Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMANDA, ASKARI WAKE LAIVU

Na Waandishi Wetu KAMANDA wa kampuni moja ya ulinzi ya jijini Dar es Salaam (jina tunalo), Japhet Misana ambaye pia ni mkuu wa kitengo cha mafunzo cha kampuni hiyo, Alhamisi iliyopita wakati Wakristo wakiwa kwenye hekaheka za Sikukuu ya  Pasaka, alinaswa gesti akiwa na askari wake ambaye ni mke wa mtu. Kamanda akiwa katika hali ya sintofahamu baada ya kunaswa akiwa na askari wake ambaye ni mke wa mtu. Kamanda huyo na askari...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DAVIDO WAPEANA MAKAVU LAIVU LAIVU KWENYE MITANDAO

Ikiwa bado ni asubuhi kabisa yaani wiki ya kwanza ya 2015, lakini inavyoonekana kuna mtu kagusa ‘wrong note’ kwenye gitaa la bwana David Adedeji Adeleke a.k.a Davido, hivyo ameamua kumtolea uvivu!Muimbaji huyo wa Nigeria ambaye yupo Dubai na familia kwaajili ya mapumziko ya sikukuu za mwisho wa mwaka, ametumia Twitter kutoa hasira zake kwa mtu ambaye hakumtaja kwa jina, kwa kuandika “Niggas forget who helped them So quick God don bless me I do my thing dey go keep my name out ur mouth !! WHO...

 

10 years ago

Michuzi

KAMANDA SIRO ATOA USHAHIDI WAKE KATIKA KESI YA MH. MDEE NA WENZAKE

Na Mwene Said wa Blog ya Jamii, Dar es Salaam
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeambiwa na Naibu Kamishna wa Polisi, Kamanda Simon Siro (54), ambaye amedai mahakamani kwamba alitoa zuio la kuandamana kwenda Ikulu kwa Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) kwa sababu maandamano hayo yangesababisha uvunjifu wa amani.
Alitoa madai hayo, wakati akitoa ushahidi dhidi ya Mbunge Halima Mdee na wenzake, kwamba baada ya kupitia vigezo vya kiusalama, njia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jeshi lawalilia askari wake

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Dodoma, SACP David Misime, amesema vifo vya askari watano wa Jeshi la Polisi wilayani Kongwa waliofariki kwa ajali ya gari vimetokana na uzembe wa mwendo...

 

10 years ago

Mwananchi

JWTZ liwatimue askari wake wanaolidhalilisha

Tukio la wiki iliyopita ambapo kundi la askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), lilirushiana risasi na polisi wa Kituo cha Stendi, wilayani Tarime, mkoani Mara ni la kushangaza na la kusikitisha.

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA RUVUMA LAWASHIKILIA ASKARI WAKE WAWILI

Kamanda wa polisi wa mkoa wa Ruvuma Mihayo Msekhela --------------------------------------------------Na Nathan Mtega,Songea
JESHI la polisi mkoani Ruvuma linawashikilia askari wake wawili kwa tuhuma za kumjeruhi kwa kumpiga risasi mwendesha piki piki aliyejulikana kwa jina la Salgo Ndunguru(22) mkazi wa Ruvuma mjini Songea.
 Akizungumza kamanda wa polisi wa mkoa wa Ruvuma Mihayo Msekhela amesema tukio hilo limetokea Agosti 26 mwaka huu majira ya saa 12 jioni katika mtaa wa Mfaranyaki mjini...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jeshi la Polisi Njombe lawafukuza kazi askari wake watatu

RPC NJOMBE

Na Edwin Moshi

Jeshi la polisi mkoani Njombe limeamua kuchukua uamuzi mgumu wa kuwafukuza kazi askari polisi wake watatu kwa makosa mbalimbali waliyoyafanya ikiwemo vitendo vibaya kinyume na sheria za jeshi hilo.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa mtandao huu na Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe SACP Fulgence Ngonyani (pichani) askari hao waliofukuzwa kazi ni EX.G. 3172 PC Ramadhani Iddi Saidi, EX.G. 9693 PC Emmanuel Morson Lyimo pamoja na EX.G. PC Miraji Jumanne Mtea.

Kamanda Ngonyani...

 

11 years ago

Michuzi

HONGERA KAMANDA MZINGA KWA KUTEULIWA KUWA KAMANDA WA POLISI MKOA WA LINDI

Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Lindi(LPC) Inatoa Pongezi kwa ACP Renatha Mzinga(pichani) aliekuwa Ofisa Mnadhimu wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi kwa kuteuliwa na MKUU wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa LINDI. Taarifa iliyotolewa leo na Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Lindi,Abdulaziz Ahmeid ameeleza kuwa kuwa Klabu hiyo Imepokea mabadiliko hayo na kuhaidi Ushirikiano mkubwa baina ya klabu na Jeshi hilo.  "Kwa niaba ya wanahabari...

 

9 years ago

Michuzi

JWTZ YAKANUSHA KUWANYANG'ANYA KADI ZA KUPIGIA KURA MAOFISA NA ASKARI WAKE


Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Kanali Ngemela Lubinga (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi wakati akikanusha jeshi hilo kuwanyang'anya kadi za kupigia kura maofisa na askari wake kama ilivyodaiwa na kiongozi mmoja wa chama cha siasa. Kulia ni Msaidizi wa Kanali Lubinga, Meja Joseph Masanja na kushoto ni Kapteni Swaleh Omari. Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.Mkutano na wanahabari ukiendelea.

Na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani