Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAWAMBWA AKABIDHI PIKIPIKI KWA MADEREVA BODA NA KUWAASA WAJASIRIAMALI KUUNDA VIKUNDI





*****************************
NA MWAMVUA MWINYI,BAGAMOYO
Mbunge wa jimbo la Bagamoyo, Dkt. Shukuru Kawambwa amekabidhi pikipiki tatu kwa kikundi cha waendesha bodaboda kilichopo kitongoji cha Benki kata ya Dunda ,Huku akiwaasa wajasiriamali kutopuuzia kujiunga vikundi kwani vinasaidia kupata fursa mbalimbali kirahisi.
Pikipiki hizo ambazo zimenunuliwa kutokana na mkopo uliotolewa na halmashauri ya Bagamoyo kwa vijana, zimekabidhiwa kwa kikundi hicho kinachojulikana kwa jina la Umoja wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BODA BODA MBEYA WATANGAZA MGOMO WA KUTOBADILISHA NAMBA ZA PIKIPIKI


MWENYEKITI wa chama cha Bodaboda mkoa wa Mbeya, VICENT MWASHOMA.KATIBU wa Bodaboda mkoa wa Mbeya, MSUMBA MDESA, akitoa tamko kwa niaba ya waendesha Boda boda mkoa wa Mbeya.
Mabango yakafuata na kuanza kusema kama yanavyosomeka hapo chini. BAADA ya mabango na tamko, wakaonesha wamekubaliana, kisha yakafuata makofi kutoka kwa viongozi wengine ambao walikusanyika leo katika ukumbi wa Coffee Garden Jijini Mbeya. Baadhi ya viongozi kutoka wilaya zote za mkoa wa Mbeya, wakisikiliza wakati viongozi...

 

11 years ago

GPL

MADEREVA WA BODA BODA, BAJAJ WAANDAMANA KINONDONI JIJINI DAR

Madereva Bajaj na Bodaboda wakiwa nje ya ofisi za chadema Makao Makuu Kinondoni jijini Dar wakipinga tamko la kuzuiwa kuingia kati kati ya mji na maeneo ya mjini.
Mmoja wa Madereva Bajaj akiongea na vyombo vya habari makao makuu ya Chadema Kinondoni. Polisi…

 

11 years ago

Michuzi

MADEREVA WA BODA BODA SIMANJIRO MKOANI MANYARA WAANDAMANA

Mkuu wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, ASP Lwitiko Norman Kibanda, akizungumza na madereva wa pikipiki za kubeba abiria ambao juzi waliandamana hadi kwenye kituo hicho wakipinga kutozwa fedha sh22,000 na maofisa biashara wa wilaya hiyo, waliodai kuwa tozo hizo ni amri ya Mamlaka ya Usafirishari wa vyombo vya usafiri wa majini na nchi kavu (Sumatra).

Madereva wanaoendesha pikipiki 800 wa kubeba abiria, maarufu kama bodaboda wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM AKABIDHI PIKIPIKI 9 NA BAISKELI 86 KWA KATA NA MATAWI YA CCM WILAYA YA KIBAHA VIJIJINI,PIA AKABIDHI KADI KWA WANACHAMA WAPYA ZAIDI YA 100

 Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,Ndg. Abdulrahman Kinana (wa pili kulia) akikabidhi funguo ya Pikipiki kwa mmoja wa Makatibu Kata katika Wilaya ya Kibaha Vijijini,wakati wa shunguli ya kukabidhi Pikipiki 13 kwa Makatibu Kata na Baiskeli 86 kwa Wenyeviti wa Matawi ya CCM yaliopo kwenye Wilaya hiyo,Vifaa hivyo vilivyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Kibaha Vijijini,Mh. Hamoud Abuu Jumaa (kulia).  Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,Ndg. Abdulrahman Kinana akikabidhi sehemu ya Baiskeli 86 kwa...

 

5 years ago

Michuzi

KAWAMBWA AKABIDHI VITI MWENDO KWA WATOTO WENYE ULEMAVU

 NA MWAMVUA MWINYI,BAGAMOYO  Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo, Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa amekabidhi viti mwendo kwa watoto wenye ulemavu wa miguu katika jimbo lake.  Akizungumza wakati wa kukabidhi viti mwendo hivyo, Dkt. Kawambwa alisema kuwa, viti mwendo hivyo ni msaada kutoka kwa mama Janeth Magufuli hivyo anakabidhi kwa walengwa ili kutimiza wajibu wake kama alivyooagizwa na mama Janeth Magufuli.  Alisema Viti mwendo hivyo vitawasaidia watoto hao kutembea sehemu mbali mbali kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Makalla akabidhi pikipiki 5 kwa kata mpya Mvomero

Naibu Waziri wa Maji na Mbunge wa Mvomero, Amos Makalla amekabidhi pikipiki tano kwa kata mpya tano za Chama cha Mapinduzi (CCM) ili kuwasaudia watendaji na viongozi wa Chama kufanya kazi za Chama kwa wepesi na ufanisi.
Akikambidhi pikipiki hizo, Mbunge wa Mvomero alimueleza mwenyekiti wa wilaya ya Mvomero ndg Abdalah Mtiga kuwa msaada huo ni muendelezo wa kukisaidia Chama wilaya ya Mvomero kwani awali alisaidia pikipiki 23 na hizo 5 inafanya jumla ya pikipiki alizosaidia Chama kuwa 28 zenye...

 

9 years ago

CCM Blog

NAPE AKABIDHI PIKIPIKI 20 KWA MAKATIBU KATA JIMBONI KWAKE


 Mbunge wa Jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye akimkabidhi Katibu wa kata ya Mtua Kilimahewa Ndugu Maliki funguo ya pikipiki kwa niaba ya makatibu kata 20 wa jimbo hilo ambao wote wamewezeshwa usafiri wa pikipiki ili kurahisisha ufanisi wa kazi zao.
 Mbunge wa Jimbo la Mtama (CCM) Nape Nnauye akijaribu moja ya pikipiki kati ya 20 alizowapa makatibu kata ili ziweze kuwasaidia kufanya kazi kwa ufanisi kwenye shughuli zao za kujenga na kuimarisha Chama Cha Mapinduzi.
 Sehemu ya pikipiki zilizotolewa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wakulima wa nyanya Iringa watakiwa kuunda vikundi

Wakulima wa nyanya mkoani Iringa, wameshauriwa kujiunga katika vikundi ili waweze kunufaika na misaada mbalimbali pamoja na mikopo kutoka katika taasisi za fedha ikiwamo benki na vicoba ili kuinua thamani ya mazao wanayozalisha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani