguvu hiyo inatokana na uwezo mkubwa wa akiba na mtaji iliyowekezwa kwenye miradi mikubwa.

 

11 years ago

GPL

WENGI WAVUTIWA NA HUDUMA ZITOLEWAZO NA MFUKO WA GEPF NA KUJIUNGA KATIKA MPANGO WA HIARI WA KUJIWEKEA AKIBA

Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Fedha na Uchumi Bi Doroth Mwanyika akijaza fomu ya kujiunga na mpango wa Hiari katika Mfuko wa Mafao ya Kustaafu wa GEPF. Afisa kutoka GEPF Bw Swinford Mndellah akitoa ufafanuzi kwa wanachama wa GEPF kutokaJeshi la Polisi juu ya huduma mpya zitolewazo na Mfuko.…

 

11 years ago

Michuzi

WAHARIRI WAANDAMIZI WAHAMASIKA NA KUJIUNGA RASMI KATIKA MPANGO MAALUM WA KUJIWEKEA AKIBA (VSRS) KATIKA MFUKO WA GEPF

Meneja Masoko na Huduma kwa Wateja wa Mfuko wa GEPF,Bw Aloyce Ntukamazina akiwasilisha mada juu ya uchangiaji wa hiari katika mpango wa VSRS,wakati wa Semina iliyofanyika mwishoni mwa wiki mkoani Mtwara. Meneja Masoko na Huduma kwa Wateja wa Mfuko wa GEPF,Bw Aloyce Ntukamazina akimkabidhi kadi ya uanachama wa hiari,Bi Grace Hokka ambaye ni Mhariri kutoka kampuni ya New Habari huku akifurahia kujiunga rasmi katika mpango wa hiari wa GEPF Meneja Masoko na Huduma kwa Wateja wa Mfuko wa GEPF,Bw...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani