Nape aonya vyombo vya habari kutumia muziki ya wasanii bila idhini ya COSOTA
Serikali imetoa tamko kwa vyombo vyote vya habari nchini kuanzia january mosi mwakani kutokutumia muziki wa aina yeyote ule wa ndani au nje bila kibali kutoka Cosota.
Wakitoa tamko hilo kwa pamoja waziri wa habari michezo na utamaduni Nape Nnauye na waziri wa viwanda na biashara Charles Mwijage wamewataka wamiliki wa vyombo vya habari kutoa ushirikiano.
Nape amesema atalisimamia zoezi hilo na kutoa tahadhari kwa chombo chochote cha habari kitachokiuka tamko hilo hatakionea haya kukifungia...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV17 Dec
Nape aonya vyombo vya habari kutumia miziki ya wasanii bila idhini ya COSOTA
Serikali imetoa tamko kwa vyombo vyote vya habari nchini kuanzia january mosi mwakani kutokutumia miziki ya aina yeyote ule wa ndani au nje bila kibali kutoka Cosota.
Wakitoa tamko hilo kwa pamoja waziri wa habari michezo na utamaduni Nape Nnauye na waziri wa viwanda na biashara Charles Mwijage wamewataka wamiliki wa vyombo vya habari kutoa ushirikiano.
Nape amesema atalisimamia zoezi hilo na kutoa tahadhari kwa chombo chochote cha habari kitachokiuka tamko hilo hatakionea haya kukifungia...
10 years ago
MichuziMwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba avitaka Vyombo vya Habari kuandika habari bila kupotosha Umma.
10 years ago
GPLMWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA AVITAKA VYOMBO VYA HABARI KUANDIKA HABARI BILA KUPOTOSHA UMMA
10 years ago
Dewji Blog28 Aug
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta avitaka Vyombo vya Habari kuandika habari bila kupotosha Umma
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongea na waandishi wa Habari huku akiwaasa kuacha chuki katika masuala yanayohusu mchakato wa Katiba.
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.
MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta amevitaka vyombo vya habari nchini kuacha uchochezi na chuki wakati vinapohabarisha umma kuhusiana na mchakato wa Katiba Mpya.
Kauli hiyo nimetolewa leo na Mhe. Sitta wakati alipokutana na baadhi ya waandishi wa habari katika viwanja vya...
10 years ago
Dewji Blog06 Feb
Nape aanza ziara kwenye vyombo vya habari
Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali, Bwana Gabriel Lyimo Nderumaki ( wa pili kutoka kushoto) akielezea masuala mbali mbali yanayohusu tasinia ya habari wakati wa mkutano na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye uliofanyika kwenye ofisi za Kampuni ya Magazeti ya Serikali,Tazara jijini Dar es Salaam.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza wakati wa kikao chake na Viongozi na waandishi wa Magazeti ya Serikali alipowatembelea ikiwa sehemu...
10 years ago
Dewji Blog07 Feb
Ziara ya vyombo vya habari yamkutanisha Nape na Mbowe
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnuye akikutana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe alipofika katika Ofisi za Free Media, wachapishaji wa gazeti la Tanzania Daima, jana akiwa katika ziara katika vyombo vya habari ambayo aliianza juzi, jijini Dar es Salaam.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana kwa furaha na Mhariri Mtendaji wa Free Media, Nevile Meena alipowasili kwenye kampuni hiyo leo akiwa katika ziara kwenye vyombo vya habari mjini Dar es Salaam
Nape...
10 years ago
Dewji Blog23 Jun
10 years ago
Dewji Blog26 May
Wamiliki wa vyombo vya Habari nchini MOAT wapinga mswada wa sheria ya Vyombo vya Habari
Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Dk. Reginald Mengi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mswada wa sheria ya vyombo vya habari ambao ulitaka kuwasilishwa bungeni kwa dharula. Kulia ni Mwanasheria, Godfrey Mpandikizi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Sahara Comminication, Samuel Nyalla (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Saed Kubenea kutoka Mwanahalisi Publishers na Mwanasheria, Godfrey...
9 years ago
CCM BlogNAPE AENDELEA NA ZIARA KATIKA VYOMBO VYA HABARI ATEMBELEA GAZETI LA RAIA TANZANIA LEO
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akizungumza na Wahariri wa gazeti la Raia Tanzania na Raia Mwema katia ofisi za magazeti hayo jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akisisitiza jambo wakati wa kikao na wahariri wa magazeti ya Raia Mwema na Raia Tanzania.
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akizungumza huku Mhariri Mkuu wa Magazeti ya Raia Mwema na Raia Tanzania Ndugu Godfrey Dilunga akimsikiliza kwa makini.
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10