Jeshi lawalilia askari wake
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Dodoma, SACP David Misime, amesema vifo vya askari watano wa Jeshi la Polisi wilayani Kongwa waliofariki kwa ajali ya gari vimetokana na uzembe wa mwendo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog28 Oct
Jeshi la Polisi Njombe lawafukuza kazi askari wake watatu
Na Edwin Moshi
Jeshi la polisi mkoani Njombe limeamua kuchukua uamuzi mgumu wa kuwafukuza kazi askari polisi wake watatu kwa makosa mbalimbali waliyoyafanya ikiwemo vitendo vibaya kinyume na sheria za jeshi hilo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa mtandao huu na Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe SACP Fulgence Ngonyani (pichani) askari hao waliofukuzwa kazi ni EX.G. 3172 PC Ramadhani Iddi Saidi, EX.G. 9693 PC Emmanuel Morson Lyimo pamoja na EX.G. PC Miraji Jumanne Mtea.
Kamanda Ngonyani...
10 years ago
MichuziJESHI LA POLISI MKOA WA RUVUMA LAWASHIKILIA ASKARI WAKE WAWILI
JESHI la polisi mkoani Ruvuma linawashikilia askari wake wawili kwa tuhuma za kumjeruhi kwa kumpiga risasi mwendesha piki piki aliyejulikana kwa jina la Salgo Ndunguru(22) mkazi wa Ruvuma mjini Songea.
Akizungumza kamanda wa polisi wa mkoa wa Ruvuma Mihayo Msekhela amesema tukio hilo limetokea Agosti 26 mwaka huu majira ya saa 12 jioni katika mtaa wa Mfaranyaki mjini...
10 years ago
Michuzi18 Feb
Taarifa Sahihi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ0Kuhusu Kifo cha Askari Wake Huko Mbalizi
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania linapenda kutoa taarifa ya kifo cha Askari wake Praiveti Ahadi Mwaka Mwainyokole kilichotokea tarehe 4 Februari 2015 katika mji mdogo wa Mbalizi, Mkoani Mbeya.
Taarifa za mazingira ya kifo cha Askari huyo zimepotoshwa na baadhi ya Vyombo vya Habari na kusababisha mapokeo tofauti kwa wananchi.
Hali halisi ni kwamba, mnamo tarehe 4 Februari 2015 Askari huyo akiwa na Askari wenzake wanne (4) ambao ni Koplo Bedatu Benard Mloka, Praiveti Thani Hamisi Haji,...
9 years ago
StarTV26 Dec
Jeshi la Polisi latakiwa kuwachukulia hatua za kinidhamu askari wanaotoa siri za jeshi hilo
Jeshi la polisi mkoani Tabora limeagizwa kuwachukulia hatua za kinidhamu za kijeshi askari polisi ambao wanajihusisha na vitendo vya kihalifu na utoaji siri za jeshi kwa wahalifu kwa makusudi ya kujipatia kipato.
Agizi hilo limetolewa na Mkuu wa mkoa wa Tabora, Ludovick Mwananzila amesema ni aibu kubwa kwa Jeshi la Polisi kuendelea kufanya kazi na Askari wasio waaminifu wanaovujisha siri za kupambana na uhalifu.
Agizo hilo la Mkuu wa mkoa wa Tabora Ludovick Mwananzila amelitoa katika hafla...
9 years ago
MichuziJESHI LA POLISI LITAENDELEA KUWEPO ENDAPO MAKAZI YA ASKARI WA JESHI YATAIMARISHWA-BALOZI SEIF IDDI
Iddi akifungua Pazia kuashirika kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa
Nyumba ya Kuishi Askari Polisi wa Wilaya ya Micheweni Mkoa wa
Kaskazini Pemba. Balozi Seif akikagua moja ya vyumba Kumi vilivyomo
ndani ya jengo linalojengwa kwa ajili ya makaazi ya Askari Polisi
Wilaya ya Micheweni Kisiwani Pemba. Baadhi ya Makamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa
Kaskazini Pemba wakifuatilia hotuba ya Balozi Seif hayupo pichani
ambapo wa kwanza kutoka kulia ni OCD...
5 years ago
MichuziKATIBU MKUU KADIO AKAGUA KIWANJA CHA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI DODOMA KINACHOTARAJIWA KUJENGWA MAKAZI YA MAOFISA NA ASKARI WA JESHI HILO
9 years ago
Mwananchi25 Dec
Askari aliyeuawa aagwa na jeshi
10 years ago
VijimamboMAANDALIZI YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO-MAAFISA NA ASKARI WA JESHI LA MAGEREZA
5 years ago
MichuziASKARI WAASWA KUEPUKA VITENDO VINAVYOLITIA DOSARI JESHI LA POLISI
Na Stella Kalinga, Simiyu.Askari mkoani Simiyu wameaswa kulinda hadhi ya jeshi la polisi kwa kujiepusha na vitendo viovu vinavyolitia dosari jeshi hilo.
Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka wakati akizungumza na askari polisi wa mkoa huo Februari 17, 2020 ambapo amevitaja vitendo hivyo kuwa ni pamoja na kutoa siri za jeshi, kuomba rushwa, utapeli na kushiriki kuharibu ushahidi katika baadhi ya kesi.
“Ni jambo la aibu kwa askari kushiriki katika uhalifu, ...