MKE WA SHETTA ADAI TALAKA
![](http://api.ning.com:80/files/L5FNdOkpk1Z2wlNEKDlCvLqZ7w-2leKUd4uu107d0oIDDc8C93o7sxV30CAgUXFQfU4MQt0XMrwopBUZosZw76HeEdU4caUx/WEWW.jpg?width=650)
Musa Mateja na Imelda Mtema KIMENUKA! Siku chache baada ya habari ya staa wa Bongo Fleva anayesumbua na wimbo wa Shikorobo, Nurdin Bilal ‘Shetta’ kudaiwa kulala chumba kimoja na mwigizaji Rose Ndauka kuandikwa gazetini, mkewe Neila Yusuf ameshindwa kuvumilia na kudai talaka yake, Risasi Mchanganyiko linakujuza. Staa wa Bongo Fleva anayesumbua na wimbo wa Shikorobo, Nurdin Bilal ‘Shetta’ akiwa na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies15 Apr
Mke wa Shetta Adai Talaka, Kisa Rose Ndauka
Siku chache baada ya habari ya staa wa Bongo Fleva , Nurdin Bilal ‘Shetta’ kudaiwa kulala chumba kimoja na staa wa Bongo Movies, Rose Ndauka kuandikwa gazetini, mkewe Neila Yusuf ameshindwa kuvumilia na kudai talaka yake, Risasi Mchanganyiko linakujuza.
Shetta na Rose waliripotiwa na “gazeti pendwa”moja kuwa walilala katika chumba kimoja katika Hoteli ya Kingway iliyopo mkoani Morogoro walipokuwa wamekwenda kwenye mazishi ya muasisi wa Kundi la Tip Top Connection, Abdul Bonge.
Kwa mujibu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zruj0PgXfjP7nOZbWyoytmKjy4vAacRO6K-PJzCanmVXMiwcjnusI-45TYkcsXVpP7xjo3Wy*soLsrUShcEhHJ7pzq9zGYd/aunty.jpg)
AUNT ADAI TALAKA!
10 years ago
BBCSwahili18 Dec
Flora Mabasha adai talaka
10 years ago
Bongo529 Dec
Chris Rock ampa talaka mke wake wa miaka 20
9 years ago
Bongo501 Oct
Mke aliyetelekezwa na Rais tajiri wa Gabon Ali Bongo aomba talaka, ni mmarekani anayeishi LA!
10 years ago
Bongo528 Aug
Baba yake Beyonce adai kuwa mwanae na Jay Z walisambaza tetesi za talaka kukuza mauzo ya tiketi ya ziara yao
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YkTQKvQouuqv9D4AmId4C-gWj7t6xPLzetpoPOJBmE7KPy9knNLn5nQ07E04hm8XG9kTz79Xi4nxZavCXu4xohd9QX*PEDSO/MUMEcopy.jpg?width=650)
MUME ADAI KUKIMBIWA NA MKE!
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/poNlDA9JoO2BV45oD64pFGlq6SI32e2TiITuhKRBV6nrWt7FzdcGO9bF3iCII8Sq0lTNjZX1Wej4sxBDLQm1P5*3DrB8fDAj/VAIVV.jpg)
VAI ADAI HANA SIFA ZA MKE