Mke wa Shetta Adai Talaka, Kisa Rose Ndauka
Siku chache baada ya habari ya staa wa Bongo Fleva , Nurdin Bilal ‘Shetta’ kudaiwa kulala chumba kimoja na staa wa Bongo Movies, Rose Ndauka kuandikwa gazetini, mkewe Neila Yusuf ameshindwa kuvumilia na kudai talaka yake, Risasi Mchanganyiko linakujuza.
Shetta na Rose waliripotiwa na “gazeti pendwa”moja kuwa walilala katika chumba kimoja katika Hoteli ya Kingway iliyopo mkoani Morogoro walipokuwa wamekwenda kwenye mazishi ya muasisi wa Kundi la Tip Top Connection, Abdul Bonge.
Kwa mujibu...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/L5FNdOkpk1Z2wlNEKDlCvLqZ7w-2leKUd4uu107d0oIDDc8C93o7sxV30CAgUXFQfU4MQt0XMrwopBUZosZw76HeEdU4caUx/WEWW.jpg?width=650)
MKE WA SHETTA ADAI TALAKA
10 years ago
GPLALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qHkXSNTTQ9f6andB-rb8Uk7fWdGpwxlZFuhMdNyeDeAW7WxBaQZwcqtJD1VlYcqguRlvBrMJNvB-RGbA2IPfCMAqAsb2rrxj/q.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA, SHETTA WADAIWA KULALA CHUMBA KIMOJA
9 years ago
Bongo524 Nov
Rose Ndauka ajibu tetesi za kuwa na uhusiano na Shetta
![11208267_1018831591463131_2026634416_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11208267_1018831591463131_2026634416_n-300x194.jpg)
Baada ya kuenea tetesi kuwa mke wa Shetta ‘Neila Yusuf’ anadai talaka kwa mume wake kutokana na Rose Ndauka kuingilia ndoa yao, Ndauka amevunja ukimya.
Akiongea kwenye kipindi cha Mkasi, Ndauka alikanusha kuwahi kuwa na uhusiano na rapper huyo.
“Kuna siku nilikuwa kwa Diamond, Mama Kayla alikuwepo, kwahiyo akawa amenifuata kunisalimia, Dareen akawa ananiambia umemuona ‘mama Kayla?’ Nikamwambia yupo wapi? akaniambia ndio huyu hapa! Nikawa nacheka nikamwambia ‘mambo’, nikamwambia nasikia...
10 years ago
Bongo Movies29 Apr
Mkewe Shetta Akataa Gari, Rose Ndauka Atajwa
Kwa mujibu wa gazeti la leo la Risasi, inadaiwa kuwa katika kuhakikisha anainusuru ndoa yake iliyotikisika kufuatia madai ya kutoka na muigizaji Rose Ndauka, msanii wa Bongo Fleva Nurdin Bilal ‘Shetta’ amemnunulia mkewe gari aina ya Toyota Mark X lenye thamani ya shilingi milioni 19, lakini bibie huyo amelikataa na kuendelea kuishi mbali naye.
Akiongea na gazeti hilo, Shetta alisema mpaka sasa mkewe huyo, Leila Yusuf bado hajarudi nyumbani kwake kwani alifanya hivyo kama mojawapo ya njia...
10 years ago
Michuzi04 May
NAMUOMBA MUNGU ANGEMLETA ROSE NDAUKA MAPEMA - SHETTA
Wimbo wa Ruby Na Yule unaweka wazi Vitu ambavyo Vitakufanya uamini kuwa Mama Kaylah Mke wa Shetta Hajarudi nyumbani baada ya Kumwacha Shetta kwa Kile alichokidai kuwa Shetta Amechepuka na Mwanadada wa Bongo Movie Rose Ndauka.Kwenye mahojiano ya Juzi Tarehe 29 aliyofanya na Kipindi cha DUNDO cha MJ FM ambapo Shetta alikuwa anaizungumzia Ngoma ya mtu mwingine Ambayo anaikubali Kuliko ambapo aliuchagua wimbo wa Ruby Uitwao NA YULE kama Hit On Chart yake na Hapo ndipo akabanwa na DjHaazu...
10 years ago
Bongo Movies28 Apr
Majibu ya Mwigizaji Rose Ndauka Baada ya Kuhusishwa na Matatizo ya Ndoa ya Shetta
Baada ya kuenea kwa taarifa kuwa ndoa ya msanii wa bongo fleva, Shetta imevunjika baada ya taarifa kumfikia mke wake kuwa msanii huyo anamahusiano na staa mrembo wa Bongo Movies, Rose Ndauka.
Akijibu shutuma hizo, Rose Ndauka alijibu haya alipoulizwa na Soudy Brown wa Clouds FM kwenye kipindi cha XXL.
“Kwanza kitu ambacho ningependa kumuambia asipende kusikiliza watu.. la pili kitu chochote ambacho kinahusiana na mahusiano sio vizuri kupeleka kwenye public… hata ingekuwa ni ukweli...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ac68YxxsLJ0i5*nzOsyAaKb6txTYVyDX6X9aDp16Kd0pn1hgNPqLw5vK6ulRc2Tg7LGuBZbTKUEfIkgmG3-zKyoxwJIpE11X/rose.jpg)
ROSE NDAUKA AMKIMBIA MUMEWE, KISA MFUNGO