RIYAMA LAIVU!
![](http://api.ning.com:80/files/SDhgST2Am3WKSjyltRAkvklhv2pdg*GlKDZbdKuVmBinTuOoyJR93N-52R3J7lkGwuLg520aQ8gSGMGlRJN96eDYrD3J6BQ8/RIYAMA.gif?width=650)
KANASWA! Staa wa filamu Bongo, Riyama Ally kwa mara ya kwanza amenaswa laivu na kijana aliyemtambulisha kama mwandani wake, akimtaja kwa jina la Idd Mwalimu Mzee, anayemzidi umri kwa miaka saba, Amani linaandika. Staa wa filamu Bongo, Riyama Ally akiwa na anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake. ‘Sapraizi’ hiyo ilitokea saa sita mchana Jumatatu wiki hii nyumbani kwa muigizaji huyo, Mabibo jijini Dar, akiweka wazi kuwa muda...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies03 Sep
Riyama Anaswa Laivu!
KANASWA! Staa wa filamu Bongo, Riyama Ally kwa mara ya kwanza amenaswa laivu na kijana aliyemtambulisha kama mwandani wake, akimtaja kwa jina la Idd Mwalimu Mzee, anayemzidi umri kwa miaka saba, Amani linaandika.
Sapraizi’ hiyo ilitokea saa sita mchana Jumatatu wiki hii nyumbani kwa muigizaji huyo, Mabibo jijini Dar, akiweka wazi kuwa muda wowote kuanzia sasa watafunga ndoa, kwani anampenda kwa dhati mpenziwe huyo, aliyesema ni msanii wa muziki wa Kizazi Kipya, akifanya Hip Hop.
“Yeah,...
10 years ago
Vijimambo08 Jan
DAVIDO WAPEANA MAKAVU LAIVU LAIVU KWENYE MITANDAO
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/Davido-ttt.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4hNukqhfhE32DZxEf7QQYDHUr7qVMY2nSdf*FjZEUgYJphFdmrC*TKBUcOWqhdhvoAsB0IfFsgBVbb9dstl9FaVf3RXwytdV/BACKAMANI.jpg)
JIDE, AY LAIVU!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U7YWT3FNhpwbYZd5uoZUIx8pqQuV5Ywf95VXfU7XI199bjMhWTp3nJoFBDimO-*OnrIbxUHM*ADH7V*ywJE2cuF08kCM2i1h/nay.jpg?width=650)
NAY WA MITEGO LAIVU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8l--NuzR*jFOIY4-HTkrKHiQjOChSX*OvD66SQ*-b5VYMvOnf6dwbDgm9d*tJueeW7yEyB-qBwwGFu5VHQRpxxSXsCsJOu1B/rehema.jpg?width=650)
REHEMA FABIAN LAIVU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NQ48wH9Dt2SlBDYdl4nau-Dqizc5LICwQoiRHd64Lcm7nEAyG7jq006jhP4e3T5yWd4TesnYvdLSo-8bjRwpyWSQ8kbHQsDm/batuli.gif?width=650)
BATULI LAIVU NA MWANAUME
9 years ago
Global Publishers01 Jan
Mh. diwani laivu akimbambia Linah!
Mheshimiwa Diwani wa Kata ya Mwanga Kigoma-Kaskazini, Clayton Revocatus ‘Baba Levo’, akimbambia Linah.
Musa mateja
HII ni aibu ya kufungulia mwaka 2016! Mheshimiwa Diwani wa Kata ya Mwanga Kigoma-Kaskazini, Clayton Revocatus ‘Baba Levo’, amenaswa laivu akimbambia staa wa Bongo Fleva, Esterlina Sanga ‘Linah’ usiku mnene, Ijumaa limeshuhudia tukio hilo mwanzo mwisho.
SIKU YA TUKIO
Tukio hilo la aina yake lilitokea usiku wa kuamkia Desemba 29, Mwaka huu Kijitonyama jijini Dar, ambapo wawili hao...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2Ml-azsQexE58NaJ1uJnXuVkmhgwn1FH7g*6laO3RsBvYVx-UUzKjVGpV0qu9b2n7firSPr4357XTnF-5MKXJPN/laivu.jpg?width=650)
KAMANDA, ASKARI WAKE LAIVU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qhmaNpdkdBug4RQmdW2ChZ4CylzofQ2tZM1*C9L9KH97QGMvorMiS9Y16iWXmiM5brZ1Suj2Gpn66Ia30pbq7vNPM1CLGd4S/12.jpg?width=650)
MCHUNGAJI, MKE WA MWANAJESHI LAIVU!