Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ROSE NDAUKA, SHETTA WADAIWA KULALA CHUMBA KIMOJA

MUSA MATEJA KIMESANUKA! Mkali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nurdin Bilal maarufu kama Shetta anadaiwa kulala chumba kimoja na staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka katika hoteli iitwayo Kingway iliyoko mkoani Morogoro mwishoni mwa wiki iliyopita. Staa wa filamu Bongo, Rose. Chanzo makini kinachofahamu kwa undani kinachoendelea baina ya mastaa hao wawili, kimelidokeza gazeti hili kuwa tukio hilo lilijiri wakati wakielekea katika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Mkewe Shetta Akataa Gari, Rose Ndauka Atajwa

Kwa mujibu wa gazeti la leo la Risasi, inadaiwa kuwa katika kuhakikisha anainusuru ndoa yake iliyotikisika kufuatia madai ya kutoka na muigizaji Rose Ndauka, msanii wa Bongo Fleva Nurdin Bilal ‘Shetta’ amemnunulia mkewe gari aina ya Toyota Mark X lenye thamani ya shilingi milioni 19, lakini bibie huyo amelikataa na kuendelea kuishi mbali naye.

Akiongea  na gazeti hilo, Shetta alisema mpaka sasa mkewe huyo, Leila Yusuf bado hajarudi nyumbani kwake kwani alifanya hivyo kama mojawapo ya njia...

 

9 years ago

Bongo5

Rose Ndauka ajibu tetesi za kuwa na uhusiano na Shetta

11208267_1018831591463131_2026634416_n

Baada ya kuenea tetesi kuwa mke wa Shetta ‘Neila Yusuf’ anadai talaka kwa mume wake kutokana na Rose Ndauka kuingilia ndoa yao, Ndauka amevunja ukimya.

11208267_1018831591463131_2026634416_n

Akiongea kwenye kipindi cha Mkasi, Ndauka alikanusha kuwahi kuwa na uhusiano na rapper huyo.

“Kuna siku nilikuwa kwa Diamond, Mama Kayla alikuwepo, kwahiyo akawa amenifuata kunisalimia, Dareen akawa ananiambia umemuona ‘mama Kayla?’ Nikamwambia yupo wapi? akaniambia ndio huyu hapa! Nikawa nacheka nikamwambia ‘mambo’, nikamwambia nasikia...

 

10 years ago

Michuzi

NAMUOMBA MUNGU ANGEMLETA ROSE NDAUKA MAPEMA - SHETTA

Inline image
Wimbo wa Ruby Na Yule unaweka wazi Vitu ambavyo Vitakufanya uamini kuwa Mama Kaylah Mke wa Shetta Hajarudi nyumbani baada ya Kumwacha Shetta kwa Kile alichokidai kuwa Shetta Amechepuka na Mwanadada wa Bongo Movie Rose Ndauka.Kwenye mahojiano ya Juzi Tarehe 29 aliyofanya na Kipindi cha DUNDO cha MJ FM ambapo Shetta alikuwa anaizungumzia Ngoma ya mtu mwingine Ambayo anaikubali Kuliko ambapo aliuchagua wimbo wa Ruby Uitwao NA YULE kama Hit On Chart yake na Hapo ndipo akabanwa na DjHaazu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mke wa Shetta Adai Talaka, Kisa Rose Ndauka

Siku chache baada ya habari ya staa wa Bongo Fleva , Nurdin Bilal ‘Shetta’ kudaiwa kulala chumba kimoja na staa wa Bongo Movies, Rose Ndauka kuandikwa gazetini, mkewe Neila Yusuf ameshindwa kuvumilia na kudai talaka yake, Risasi Mchanganyiko linakujuza.

Shetta na Rose waliripotiwa na “gazeti pendwa”moja kuwa walilala katika chumba kimoja katika Hoteli ya Kingway iliyopo mkoani Morogoro walipokuwa wamekwenda kwenye mazishi ya muasisi wa Kundi la Tip Top Connection, Abdul Bonge.

Kwa mujibu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Majibu ya Mwigizaji Rose Ndauka Baada ya Kuhusishwa na Matatizo ya Ndoa ya Shetta

Baada ya kuenea kwa taarifa kuwa ndoa ya msanii wa bongo fleva, Shetta  imevunjika baada ya taarifa kumfikia mke wake kuwa  msanii huyo anamahusiano na staa mrembo wa Bongo Movies, Rose Ndauka.

Akijibu shutuma hizo, Rose Ndauka  alijibu haya alipoulizwa na Soudy Brown wa Clouds FM kwenye kipindi cha XXL.

  “Kwanza kitu ambacho ningependa kumuambia asipende kusikiliza watu.. la pili kitu chochote ambacho kinahusiana na mahusiano sio vizuri kupeleka kwenye public… hata ingekuwa ni ukweli...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mahabusu wa kike, kiume wafungiwa chumba kimoja

WANANCHI wa Kijiji cha Jojo, Kata ya Santilya, Wilaya ya Mbeya Vijijini, wamelaani kitendo cha Katibu Mtendaji wao, Anderson Yamaliha, kuwakamata wanaume watano, mwanamke mmoja na kuwafungia chumba kimoja, akidai...

 

10 years ago

Bongo5

Rose Ndauka na Chiwaman waachana, ndoto za ndoa zayeyuka, Rose athibitisha

Msanii wa filamu Rose Ndauka ambaye alikuwa mbioni kufunga ndoa na mzazi mwenzake, msanii wa kundi la TNG, Malick Bandawe maarufu kama King Chiwaman wameachana kutokana na kutoelewana ndani ya mahusiano yao. Rose Ndauka na Chiwaman Akizungumza na bongo5 leo, Rose amesema wamejaribu kukaa chini na kuyaweka sawa mahusiano yao lakini imeshindika na kuona sulihisho […]

 

10 years ago

GPL

ALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE

Mwanamuziki Chiwa Malick Bandawe wakati akihojiwa na Global TV Online leo. Malick akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari wakati akihojiwa na Global TV Online.…

 

10 years ago

GPL

ROSE NDAUKA HAKAMATIKI

Stori: Musa Mateja
Acha kabisa! Baada ya kuachana na aliyekuwa mchumba’ke, Malick Bandawe kisha kurudi kwao, Kigogo jijini Dar, staa grade one wa Bongo Movies, Rose Donatus Ndauka anadaiwa hivi sasa hakamatiki hivyo hakauki viwanja. Staa grade one wa Bongo Movies, Rose Donatus Ndauka akiinjoi uhuru wa kuwa 'Single' Viwanja. Uchunguzi wa Ijumaa Wikienda ambalo limekuwa likimnyatia kwa ukaribu Rose unaonesha kwamba tangu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani