Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BATULI LAIVU NA MWANAUME

Musa mateja DAH! Wakati mashabiki wake wakiamini si mtu wa ‘kurukaruka’ kivile, muigizaji mwenye mvuto wa aina yake Bongo Movies, Yobnesh Yussuph ‘Batuli’ amekwaa aibu baada ya picha zake zikimuonesha akiwa kimahaba chumbani na mchekeshaji Stan Bakora kuvuja, Ijumaa linakupa mchapo kamili. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1Ubl7KZ ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DAVIDO WAPEANA MAKAVU LAIVU LAIVU KWENYE MITANDAO

Ikiwa bado ni asubuhi kabisa yaani wiki ya kwanza ya 2015, lakini inavyoonekana kuna mtu kagusa ‘wrong note’ kwenye gitaa la bwana David Adedeji Adeleke a.k.a Davido, hivyo ameamua kumtolea uvivu!Muimbaji huyo wa Nigeria ambaye yupo Dubai na familia kwaajili ya mapumziko ya sikukuu za mwisho wa mwaka, ametumia Twitter kutoa hasira zake kwa mtu ambaye hakumtaja kwa jina, kwa kuandika “Niggas forget who helped them So quick God don bless me I do my thing dey go keep my name out ur mouth !! WHO...

 

9 years ago

GPL

RIYAMA LAIVU!

KANASWA! Staa wa filamu Bongo, Riyama Ally kwa mara ya kwanza amenaswa laivu na kijana aliyemtambulisha kama mwandani wake, akimtaja kwa jina la Idd Mwalimu Mzee, anayemzidi umri kwa miaka saba, Amani linaandika. Staa wa filamu Bongo, Riyama Ally akiwa na anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake. ‘Sapraizi’ hiyo ilitokea saa sita mchana Jumatatu wiki hii nyumbani kwa muigizaji huyo, Mabibo jijini Dar, akiweka wazi kuwa muda...

 

10 years ago

GPL

JIDE, AY LAIVU!

Stori: Andrew Carlos
KABANG! Mwanadada asiyechuja kwenye muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo   ‘Jide’ mwishoni mwa wiki iliyopita alibambwa ‘laivu’ kwa mara ya kwanza katika kipindi kirefu akiwa ‘very close’ na mwanamuziki mwenzake, Ambwene Yessaya ‘AY’ wakiteta jambo. Wabongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ na Ambwene Yessaya ‘AY’...

 

9 years ago

Bongo Movies

Riyama Anaswa Laivu!

KANASWA! Staa wa filamu Bongo, Riyama Ally kwa mara ya kwanza amenaswa laivu na kijana aliyemtambulisha kama mwandani wake, akimtaja kwa jina la Idd Mwalimu Mzee, anayemzidi umri kwa miaka saba, Amani linaandika.

Sapraizi’ hiyo ilitokea saa sita mchana Jumatatu wiki hii nyumbani kwa muigizaji huyo, Mabibo jijini Dar, akiweka wazi kuwa muda wowote kuanzia sasa watafunga ndoa, kwani anampenda kwa dhati mpenziwe huyo, aliyesema ni msanii wa muziki wa Kizazi Kipya, akifanya Hip Hop.

“Yeah,...

 

11 years ago

GPL

REHEMA FABIAN LAIVU

Stori: Shakoor Jongo
KhAA! Mshiriki wa Shindano la Miss Kiswahili mwaka 2009 ambaye kwa sasa yuko nchini China akijitafutia maisha, Rehema Fabian amenaswa laivu akiwa kimahaba na kibabu cha kizungu. Miss Kiswahili mwaka 2009, Rehema Fabian, akiwa kimahaba na kibabu cha kizungu. Akizungumza na Ijumaa Wikienda kwa njia ya simu, mnyetishaji wetu ambaye naye yuko nchini humo alisema kuwa kwa sasa mrembo huyo anajiachia na babu...

 

11 years ago

GPL

NAY WA MITEGO LAIVU

Na Musa Mateja
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, amefungua ukurasa mpya wa skendo baada  kuachia picha zake alizozipiga kihasarahara akiwa laivu na warembo katika chumba cha hoteli moja maarufu jijini Nairobi nchini Kenya. Nay wa Mitego akiwpozi na warembo katika chumba cha hoteli moja maarufu jijini Nairobi nchini Kenya. Mkali huyo ambaye anatamba na kibao ha Peleka Salam,...

 

11 years ago

GPL

KAMANDA, ASKARI WAKE LAIVU

Na Waandishi Wetu KAMANDA wa kampuni moja ya ulinzi ya jijini Dar es Salaam (jina tunalo), Japhet Misana ambaye pia ni mkuu wa kitengo cha mafunzo cha kampuni hiyo, Alhamisi iliyopita wakati Wakristo wakiwa kwenye hekaheka za Sikukuu ya  Pasaka, alinaswa gesti akiwa na askari wake ambaye ni mke wa mtu. Kamanda akiwa katika hali ya sintofahamu baada ya kunaswa akiwa na askari wake ambaye ni mke wa mtu. Kamanda huyo na askari...

 

10 years ago

GPL

ODAMA LAIVU NA MUME WA MTU

Stori: Richard Bukos
MSANII nyota wa filamu za kibongo, Jennifer Kyaka maarufu kwa jina la kisanii kama Odama, usiku wa kuamkia Jumapili iliyopita alinaswa Live akiwa kwenye pozi la aina yake akiwa na pedeshee maarufu jijini Dar anayefahamika kama Papaa Daudi ambaye anadaiwa kuwa mume wa mtu. Msanii nyota wa filamu za kibongo, Jennifer Kyaka Odama akiwa kwenye pozi la kimahaba na anayedaiwa kuwa ni mume wa mtu. Wawili hao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani