Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mke aliyetelekezwa na Rais tajiri wa Gabon Ali Bongo aomba talaka, ni mmarekani anayeishi LA!

Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa Rais wa Gabon anayetambulika kwa wengi kuwa ana mke mmoja anayeishi naye kwenye ikulu ya nchini mwake, ana mke wa pili anayeishi maisha ya tabu nchini Marekani. Rais Ali Bongo Ondimba aliwahi kuishi jijini L.A. kipindi ambacho baba yake alikuwa rais wa nchini hiyo. Alikutana na mwanamke aitwaye Inge mwaka […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAMA ALIYETELEKEZWA NA MUMEWE AOMBA MSAADA KWA WASAMALIA WEMA

WANAWAKE wengi duniani bado wananyanyaswa kijinsia kwa sababu za kijamii, kiuchumi na kipato licha ya kuwepo kwa elimu kuhusu haki zao.

Mwanamama Ester Charles ambaye ni mkazi wa Mwambani wilayani Ilemela ametelekezwa na mumewe aliyetajwa kwa jina la Albinus na kubakizwa na watoto wawili wadogo wanaohitaji uangalizi na usimamizi. Pichani mwanamama Ester akiwa na mtoto wake mdogo anayetaabika na ugonjwa wa kupooza. 


KWA UFUPI
Mumewake alipopata mwanamke mwingine alihama nyumba aliyokuwa akiishi...

 

10 years ago

GPL

MKE ANAYEISHI NA WAUME WAWILI MAPYA YAIBUKA

Stori: Haruni Sanchawa na Denis Mtima Sakata la mke kuishi na waume wawili  limechukua sura mpya baada ya kikao cha ndugu wa mume halali, Rogers Halinga kuketi kikao katika Kijiji cha Ishungu, Kata ya Ruiwa Mbarali, mkoani Mbeya na kumtaka Biton Mwashilindi kufanya mazungumzo nao kabla hawajafungua madai ya ugoni mahakamani na kudai fidia. Rogers Halinga akiwa na baba yake mzee Jason Halinga na mtoto anayedaiwa kugombaniwa. ...

 

11 years ago

GPL

JIDE AOMBA TALAKA

Stori:  Shani Ramadhan
UNAWEZA ukakataa lakini ndivyo ilivyotokea, ndoa ya mtangazaji mahiri Bongo, Gardner Gabriel Fikirini Habash ‘Kapteini’ na Mbongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ iliyofungwa miaka 9 iliyopita inadaiwa kuingia kidudu kufuatia mke huyo kuomba aandikiwe talaka, ni Ijumaa Wikienda pekee lenye uthubutu wa kuripoti mkasa wote. Jide akiwa na jumewe Gardner. Kwa mujibu wa chanzo...

 

5 years ago

CCM Blog

MKE WA PILISI ANAYETUHUMIWA KUMUUA MMAREKANI MWEUSI ADAI TARAKA

  Kellie Chauvin, Mke wa Derek Chauvin Polisi ambaye anatuhumiwa kwa kumkanyaga shingoni Mmarekani mweusi George Floyd hadi kupelekea kifo chake, amedai talaka kwa Mumewe, kupitia kwa Wakili wake Kellie amewapa pole Ndugu wa Marehemu Floyd na kusema Mumewe amefanya ukatili.

 

10 years ago

GPL

MKE WA SHETTA ADAI TALAKA

Musa Mateja na Imelda Mtema
KIMENUKA! Siku chache baada ya habari ya staa wa Bongo Fleva anayesumbua na wimbo wa Shikorobo, Nurdin Bilal ‘Shetta’ kudaiwa kulala chumba kimoja na mwigizaji Rose Ndauka kuandikwa gazetini, mkewe Neila Yusuf ameshindwa kuvumilia na kudai talaka yake, Risasi Mchanganyiko linakujuza. Staa wa Bongo Fleva anayesumbua na wimbo wa Shikorobo, Nurdin Bilal ‘Shetta’ akiwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

MUME KWA MKE TAJIRI

UME KWA MKE TAJIRI Mke akiwa tajiri, mwanamume maskini Hana uwezo fakiri, mke hatamthamini Natunga hili shairi, nisemayo naamini Mume kwa mke tajiri

 

10 years ago

Bongo Movies

Mke wa Shetta Adai Talaka, Kisa Rose Ndauka

Siku chache baada ya habari ya staa wa Bongo Fleva , Nurdin Bilal ‘Shetta’ kudaiwa kulala chumba kimoja na staa wa Bongo Movies, Rose Ndauka kuandikwa gazetini, mkewe Neila Yusuf ameshindwa kuvumilia na kudai talaka yake, Risasi Mchanganyiko linakujuza.

Shetta na Rose waliripotiwa na “gazeti pendwa”moja kuwa walilala katika chumba kimoja katika Hoteli ya Kingway iliyopo mkoani Morogoro walipokuwa wamekwenda kwenye mazishi ya muasisi wa Kundi la Tip Top Connection, Abdul Bonge.

Kwa mujibu...

 

10 years ago

Bongo5

Chris Rock ampa talaka mke wake wa miaka 20

Mchekeshaji na muigizaji maarufu wa nchini Marekani, Chris Rock amempa talaka mke wake aliyedumu naye kwa kipindi cha miaka 20. Malaak Compton-Rock alitoa maelezo Jumapili hii kupitia jarida la People akisema: “After much contemplation and 19 years of marriage, Chris and I have decided to go our separate ways.” “While recognizing that this is a […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani