Beyonce na Jay Z washtakiwa na mwimbaji wa Hungary kwa kudaiwa kutumia sauti yake bila idhini kwenye ‘Drunk In Love’
Mwimbaji wa Hungary amewashtaki Jay Z, Beyonce na Timberland kwa madai ya kutumia sauti yake kwenye wimbo wa ‘Drunk In Love’ bila idhini yake. Kwa mujibu wa TMZ, mwimbaji huyo wa kike aitwaye Monika Miczura Juhasz a.k.a Mitsou, amedai kuwa mastaa hao wali-sample wimbo wake uliorekodiwa mwaka 1995 uitwao “Bajba, Bajba Pelem.” Mitsou amedai kulipwa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo522 Dec
Jay Z na Beyonce washinda kesi ya kuhusiana na wimbo wao ‘Drunk In Love’
![2C44A24800000578-3232877-Happy_times_Beyonce_34_looked_stunning_in_a_white_bralet_bikini_-a-157_1442166927853](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/2C44A24800000578-3232877-Happy_times_Beyonce_34_looked_stunning_in_a_white_bralet_bikini_-a-157_1442166927853-300x194.jpg)
Jay Z na Beyonce wameshinda kesi iliyofunguliwa na muimbaji wa Hungary aliyedai kuwa wanandoa hao walitumia sauti yake kwenye wimbo wao ‘Drunk In Love.’
Muimbaji huyo aitwaye Mitsou aliwashtaki The Carters kwa kutumia sauti yake kwenye sekunde 90 za wimbo huo. Sample ni kutoka kwenye wimbo ‘Gypsy Life on the Road’ uliachiwa Marekani mwaka 1997. Alikuwa akitaka alipwe fidia kutokana na kutumika bila ridhaa yake.
Mitsou alifungua kesi hiyo chini ya sheria za haki za kiraia (Civil Rights Law)...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YKlX7ItxqukzCDO2DTPmSRtPZgBB0Jp4sDo4wJFYFfR0caQbJdFkBCGenSJKxZiTOZ5yYvB*lMV1Qijf28oQ*IJRtypDqQEb/BEYONCE.jpg?width=650)
JAY Z AMFANYIA BEYONCE ‘SURPRISE’ KWENYE BETHIDEI YAKE
11 years ago
GPL06 Feb
9 years ago
StarTV17 Dec
Nape aonya vyombo vya habari kutumia miziki ya wasanii bila idhini ya COSOTA
Serikali imetoa tamko kwa vyombo vyote vya habari nchini kuanzia january mosi mwakani kutokutumia miziki ya aina yeyote ule wa ndani au nje bila kibali kutoka Cosota.
Wakitoa tamko hilo kwa pamoja waziri wa habari michezo na utamaduni Nape Nnauye na waziri wa viwanda na biashara Charles Mwijage wamewataka wamiliki wa vyombo vya habari kutoa ushirikiano.
Nape amesema atalisimamia zoezi hilo na kutoa tahadhari kwa chombo chochote cha habari kitachokiuka tamko hilo hatakionea haya kukifungia...
9 years ago
StarTV17 Dec
Nape aonya vyombo vya habari kutumia muziki ya wasanii bila idhini ya COSOTA
Serikali imetoa tamko kwa vyombo vyote vya habari nchini kuanzia january mosi mwakani kutokutumia muziki wa aina yeyote ule wa ndani au nje bila kibali kutoka Cosota.
Wakitoa tamko hilo kwa pamoja waziri wa habari michezo na utamaduni Nape Nnauye na waziri wa viwanda na biashara Charles Mwijage wamewataka wamiliki wa vyombo vya habari kutoa ushirikiano.
Nape amesema atalisimamia zoezi hilo na kutoa tahadhari kwa chombo chochote cha habari kitachokiuka tamko hilo hatakionea haya kukifungia...
9 years ago
Bongo521 Oct
Picha: Jay Z na Beyonce waoneshana mahaba kwa ku-kiss jukwaani kwenye tamasha la Tidal X: 1020
10 years ago
Bongo504 Feb
Beyonce na Jay Z kuhamia L.A kutoka New York, wamwandikisha Blue Ivy kwenye shule ya milioni 25 kwa mwaka
11 years ago
Bongo507 Aug
Video: Akon adai ndoa ya Jay Z na Beyonce ni ya biashara, The Carters wakaa kwenye hoteli ya tshs mil.50 kwa usiku 1