Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAY Z AMFANYIA BEYONCE ‘SURPRISE’ KWENYE BETHIDEI YAKE

Beyonce katika pozi na Jay Z. New York, Marekani RAPA mwenye heshima ya muda wote kwenye gemu la Hip hop duniani, kutoka Marekani Shown Carter ‘Jay z’ hivi karibuni alimfanyia ‘surprise’ mkewe, Beyoncé Giselle Knowles-Carter kwenye sherehe ya kuazimisha miaka 34 tangu azaliwe, kwa kumchagulia wimbo wa kuisindikiza furaha yake ambao hakuutegea kabisa. Beyonce akiwa na mwanaye Blue Ivy. Akizungumza na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

PETIT MAN AMFANYIA ‘’SURPRISE’DADA YAKE DIAMOND KWENYE SIKU YAKE YA KUZALIWA

Meneja wa msanii wa Bongo Fleva,Mirror,Petit Man kutoka kampuni ya Endless Fame chini yake Wema Sepetu jana alimfanyia Surprise mke wake ambaye ni dada yake aitwaye Esma Platinumz kwa kumzawadia zawadi ya gari kwenye sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika Samaki Samaki maeneo ya Masaki.Katika Sherehe iliyohudhuliwa na mastaa kibao akiwemo Wema Sepetu,Petit Man wakati akimzawadia mke wake huyo hakuamini na kuanza kulia kwa furaha. Kupitia Instagram Esma aliandika hivi....Thank u my husband for...

 

11 years ago

GPL

MONA AMFANYIA ‘SURPRISE’ BABA YAKE

Stori: Hamida Hassan
Staa wa filamu za Kibongo, Yvonne Sheryl  ‘Monalisa’ juzi kati alimfanyia sapraizi ya kumpelekea keki baba yake wa kufikia Alex Humba Lumila ambaye ni mume wa mama yake Suzan Lewis ‘Natasha’ katika siku yake ya kuzaliwa. Staa wa filamu za Kibongo, Yvonne Sheryl  ‘Monalisa’ akilishwa keki na baba yake mzee Alex Humba Staa huyo alifanya kisherehe hicho cha...

 

10 years ago

Bongo5

Beyonce na Jay Z washtakiwa na mwimbaji wa Hungary kwa kudaiwa kutumia sauti yake bila idhini kwenye ‘Drunk In Love’

Mwimbaji wa Hungary amewashtaki Jay Z, Beyonce na Timberland kwa madai ya kutumia sauti yake kwenye wimbo wa ‘Drunk In Love’ bila idhini yake. Kwa mujibu wa TMZ, mwimbaji huyo wa kike aitwaye Monika Miczura Juhasz a.k.a Mitsou, amedai kuwa mastaa hao wali-sample wimbo wake uliorekodiwa mwaka 1995 uitwao “Bajba, Bajba Pelem.” Mitsou amedai kulipwa […]

 

11 years ago

GPL

KAJALA AMFANYIA BONGE LA BETHIDEI MWANAE PAULA

  Kibao cha Shule ya Msingi Sinza ilipofanyika sherehe hiyo. Kajala akizungumza jambo katika shule hiyo ya watoto walemavu.   Keki ya bethidei ya…

 

9 years ago

Bongo5

Jay Z, Beyonce, Nicki Minaj, Usher na mastaa wengine kutumbuiza kwenye show ya charity ya Tidal

Baada ya mtandao wa Tidal kufikisha zaidi ya watumiaji milioni moja, Jay Z aliahidi kusheherekea na sasa ametangaza shangwe hizo zitakuwa lini na wapi. Jay ametangaza show za charity za TIDAL X: 1020 ambapo kwa mara ya kwanza itafanyika Oct. 20 kwenye uwanja/ukumbi wa Barclays Center, Brooklyn. Pamoja na Jay Z mwenyewe, mastaa wengine watakaotumbuiza […]

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Jay Z na Beyonce waoneshana mahaba kwa ku-kiss jukwaani kwenye tamasha la Tidal X: 1020

Jay Z na Beyonce ni miongoni mwa mastaa walioshambulia jukwaa kwenye tamasha ya Tidal X: 1020 lililofanyika Jumanne Oct 20 jijini New York. Beyonce na mumewe Jay Z hawakusita kuudhihirishia ulimwengu kuwa mapenzi yao bado yana nguvu kwa kushare ‘kiss’ wakiwa jukwaani. Wengine waliotumbuiza kwenye tamasha hilo ni Nicki Minaj, Usher na Lil Wayne, Meek […]

 

10 years ago

Bongo5

Beyonce na Jay Z kuhamia L.A kutoka New York, wamwandikisha Blue Ivy kwenye shule ya milioni 25 kwa mwaka

Beyonce na Jay Z wanahamia jijini Los Angeles baada ya kuishi jijini New York kwa miaka mingi, mtandao wa TMZ umedai. Umesema Beyonce na Jay Z kwa sasa wanaishi kwenye hoteli huko Beverly Hills na wanatafuta nyumba ya kununua. Mtandao huo pia umedai kuwa mastaa hao wamemwandikisha mtoto wao Blue Ivy mwenye miaka mitatu kwenye […]

 

10 years ago

Bongo5

Baba yake Beyonce adai kuwa mwanae na Jay Z walisambaza tetesi za talaka kukuza mauzo ya tiketi ya ziara yao

Baba yake na Beyoncé anadai kuwa mwanae na Jay Z walisambaza kwa makusudi tetesi za talaka kukuza mauzo ya tiketi za ziara yao ya ‘On The Run’. Jay Z akimbusu mkewe Beyonce kwenye MTV VMA wakiwa na mtoto wao Blue Ivy Mathew Knowles alitoa kauli hiyo ya kushtusha alipokuwa akihojiwa katika The Roula And Ryan […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani