Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baba yake Beyonce adai kuwa mwanae na Jay Z walisambaza tetesi za talaka kukuza mauzo ya tiketi ya ziara yao

Baba yake na Beyoncé anadai kuwa mwanae na Jay Z walisambaza kwa makusudi tetesi za talaka kukuza mauzo ya tiketi za ziara yao ya ‘On The Run’. Jay Z akimbusu mkewe Beyonce kwenye MTV VMA wakiwa na mtoto wao Blue Ivy Mathew Knowles alitoa kauli hiyo ya kushtusha alipokuwa akihojiwa katika The Roula And Ryan […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Picha: Beyonce na Jay Z mapenzi tele licha ya tetesi kuwa ndoa yao ipo kwenye mawe tena

Tetesi kuwa Beyonce na Jay Z huenda wakawa katika hatua ya mwisho kuachana, hazioneshi kuwa na maana yoyote baada ya kuona picha hizi. Ni wazi kuwa Bey na Jay bado wanapenda na sana. Mastaa hao wanaonekana kuwa bado wapo kwenye mapenzi tele katika picha zinazowaonesha wakitupiana mabusu tele kwenye mapumziko na familia. Mtoto wa Blue […]

 

9 years ago

Bongo5

Baba yake na Beyonce agusia uwezekano wa ziara na album mpya ya Destiny’s Child

Ikiwa ni takriban miaka 10 tangu itoke album mpya ya Destiny’s Child, baba yake na Beyonce, Mathew Knowles amesema huenda kundi hilo likaungana kwa mara nyingine. Akiongea na mtandao wa The Huffington Post, Knowles ambaye bado anasimamia kazi za kundi hilo alisema mashabiki watarajie kitu. “Nina matumaini makubwa kuwa wasichana hawa watarejea na album na […]

 

11 years ago

Bongo5

Video: Akon adai ndoa ya Jay Z na Beyonce ni ya biashara, The Carters wakaa kwenye hoteli ya tshs mil.50 kwa usiku 1

Wakati ambapo tetesi za kukaribia kuvunjika kwa ndoa ya Jay Z na Beyonce zikiendelea kushika kasi, msanii mwenzao, Akon amezungumza anachokiona kuhusiana na uhusiano wa mastaa hao. “Uhusiano wao umekuwa wa kibiashara katika ulimwengu wa nje kuliko uhusiano wa kawaida,” Akon alimwambia mwandishi wa TMZ aliyemuuliza anauonaje uhusiano wa Jay na Bey. “Ukiwa mtu unayejulikana […]

 

9 years ago

GPL

JAY Z AMFANYIA BEYONCE ‘SURPRISE’ KWENYE BETHIDEI YAKE

Beyonce katika pozi na Jay Z. New York, Marekani RAPA mwenye heshima ya muda wote kwenye gemu la Hip hop duniani, kutoka Marekani Shown Carter ‘Jay z’ hivi karibuni alimfanyia ‘surprise’ mkewe, Beyoncé Giselle Knowles-Carter kwenye sherehe ya kuazimisha miaka 34 tangu azaliwe, kwa kumchagulia wimbo wa kuisindikiza furaha yake ambao hakuutegea kabisa. Beyonce akiwa na mwanaye Blue Ivy. Akizungumza na...

 

9 years ago

Bongo5

Irv Gotti adai Jay Z hakuwahi kuwa na imani na DMX

lplp

Producer wa Marekani, Irv Gotti aliyefahamika zaidi kwa lebo ya Murder Inc amedai kuwa wakati Jay Z alipokuwa rais wa Def Jam Recordings hakuwa na imani na DMX.

lplp

Amedai kuwa pamoja na maafisa wengi wa lebo hiyo kutomwamini DMX, aliuza zaidi kazi zake kuliko Jay Z na Ja Rule. Producer huyo amesema kwenye mkutano aliofanya nao walimcheka baada ya kupendekeza wamsainishe DMX.

Alisema hayo kwenye makala ya Complex, Jewels From Irv Gotti: How Def Jam, Jay Z, & Dame Dash Didn’t Believe In...

 

9 years ago

Bongo5

Baba yake Paul Walker naye awashtaki Porsche kwa kifo cha mwanae

Paul-Walker

Baba yake na Paul Walker Jumatano hii amewasilisha mashtaka dhidi ya kampuni ya magari ya Porsche akidai kuwa gari ambalo mwanae alikuwa akiendesha lilikosa vitu vya kiusalama ambavyo vingeweza kuokoa maisha yake.

Paul-Walker

Muigizaji huyo wa Fast & Furious alifariki November 2013 kwenye ajali mbaya ya gari huko Santa Clarita, Calif., iliyomuua pia rafiki yake Roger Rodas, dereva wa gari aina ya 2005 Porsche Carrera GT.

Mashtaka hayo ni kama yale yaliyowasilishwa na mtoto wa Meadow, ...

 

10 years ago

Bongo5

Beyonce na Jay Z washtakiwa na mwimbaji wa Hungary kwa kudaiwa kutumia sauti yake bila idhini kwenye ‘Drunk In Love’

Mwimbaji wa Hungary amewashtaki Jay Z, Beyonce na Timberland kwa madai ya kutumia sauti yake kwenye wimbo wa ‘Drunk In Love’ bila idhini yake. Kwa mujibu wa TMZ, mwimbaji huyo wa kike aitwaye Monika Miczura Juhasz a.k.a Mitsou, amedai kuwa mastaa hao wali-sample wimbo wake uliorekodiwa mwaka 1995 uitwao “Bajba, Bajba Pelem.” Mitsou amedai kulipwa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani