Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MADEREVA WA BODA BODA SIMANJIRO MKOANI MANYARA WAANDAMANA

Mkuu wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, ASP Lwitiko Norman Kibanda, akizungumza na madereva wa pikipiki za kubeba abiria ambao juzi waliandamana hadi kwenye kituo hicho wakipinga kutozwa fedha sh22,000 na maofisa biashara wa wilaya hiyo, waliodai kuwa tozo hizo ni amri ya Mamlaka ya Usafirishari wa vyombo vya usafiri wa majini na nchi kavu (Sumatra).

Madereva wanaoendesha pikipiki 800 wa kubeba abiria, maarufu kama bodaboda wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MADEREVA WA BODA BODA, BAJAJ WAANDAMANA KINONDONI JIJINI DAR

Madereva Bajaj na Bodaboda wakiwa nje ya ofisi za chadema Makao Makuu Kinondoni jijini Dar wakipinga tamko la kuzuiwa kuingia kati kati ya mji na maeneo ya mjini.
Mmoja wa Madereva Bajaj akiongea na vyombo vya habari makao makuu ya Chadema Kinondoni. Polisi…

 

5 years ago

Michuzi

Boda Boda wa Ruvuma Wafurahia Masta Boda

 Mwendesha Boda boda Nissa Mkimwa akiwa amempakia Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu - Jenista Mhagama wakati wa uzinduzi wa huduma ya NMB Masta Boda iliyofanyika kwa Mkoa wa Ruvuma Peramiho wilayani Songea juzi. Waliosimama kutoka kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Songea – Pololet Mgema, Meneja wa NMB Kanda ya Kusini – Janeth Shango, Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB – Benedicto Baragomwa na Meneja wa NMB Songea – Daniel Zake. Waziri wa...

 

5 years ago

Michuzi

CCM LUDEWA MKOANI NJOMBE YATOA MSAADA WA BARAKO 1000 KWA WAFANYABIASHARA WADOGO WADOGO PAMOJA NA WAENDESHA BODA BODA

Na Shukrani Kawogo, Njombe

Kutokana na kuenea kwa ungonjwa wa COVID 19 Chama Cha Mapinduzi ( CCM) wilaya ya Ludewa mkoani Njombe kimetoa msaada wa barakoa elfu moja kwa wafanyabiashara ndogondogo pamoja na vituo vya bodaboda vilivyopo maeneo ya mjini.

Akizungumza katika zoezi hilo la ugawaji Mwenyekiti wa vijana wa chama hicho ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya siasa na wilaya Theopista Mhagama amesema kuwa wameamua kugawa barakoa hizo katika makundi hayo kwakuwa yanamuingiliano mkubwa wa...

 

11 years ago

Michuzi

MARUFUKU BODA BODA NA BAJAJI ZA ABIRIA KUVUKA MWENGE KWENDA POSTA

Oparesheni Nzito ya kuzuia Bodaboda na Bajaji zisifanye safari zake  kutoka Mwenge na maeneo mengine kuelekea mjini Posta imechukua sura mpya leo baada ya Askari wa Usalama wa Barabarani kuanza kukamata Bodaboda na Bajaji zote zinazovuka Mwenge kuelekea Posta, Zoezi hilo ambalo limefanyika Mwenge Mataa Jijini Dar limeendelea kufanyika na kufamikiwa kuwanasa wengi.
Kwa mujibu wa Msemaji na Muongozaji wa Oparesheni hiyo ambaye hakutaka kutajwa jina lake alisema kwamba wameamua kufanya hivyo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Msindai awatangazia neema mama ntilie, machinga, waendesha boda boda

msindai

Mgombe Ubunge wa Jimbo la Singida Mjini (CHADEMA) Mgana Msindai, akizungumza na wafanyabiashara wa soko kuu mjini Singida wakati wa Mkutano wa kampeni kuomba ridhaa ya wananchi kumchagua kuwa Mbunge ili kuondoa kero ndogo ndogo za kutozwa ushuru kwa wamachinga na mama ntilie (PICHA NA HILLARY SHOO).

Na Hillary Shoo, Singida

MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Singida Mjini (CHADEMA ) Mgana Msindai ameahidi kuondoa kero na kodi ndogondogo wanazotozwa wafanyabiashara wadogo wakiwemo mama...

 

10 years ago

Vijimambo

BODA BODA MBEYA WATANGAZA MGOMO WA KUTOBADILISHA NAMBA ZA PIKIPIKI


MWENYEKITI wa chama cha Bodaboda mkoa wa Mbeya, VICENT MWASHOMA.KATIBU wa Bodaboda mkoa wa Mbeya, MSUMBA MDESA, akitoa tamko kwa niaba ya waendesha Boda boda mkoa wa Mbeya.
Mabango yakafuata na kuanza kusema kama yanavyosomeka hapo chini. BAADA ya mabango na tamko, wakaonesha wamekubaliana, kisha yakafuata makofi kutoka kwa viongozi wengine ambao walikusanyika leo katika ukumbi wa Coffee Garden Jijini Mbeya. Baadhi ya viongozi kutoka wilaya zote za mkoa wa Mbeya, wakisikiliza wakati viongozi...

 

9 years ago

TheCitizen

PROFILE : Boda boda operator by day, university student by night

Julius Simiyu was once a watchman, today, he is what we call a boda boda operator – he ferries people to and from their destinations to earn a living. In a few years’ time though, Simiyu hopes that he will be in a classroom somewhere, teaching.

 

11 years ago

Dewji Blog

Mbunge ‘Zungu’ aishukia serikali dhidi ya machinga, boda boda, mama ntilie

   awataka wabunge wengine wasije Dar es Salaam, wakae kwenye majimbo yao

zungu pics

Mbunge wa Ilala, Hassan Musa ‘Zungu’

Na Damas Makangale, Moblog Tanzania

MBUNGE wa Ilala,  Musa Hassan maarufu kama ‘Zungu’ leo asubuhi katika kikao cha Bunge la Bajeti kinachoendelea mjini Dodoma amekataa kuunga mkono Bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu yenye makadirio ya kiasi cha shilingi trilioni tano.

Akizungumza kwenye kipindi cha  maswali na majibu ya ofisi ya Waziri Mkuu Bajeti ya  2014/2015, Mbunge Musa Hassan...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani