Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijana wahamasishwa kujiunga kwenye vikundi

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, ameshauri vijana kuunda vikundi vitakavyowawezesha kupata mikopo na kufanya shughuli za maendeleo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAJASIRIAMALI TOKA VIKUNDI MBALIMBALI WAHAMASISHWA KUJIUNGA NA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)

Na Bakari Issa,Dar es Salaaam
Wajasiriamali toka vikundi mbalimbali wamehamasishwa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ili kurahisisha matibabu wawapo katika shughuli zao za kawaida,leo katika ukumbi wa Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam.
Katika Mpango mpya uliozinduliwa na Mfuko huo ujulikanao kama Mpango wa Kikoa(MATUAL PLAN),Wajasiriamali watakaojiunga na mfuko huo na kuwa wanachama watalipia shilingi 76,800 kwa mwaka ili kupata matibabu kupitia mfuko huo. ...

 

9 years ago

Mwananchi

Wajasiriamali watakiwa kujiunga kwenye vikundi

Wajasiriamali nchini wamehamasishwa kujiunga na vikundi vya Vicoba ili kujiletea maendeleo haraka.

 

10 years ago

Michuzi

Vijana Manispaa ya Kigoma Ujiji wahamasishwa kuchangamkia fursa za mfuko wa Maendeleo ya Vijana

Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Maendleo ya Jamii Bw. Xavier Keebwe akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa vijana kuhusu Sera ya maendeleo ya Vijana, Stadi za Maisha,Ujuzi, Mwongozo wa Mfuko wa Maendeleo ya Vijana yaliyotolewa na wawezeshaji kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambapo jumla ya zaidi ya Vijana 60 kutoka katika halmashauri za Manispaa ya Kigoma Ujiji, Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza na Kigoma Vijini...

 

9 years ago

Michuzi

WANAMICHEZO WAHAMASISHWA KUJIUNGA NA MFUKO WA BIMA YA AFYA

 Mwakilishi wa Mkurugenzi  Mkuu wa (NHIF),Mkurungenzi wa Masoko na Utafiti Athumani Rehani akizungumza na waandishi wahabari hawapo pichani juu ya wanamichezo  kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ili kujipatia huduma za matibabu pamoja na dawa kwa vitio vya  Afya maluumu na Maduka ya dawa Malum ameyasema hayo leo Jijini Dar es Salaam.
 Mkurunge wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) Eugen Mikongoti akifafanua jambo kwa wanahabar.
 Wanahabari wakimsikiliza kwa makini Mkurugezi wa Mfuko wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wanawake wakiafrika wahamasishwa kujiunga na sekta ya usafiri wa anga

Ann-Marie Lewis

Rubani mwanamke, Anne-Marie Lewis.

Pamoja na kwamba uwepo wa  wanawake katika sekta ya usafiri wa anga bado ni mdogo, uwezo wa kuwa viongozi katika usafiri wa anga hauna mwiko. Wanawake barani Afrika hawapaswi kuogopa kuwa sehemu ya sekta hii inayokua barani kote. Hayo ni maneno kutoka kwa rubani mwanamke wa kwanza kuongoza ndege aina ya Airbus A380 inayomilikiwa na kampuni la fastjet Tanzania, rubani Anne-Marie Lewis, ambaye huongoza ndege hii ya Airbus katika mikoa ya Tanzania na nchi...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakulima watakiwa kujiunga na vikundi

Wakulima wilayani Karagwe wametakiwa kujiunga kwenye vikundi ili kunufaika na fursa mbalimbali za kilimo.

 

10 years ago

Habarileo

Vijana wahamasishwa kuchangamkia ajira Polisi

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Perreira Ame SilimaVIJANA waliopitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na Watanzania wengine wenye sifa, wamehamasishwa kuchangamkia nafasi 3,000 zilizotangazwa na Jeshi la Polisi ambalo liko katika mchakato wa kuongeza idadi ya askari katika kukidhi mahitaji ya ulinzi na usalama wa wananchi.

 

11 years ago

Michuzi

Wizara ya Habari Vijana,Utamaduni na Michezo yakagua miradi ya vikundi vya Vijana vya Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma

Katibu wa Kikundi cha Muungano kilichopo kijiji cha Oloboloti kata ya Mrijo Halmashauri ya Chemba Mkoani Dodoma kinachojishughulisha na mradi wa kilimo cha nyanya aliyenyoosha mikono katikati Bw Juma Ally akitoa maelezo kwa Afisa wa Idara ya Maendeleo ya Vijana wa tatu kutoka kushoto Bi Amina Sanga katika ziara ya kukagua miradi ya Vijana, ziara hiyo ni sehemu ya mafunzo yanayotolewa na Wizara ya Habari Vijana, Utamaduni na Michezo kupitia Mfuko wa Vijana. Katibu wa Kikundi cha Umoja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani