Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MONA AMFANYIA ‘SURPRISE’ BABA YAKE

Stori: Hamida Hassan
Staa wa filamu za Kibongo, Yvonne Sheryl  ‘Monalisa’ juzi kati alimfanyia sapraizi ya kumpelekea keki baba yake wa kufikia Alex Humba Lumila ambaye ni mume wa mama yake Suzan Lewis ‘Natasha’ katika siku yake ya kuzaliwa. Staa wa filamu za Kibongo, Yvonne Sheryl  ‘Monalisa’ akilishwa keki na baba yake mzee Alex Humba Staa huyo alifanya kisherehe hicho cha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

PETIT MAN AMFANYIA ‘’SURPRISE’DADA YAKE DIAMOND KWENYE SIKU YAKE YA KUZALIWA

Meneja wa msanii wa Bongo Fleva,Mirror,Petit Man kutoka kampuni ya Endless Fame chini yake Wema Sepetu jana alimfanyia Surprise mke wake ambaye ni dada yake aitwaye Esma Platinumz kwa kumzawadia zawadi ya gari kwenye sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika Samaki Samaki maeneo ya Masaki.Katika Sherehe iliyohudhuliwa na mastaa kibao akiwemo Wema Sepetu,Petit Man wakati akimzawadia mke wake huyo hakuamini na kuanza kulia kwa furaha. Kupitia Instagram Esma aliandika hivi....Thank u my husband for...

 

10 years ago

GPL

JAY Z AMFANYIA BEYONCE ‘SURPRISE’ KWENYE BETHIDEI YAKE

Beyonce katika pozi na Jay Z. New York, Marekani RAPA mwenye heshima ya muda wote kwenye gemu la Hip hop duniani, kutoka Marekani Shown Carter ‘Jay z’ hivi karibuni alimfanyia ‘surprise’ mkewe, Beyoncé Giselle Knowles-Carter kwenye sherehe ya kuazimisha miaka 34 tangu azaliwe, kwa kumchagulia wimbo wa kuisindikiza furaha yake ambao hakuutegea kabisa. Beyonce akiwa na mwanaye Blue Ivy. Akizungumza na...

 

10 years ago

Michuzi

MWILI WA BABA YAKE MWANAHABARI, PETER AMBILIKILE WAAGWA JIJINI DAR ES SALAAM, MAZISHI YAKE KUFANYIKA MBEYA LEO

 Marehemu Mzee Anyosisye Mwakyusa enzi za uhai wake. Mwili ukiondolewa kanisani.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

11 years ago

GPL

MTITU AFIWA NA BABA YAKE

STAA wa filamu za kibongo William Mtitu amepata pigo baada ya kufiwa na baba yake mzazi, Mzee John Mtitu aliyekuwa amelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili kutokana na kusumbuliwa na uvimbe kichwani Akizungumza kwa masikitiko nyumbani kwake Mabibo jijini Dar es Salaam, Mtitu alisema amesikitishwa na kifo cha baba yake lakini hana jinsi kwani Mungu amempenda zaidi na hiyo ni njia ya kila mmoja. Staa wa filamu za kibongo, William...

 

10 years ago

Habarileo

Mtoto wa Kingunge amgeuka baba yake

MTOTO wa mwanasiasa mkongwe nchini Kingunge Ngombale Mwiru, Kunje amempinga baba yake na kusema kwamba hawezi kuleta mabadiliko yoyote kwa kushirikiana na Ukawa kama ambavyo wamekuwa wakijinadi.

 

9 years ago

Mwananchi

Baba wa kambo ambaka binti yake

Watoto wawili wenye umri wa miaka 13 wamebakwa kwa nyakati tofauti, huku mmoja akidaiwa kufanyiwa ukatili huo na baba yake wa kambo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nisher amzawadia tuzo baba yake

BAADA ya kushinda katika Tuzo za Watu 2014 zinazoandaliwa na mtandao wa Bongo5, mtayarishaji wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nisher, ameamua kumkabidhi baba yake mzazi tuzo hiyo. Nisher, ni...

 

10 years ago

Vijimambo

Mbaroni akidaiwa kumuua baba yake

amanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime.
Mkazi wa Kitongoji cha Nyamorege kilichopo Mtaa wa Forodhani mji mdogo wa Sirari Wilaya ya Tarime mkoani Mara, Marwa Kihiri Mwita, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi Kihiri Mwita kinyama kwa kumpiga na koleo kichwani na ubavuni.

Vilevile inadaiwa kuwa mtuhumiwa huyo alijeruhiwa kwa kucharangwa kwa panga na baba yake huyo kabla ya kumjeruhi kwa kumpiga na koleo kichwani na ubavuni baada ya kuzuka ugomvi baina...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani