KANUSHO LA JWTZ KUHUSU ASKARI WAKE KUTUHUMIWA KUWAPORA WAVUVI
![](http://1.bp.blogspot.com/-zRTumvaT91Y/VD9-cZ6VW0I/AAAAAAAGq3A/IK6m6mzkBQc/s72-c/New%2BPicture%2B(1).bmp)
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi07 Oct
JWTZ liwatimue askari wake wanaolidhalilisha
Tukio la wiki iliyopita ambapo kundi la askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), lilirushiana risasi na polisi wa Kituo cha Stendi, wilayani Tarime, mkoani Mara ni la kushangaza na la kusikitisha.
9 years ago
MichuziJWTZ YAKANUSHA KUWANYANG'ANYA KADI ZA KUPIGIA KURA MAOFISA NA ASKARI WAKE
Na...
9 years ago
CHADEMA BlogKANUSHO KUHUSU HABARI INAYOENEA MTANDAONI
SalaamZiko habari zimezushwa, kuenezwa na sasa zinakuzwa kuwa mgombea urais wa CHADEMA na chama kwa ujumla kimefungua shauri Mahakama za Kimataifa, kuhusu ubakwaji wa demokrasia na hujuma dhidi ya Watanzania uliofanyika kwenye Uchaguzi (uchafuzi?) Mkuu uliofanyika Oktoba 25.Itoshe tu kusema kuwa hadi kwa hatua ya sasa habari hizo si za kweli. Ni uzushi.Watawala, wanaotuhumiwa kupoka haki ya
10 years ago
Mwananchi06 Oct
JWTZ yamtimua kazi askari
Jeshi wa Wananchi Tanzania (JWTZ) kikosi cha nchi kavu, limemfukuza kazi askari wake wa Kikosi 128 KJ cha Nyandoto, baada ya kudaiwa kuhusika katika tukio la kurushiana risasi na Polisi wa Kituo cha Stendi, wilayani Tarime.
10 years ago
Uhuru NewspaperAskari wanaswa na sare za JWTZ
Wakutwa na mamilioni ya noti bandia
Na Chibura Makorongo, SimiyuASKARI wa Jeshi la Polisi na Magereza, wametiwa mbaroni kwa kukutwa na noti bandia pamoja na sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Askari JWTZ waaswa kuzingatia mafunzo
Askari na maofisa wa Kamandi ya Anga ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wametakiwa kuzingatia mafunzo wanayopewa kwani yanawaweka tayari kukabilina na majukumu makubwa yanayoweza kutokea nchini na kimataifa.
10 years ago
Mwananchi08 Jun
Askari wa JWTZ watakaowapiga raia kukiona
>Uongozi wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), umesema utawafukuza kazi askari wote watakaojihusisha na vitendo vya utovu wa nidhamu ikiwamo kuwapiga raia wanaokosana nao mitaani.
10 years ago
Habarileo07 May
Waasi waua askari wawili wa JWTZ
WANAJESHI wawili wa Tanzania ambao wako kwenye jeshi la kulinda amani la Umoja wa Mataifa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), wameuawa katika vita na waasi wa eneo hilo.
11 years ago
Habarileo07 Mar
Askari feki JWTZ jela miaka 3
MAHAKAMA ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara, imemhukumu kifungo cha miaka mitatu jela mwanamume aliyejifanya askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na kufanya utapeli.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania