Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JIDE AOMBA TALAKA

Stori:  Shani Ramadhan
UNAWEZA ukakataa lakini ndivyo ilivyotokea, ndoa ya mtangazaji mahiri Bongo, Gardner Gabriel Fikirini Habash ‘Kapteini’ na Mbongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ iliyofungwa miaka 9 iliyopita inadaiwa kuingia kidudu kufuatia mke huyo kuomba aandikiwe talaka, ni Ijumaa Wikienda pekee lenye uthubutu wa kuripoti mkasa wote. Jide akiwa na jumewe Gardner. Kwa mujibu wa chanzo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Mke aliyetelekezwa na Rais tajiri wa Gabon Ali Bongo aomba talaka, ni mmarekani anayeishi LA!

Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa Rais wa Gabon anayetambulika kwa wengi kuwa ana mke mmoja anayeishi naye kwenye ikulu ya nchini mwake, ana mke wa pili anayeishi maisha ya tabu nchini Marekani. Rais Ali Bongo Ondimba aliwahi kuishi jijini L.A. kipindi ambacho baba yake alikuwa rais wa nchini hiyo. Alikutana na mwanamke aitwaye Inge mwaka […]

 

10 years ago

GPL

JIDE, AY LAIVU!

Stori: Andrew Carlos
KABANG! Mwanadada asiyechuja kwenye muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo   ‘Jide’ mwishoni mwa wiki iliyopita alibambwa ‘laivu’ kwa mara ya kwanza katika kipindi kirefu akiwa ‘very close’ na mwanamuziki mwenzake, Ambwene Yessaya ‘AY’ wakiteta jambo. Wabongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ na Ambwene Yessaya ‘AY’...

 

10 years ago

GPL

GARDNER AMKEJELI JIDE!

Gladness Mallya REVENGE! Katika kile kinachoonekana kama kejeli kwa mke wake wa zamani aliyekorofishana naye, mtangazaji maarufu Gardner G. Habash, ametundika picha kwenye akaunti yake katika mtandao wa Instagram ikimuonyesha akiwa amempakata mwanamke mjamzito. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1Kh4pCJ

 

9 years ago

Global Publishers

Jide ahamia Ujerumani!

jaydeeJudith Wambura Mbibo ‘Jide’ au ‘Lady Jaydee’.

Stori: Na Brighton Masalu

MOYONI nina majonzi, sina tofauti na mpofu! Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ au ‘Lady Jaydee’ kwa sasa hana makazi maalum Bongo, amehamishia makazi na shughuli zake katika ardhi ya ‘Kansela’ wa Ujerumani, Angelina Merkel kwenye Jiji la Born.

Katika mazungumzo yake na mwandishi wetu kwa njia ya simu, Jumatatu ya wiki hii, Jide ambaye alidai kwa sasa yupo nchini kwa Sikukuu ya Krismasi (kesho), alisema sababu zilizomfanya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Komando Jide ajifunza kareti

MWANADADA anayetamba katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya nchini, Judith Wambura ‘Lady Jay Dee’ au ‘Komando’ amesema anataka kuliweka jina lake la Komando kuwa na maana kwa kuanza kujifunza...

 

10 years ago

GPL

JIDE ALA BATA CHINA!

Deogratius Mongela na Chande Abdallah
GOOD time! Ndivyo unavyoweza kusema ambapo wakati habari ya mjini ikiwa ni kuhusiana na nyumba yake kupigwa mnada, staa wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au ‘Jide’ yupo bize jijini Hong Kong, China akila bata, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo. Staa wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au ‘Jide’. Mwishoni mwa wiki...

 

10 years ago

GPL

JIDE ADAIWA KUHAMIA HOTELINI

Stori: Waandishi Wetu
NYOTA wa muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ ambaye hivi karibuni ndoa yake iliripotiwa kuwa katika sintofahamu na kuvunjika, anadaiwa kuhamia katika hoteli moja yenye hadhi ya nyota tatu iliyopo Oysterbay jijini Dar. Nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Jide amekuwa akionekana akiingia na kutoka kwenye hoteli...

 

10 years ago

GPL

NDOA YA JIDE GARDNER AFUNGUKA

Na Ojuku Abraham na Gladness Mallya HABARI kubwa ya mjini hivi sasa, hasa kwenye mitandao ya kijamii ni juu ya madai mazito ya kuvunjika kwa ndoa ya selebriti wawili Bongo, staa wa muziki wa Kizazi Kipya, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au ‘Jide’ na mtangazaji maarufu wa Radio Times FM, Gardner G. Habash, iliyofungwa Mei 14, 2005, Ijumaa linamaliza utata. Staa wa muziki wa Kizazi Kipya, Judith Wambura...

 

10 years ago

GPL

MCHUNGAJI AMWITA JIDE AMUOMBEE!

Imelda Mtema/Ijumaa
SIKU moja tu baada ya mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ kutupia kwenye mtandao wa Instagram, Jumanne iliyopita akisema baadhi ya watu wanamsakama kuhusu kutozaa bora auawe, mchungaji ameibuka na kumtaka staa huyo kufika kanisani kwake ili amwombee. Mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’. Mchungaji Overcomer Daniel wa Kanisa la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani