WAJASIRIAMALI BABATI WATAKIWA KUJIUNGA NA MPANGO WA KIKOA WA NHIF
Mkuu wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, Crispin Meela amewataka wajasiriamali wa wilaya hiyo kujiunga na mpango wa bima ya afya ya Kikoa ili wapate huduma za afya kwa unafuu na ubora zaidi pindi wakiugua.
Meela aliyasema hayo mjini Babati katika kongamano la kuwakutanisha wajasiriamali wa wilaya hiyo wa vicoba, Saccos, amcos, vibindo na vikundi maalum vilivyosajiliwa ili wajiunge na mpango wa bima ya afya ya Kikoa.
Alisema kuna changamoto nyingi za afya wilayani humo ila kupitia mpango...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziNHIF Mkoa wa Manyara, yaendesha kongamano la uhamasishaji wa mpango wa Kikoa kwa wajasiriamali
9 years ago
Dewji Blog22 Oct
NHIF yaendelea na mpango wa kikoa!
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti, Rehani Athumani wa NHIF (katikati), akizungumza na wanachama wapya wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kupitia Mpango wa KIKOA (hawapo pichani) wakati wa hafla ya uzinduzi wa mpango huo kuwakabidhi kadi ya uanachama wapatao 25 wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kupitia Mpango mpango wa KIKOA (kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi YETU MICROFINANCE PLC, Bw.Altemius Millinga, (watatu kulia) Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii, Bw. Eugen Mikongoti. hafla hiyo...
9 years ago
Michuzi21 Oct
NHIF YAENDELEA NA MPANGO WA KIKOA.
![????????????????????????????????????](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/10/DSC_0019.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/MM8gWtOJpL8/default.jpg)
NHIF YATOA “DARASA” KWA BLOGGERS WA TANZANIA KUHUSU UCHAGIAJI WA BIMA YA AFYA CHINI YA MPANGO WA “KIKOA”
![](http://2.bp.blogspot.com/-ltjw1_LZNVo/VcxuWmTECdI/AAAAAAAC9mc/Hevh1o3qjv8/s640/DSCF8345.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/MM8gWtOJpL8/default.jpg)
NHIF YATOA “DARASA” KWA BLOGGERS WA TANZANIA KUHUSU UCHANGIAJI WA BIMA YA AFYA CHINI YA MPANGO WA “KIKOA”
![](http://2.bp.blogspot.com/-ltjw1_LZNVo/VcxuWmTECdI/AAAAAAAC9mc/Hevh1o3qjv8/s640/DSCF8345.jpg)
9 years ago
VijimamboNHIF YATOA MAFUNZO KWA BLOGGERS WA TANZANIA KUHUSU UCHAGIAJI WA BIMA YA AFYA CHINI YA MPANGO WA KIKOA
9 years ago
Mwananchi17 Aug
Wajasiriamali watakiwa kujiunga kwenye vikundi
10 years ago
MichuziWAJASIRIAMALI TOKA VIKUNDI MBALIMBALI WAHAMASISHWA KUJIUNGA NA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)
Wajasiriamali toka vikundi mbalimbali wamehamasishwa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ili kurahisisha matibabu wawapo katika shughuli zao za kawaida,leo katika ukumbi wa Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam.
Katika Mpango mpya uliozinduliwa na Mfuko huo ujulikanao kama Mpango wa Kikoa(MATUAL PLAN),Wajasiriamali watakaojiunga na mfuko huo na kuwa wanachama watalipia shilingi 76,800 kwa mwaka ili kupata matibabu kupitia mfuko huo. ...
9 years ago
MichuziWAFANYABIASHARA KIGOMA WATAKIWA KUJIUNGA NA MFUKO WA BIMA YA AFYA (NHIF).