Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajasiriamali watakiwa kujiunga kwenye vikundi

Wajasiriamali nchini wamehamasishwa kujiunga na vikundi vya Vicoba ili kujiletea maendeleo haraka.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wakulima watakiwa kujiunga na vikundi

Wakulima wilayani Karagwe wametakiwa kujiunga kwenye vikundi ili kunufaika na fursa mbalimbali za kilimo.

 

10 years ago

Michuzi

WAJASIRIAMALI TOKA VIKUNDI MBALIMBALI WAHAMASISHWA KUJIUNGA NA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)

Na Bakari Issa,Dar es Salaaam
Wajasiriamali toka vikundi mbalimbali wamehamasishwa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ili kurahisisha matibabu wawapo katika shughuli zao za kawaida,leo katika ukumbi wa Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam.
Katika Mpango mpya uliozinduliwa na Mfuko huo ujulikanao kama Mpango wa Kikoa(MATUAL PLAN),Wajasiriamali watakaojiunga na mfuko huo na kuwa wanachama watalipia shilingi 76,800 kwa mwaka ili kupata matibabu kupitia mfuko huo. ...

 

9 years ago

Michuzi

WAJASIRIAMALI BABATI WATAKIWA KUJIUNGA NA MPANGO WA KIKOA WA NHIF

Mkuu wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, Crispin Meela amewataka wajasiriamali wa wilaya hiyo kujiunga na mpango wa bima ya afya ya Kikoa ili wapate huduma za afya kwa unafuu na ubora zaidi pindi wakiugua.
Meela aliyasema hayo mjini Babati katika kongamano la kuwakutanisha wajasiriamali wa wilaya hiyo wa vicoba, Saccos, amcos, vibindo na vikundi maalum vilivyosajiliwa ili wajiunge na mpango wa bima ya afya ya Kikoa.
Alisema kuna changamoto nyingi za afya wilayani humo ila kupitia mpango...

 

10 years ago

Habarileo

Vijana wahamasishwa kujiunga kwenye vikundi

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, ameshauri vijana kuunda vikundi vitakavyowawezesha kupata mikopo na kufanya shughuli za maendeleo.

 

11 years ago

Dewji Blog

NSSF, Singida yatumia Bilioni 1.52 kukopesha vikundi sita vya wajasiriamali

meneja

Meneja wa shirika na hifadhi ya jamii NSSF, Magreth Mwaipeta akizungumza na wanachama wa kikundi cha Aminika gold Mine Ltd cha Sambaru Wilaya ya Ikungi, Singida.

Na Hillary Shoo, SINGIDA.

MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), umetumia zaidi ya shilingi bilioni 1.52 kwa ajili ya kuvikopesha vyama  sita vya ushirika Mkoani Singida.

Hayo yamebainishwa jana mjini hapa na Meneja wa NSSF Mkoa wa Singida, Magreth Mwaipeta wakati akizungumza kwenye semina ya uhabarisho baina ya shirika la...

 

5 years ago

Michuzi

KAWAMBWA AKABIDHI PIKIPIKI KWA MADEREVA BODA NA KUWAASA WAJASIRIAMALI KUUNDA VIKUNDI





*****************************
NA MWAMVUA MWINYI,BAGAMOYO
Mbunge wa jimbo la Bagamoyo, Dkt. Shukuru Kawambwa amekabidhi pikipiki tatu kwa kikundi cha waendesha bodaboda kilichopo kitongoji cha Benki kata ya Dunda ,Huku akiwaasa wajasiriamali kutopuuzia kujiunga vikundi kwani vinasaidia kupata fursa mbalimbali kirahisi.
Pikipiki hizo ambazo zimenunuliwa kutokana na mkopo uliotolewa na halmashauri ya Bagamoyo kwa vijana, zimekabidhiwa kwa kikundi hicho kinachojulikana kwa jina la Umoja wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wakulima wa nyanya Iringa watakiwa kuunda vikundi

Wakulima wa nyanya mkoani Iringa, wameshauriwa kujiunga katika vikundi ili waweze kunufaika na misaada mbalimbali pamoja na mikopo kutoka katika taasisi za fedha ikiwamo benki na vicoba ili kuinua thamani ya mazao wanayozalisha.

 

10 years ago

Michuzi

WANAWAKE WA INDIA WATEMBELEA VIKUNDI VYA WANAWAKE WAJASIRIAMALI MKURANGA

Mwakilishi wa Wanachama wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA), Labhu Thakkar akizungumza katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kuranga wakati walipotembelea vikundi vya wajasiriamali vilivyopo wilayani hapo. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Mercy Sila na mlezi wa Kikundi cha Kiwalani Women Group ambaye pia ni mke wa mbunge wa Mkuranga, Naima Malima. Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Mercy Sila akizungumza na Wanachama wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani