PROFILE : Boda boda operator by day, university student by night
Julius Simiyu was once a watchman, today, he is what we call a boda boda operator – he ferries people to and from their destinations to earn a living. In a few years’ time though, Simiyu hopes that he will be in a classroom somewhere, teaching.
TheCitizen
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziBoda Boda wa Ruvuma Wafurahia Masta Boda
11 years ago
MichuziMARUFUKU BODA BODA NA BAJAJI ZA ABIRIA KUVUKA MWENGE KWENDA POSTA
Kwa mujibu wa Msemaji na Muongozaji wa Oparesheni hiyo ambaye hakutaka kutajwa jina lake alisema kwamba wameamua kufanya hivyo...
9 years ago
Dewji Blog26 Sep
Msindai awatangazia neema mama ntilie, machinga, waendesha boda boda
Mgombe Ubunge wa Jimbo la Singida Mjini (CHADEMA) Mgana Msindai, akizungumza na wafanyabiashara wa soko kuu mjini Singida wakati wa Mkutano wa kampeni kuomba ridhaa ya wananchi kumchagua kuwa Mbunge ili kuondoa kero ndogo ndogo za kutozwa ushuru kwa wamachinga na mama ntilie (PICHA NA HILLARY SHOO).
Na Hillary Shoo, Singida
MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Singida Mjini (CHADEMA ) Mgana Msindai ameahidi kuondoa kero na kodi ndogondogo wanazotozwa wafanyabiashara wadogo wakiwemo mama...
10 years ago
VijimamboBODA BODA MBEYA WATANGAZA MGOMO WA KUTOBADILISHA NAMBA ZA PIKIPIKI
Mabango yakafuata na kuanza kusema kama yanavyosomeka hapo chini.
11 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-qwlNJnNdY7s/UyLQF9N_IbI/AAAAAAAALeU/bmULOIDmcM4/s1600/B3.jpg?width=640)
MADEREVA WA BODA BODA, BAJAJ WAANDAMANA KINONDONI JIJINI DAR
11 years ago
Dewji Blog08 May
Mbunge ‘Zungu’ aishukia serikali dhidi ya machinga, boda boda, mama ntilie
awataka wabunge wengine wasije Dar es Salaam, wakae kwenye majimbo yao
Mbunge wa Ilala, Hassan Musa ‘Zungu’
Na Damas Makangale, Moblog Tanzania
MBUNGE wa Ilala, Musa Hassan maarufu kama ‘Zungu’ leo asubuhi katika kikao cha Bunge la Bajeti kinachoendelea mjini Dodoma amekataa kuunga mkono Bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu yenye makadirio ya kiasi cha shilingi trilioni tano.
Akizungumza kwenye kipindi cha maswali na majibu ya ofisi ya Waziri Mkuu Bajeti ya 2014/2015, Mbunge Musa Hassan...
5 years ago
Bongo514 Feb
Tanzia: Baba yake mzazi na Belle 9 afariki dunia kwa kugongwa na boda boda
Abedinego Damian aka Belle 9 amepata msiba mzito.
Baba yake mzazi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Meneja wake, Jahz Zamba, ameiambia Bongo5 kuwa Mzee Damian amefariki dunia baada ya kugongwa na boda boda iliyokuwa kwenye mwendo mkali huko mjini Morogoro alikokuwa anaishi.
Alivunja mguu mmoja pale pale na kujeruhiwa vibaya kabla ya kupelekwa hospitali. Dereva wa boda boda naye ameumia vibaya ikiwemo kuvunjika taya na kujeruhiwa kichwa. Jahz amesema baada ya Mzee Damian kupelekwa...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-eXbCvVT3TbQ/UwSqpikt11I/AAAAAAAFOBA/MXRdLZggXCs/s72-c/unnamed+(91).jpg)
Timka na Boda Boda yaacha Neema kwa Watanzania
![](http://3.bp.blogspot.com/-eXbCvVT3TbQ/UwSqpikt11I/AAAAAAAFOBA/MXRdLZggXCs/s1600/unnamed+(91).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-hpd3NKjAzqE/UwSqp1UA3rI/AAAAAAAFOBI/ZzjLimCTw-Y/s1600/unnamed+(92).jpg)
10 years ago
Vijimambo30 Dec
Sauti ya Amerika © 2014-Operesheni Boda Boda Tanzania