Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NHIF YATOA “DARASA” KWA BLOGGERS WA TANZANIA KUHUSU UCHAGIAJI WA BIMA YA AFYA CHINI YA MPANGO WA “KIKOA”

 MKURUGENZI wa Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii Tanzania, NHIF, Eugine Mikongoti MKURUGENZI wa Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii Tanzania, NHIF, Eugine Mikongoti, akifafanua jambo wakati alipokuwa akiwasilisha mada juu ya mpango wa uchangiaji binafsi, KIKOA, wakati wa warsha ya siku moja iliyoandaliwa kwa pamoja kati ya NHIF, na Mtandao wa Bloggers Tanzania (TBN).Warsha hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Maaskofu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

NHIF YATOA MAFUNZO KWA BLOGGERS WA TANZANIA KUHUSU UCHAGIAJI WA BIMA YA AFYA CHINI YA MPANGO WA KIKOA

 Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Jamii ya Tanzania, NHIF, Rehami Athumani, akifungua warsha hiyo kwa wanaMtandao wa Bloggers Tanzania (TBN)  leo katika ukumbi wa Baraza la Maaskofu Tanzania, Kurasini jijini Dar es Salaam. MKURUGENZI wa Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii Tanzania, NHIF, Eugine Mikongoti, akifafanua jambo wakati alipokuwa akiwasilisha mada juu ya mpango wa uchangiaji binafsi, KIKOA, wakati wa warsha ya siku moja...

 

9 years ago

Vijimambo

NHIF YATOA “DARASA” KWA BLOGGERS WA TANZANIA KUHUSU UCHANGIAJI WA BIMA YA AFYA CHINI YA MPANGO WA “KIKOA”

 MKURUGENZI wa Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii Tanzania, NHIF, Eugine Mikongoti MKURUGENZI wa Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii Tanzania, NHIF, Eugine Mikongoti, akifafanua jambo wakati alipokuwa akiwasilisha mada juu ya mpango wa uchangiaji binafsi, KIKOA, wakati wa warsha ya siku moja iliyoandaliwa kwa pamoja kati ya NHIF, na Mtandao wa Bloggers Tanzania (TBN).Warsha hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Maaskofu...

 

9 years ago

Michuzi

NHIF YAJA NA MPANGO WA BIMA YA AFYA KAYA KWA KAYA

 Mwakilishi wa Kaimu Mkuruegenzi Mkuu wa NHIF, Eugen Mikongoti akifungua kikao kilichowashirikisha wenyeviti wa bodi na makatibu wa Vituo Vya Afya, Zahanati na Hospitali wa Manispaa ya Temeke juu ya mpango wa bima ya afya kwa kayo iliyofanyika leo jijni Dar es Salaam. Meneja wa Mkoa wa Temeke wa NHIF, Costantino Makala akitoa maada katika kikao hicho leo latika ukumbi wa Temeke jijini Dra es Salaam.wa katikati ni Mwakilishi wa Kaimu Mkuruegenzi Mkuu wa NHIF,Eugen Mikongoti Kushoto ni Mganga...

 

9 years ago

Michuzi

NHIF Mkoa wa Manyara, yaendesha kongamano la uhamasishaji wa mpango wa Kikoa kwa wajasiriamali

Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro, Mkoani Manyara, Mh. Mahmoud Kambona akizungumza wakati akifungua kongamano la uhamasishaji wa mpango wa Bima ya Afya wa kikoa kwa wajasiriamali na vikundi vilivyosajiliwa Mji mdogo wa Mirerani.Kulia kwake ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wa mkoa huo, Isaya Shekifu na kushoto kwake ni Ofisa Tarafa ya Moipo, Joseph Mtataiko. Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wa Mkoa wa Manyara, Isaya Shekifu akizungumza katika kongamano la...

 

9 years ago

Dewji Blog

NHIF yaendelea na mpango wa kikoa!

????????????????????????????????????Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti, Rehani Athumani wa NHIF (katikati), akizungumza na wanachama wapya wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kupitia Mpango wa KIKOA (hawapo pichani) wakati wa hafla ya uzinduzi wa mpango huo kuwakabidhi kadi ya uanachama wapatao 25 wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kupitia Mpango mpango wa KIKOA (kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi YETU MICROFINANCE PLC, Bw.Altemius Millinga, (watatu kulia) Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii, Bw. Eugen Mikongoti. hafla hiyo...

 

9 years ago

Michuzi

NHIF YAENDELEA NA MPANGO WA KIKOA.

????????????????????????????????????Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti, Rehani Athumani wa NHIF (katikati), akizungumza na wanachama wapya wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kupitia Mpango wa KIKOA (hawapo pichani) wakati wa hafla ya uzinduzi wa mpango huo kuwakabidhi kadi ya uanachama wapatao 25 wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kupitia Mpango mpango wa KIKOA (kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi YETU MICROFINANCE PLC, Bw.Altemius Millinga, (watatu kulia) Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii, Bw. Eugen Mikongoti. hafla...

 

9 years ago

Michuzi

WAJASIRIAMALI BABATI WATAKIWA KUJIUNGA NA MPANGO WA KIKOA WA NHIF

Mkuu wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, Crispin Meela amewataka wajasiriamali wa wilaya hiyo kujiunga na mpango wa bima ya afya ya Kikoa ili wapate huduma za afya kwa unafuu na ubora zaidi pindi wakiugua.
Meela aliyasema hayo mjini Babati katika kongamano la kuwakutanisha wajasiriamali wa wilaya hiyo wa vicoba, Saccos, amcos, vibindo na vikundi maalum vilivyosajiliwa ili wajiunge na mpango wa bima ya afya ya Kikoa.
Alisema kuna changamoto nyingi za afya wilayani humo ila kupitia mpango...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani