Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VAI ADAI HANA SIFA ZA MKE

Msanii wa filamu asiyeishiwa vituko, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’. Imelda Mtema KATIKA hali ya kushangaza, msanii wa filamu asiyeishiwa vituko, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ amekiri kuwa tabia zake za kulewa kila siku zinamfanya kukosa sifa za kuwa mke wa mtu. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Vai alisema ameshazoea kupiga ulabu hata akiamka asubuhi, kitu kinachomshawishi kuamini kuwa ni vigumu kumpata...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KAMA HANA SIFA HIZI 5, USIKUBALI NDOA

Ni Jumanne nyingine ambapo mamilioni ya Watanzania masikio na macho ni kwenye matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika juzi, Jumapili nchini kote. Mimi kabla sijaendelea mbele na mada ya mapenzi, napenda kuwaasa Watanzania wenzangu kwamba, matokeo yoyote ya uchaguzi tuyapokee kama changamoto na kusubiri miaka mingine mitano. Hakuna haja ya kugombana wala kujengeana chuki. Tanzania ni nchi ya amani. Sasa turudi kwenye mada yetu ya...

 

10 years ago

GPL

MWANAMKE WA KUMUOA HANA SIFA ZA KUWA MPENZI

YES! Ni Jumanne tena, wenye imani haba husema kwa kawaida Jumanne si siku yenye baraka kifedha! Si kweli! Mungu alipoumba mbingu na dunia aliziona siku zote saba ni njema ila matumizi yetu wanadamu ndiyo yana kasoro! Jumanne ya leo Mungu ameniwezesha kuwafikia tena, ninakuja na mada nzuri sana. Kwamba, Mwanamke wa Kumuoa Hana Sifa za Kuwa Mpenzi.Wengi wanaweza kupingana na huu utafiti wangu lakini nawaomba wasome mada hii mwanzo...

 

10 years ago

Bongo5

Quick Rocka adai hana tofauti na Nahreel

Rapper Quick Rocka amedai kuwa hana tofauti yoyote na producer wa The Industry, Nahreel licha ya kuwepo tetesi mtaani kuwa hawaelewani tena. Nahreel alikuwa producer wa studio ya Quick, Switch Records kabla ya kuondoka na kwenda kuanzisha studio yake, The Industry. Hatua hiyo ilidaiwa kuharibu uhusiano wao japo tayari Quick ameshapata producer mwingine aitwaye Lufa. […]

 

10 years ago

Bongo5

Wema Sepetu adai hana uwezo wa kuzaa, post yake yawaliza wengi!

Wema Sepetu ana huzuni moyoni. Amepata vyote lakini si mtoto na mbaya zaidi hana uwezo wa kumpata, kwa mujibu wa maelezo yake kwenye Instagram. Wema aliamua kuandika post ndefu kwenye Instagram kuelezea jambo hilo baada ya post ya mwanzo aliyokuwa akimpongeza Hamisa Mobeto kwa kupata mtoto kuambulia maneno ya kashfa kutoka kwa baadhi ya followers […]

 

10 years ago

Bongo5

Hamisa Mobetto adai kuzaa hakujamuondolea sifa zake za uanamitindo

Mlimbwende Hamisa Mobetto aliyepata mtoto miezi kadhaa iliyopita, amedai kuwa enzi za kuogopa kuzaa kisa kazi hiyo zimepitwa na wakati. Mobetto ambaye amezaa na DJ mkongwe nchini, Majay amesema baada ya kujifungua amerudi kwenye kazi yake na anaimudu vizuri bila kuathiri upande wowote. “Unajua kila kitu ni mipango, unatakiwa kuangalia familia yako inahitaji nini na […]

 

10 years ago

GPL

MKE WA SHETTA ADAI TALAKA

Musa Mateja na Imelda Mtema
KIMENUKA! Siku chache baada ya habari ya staa wa Bongo Fleva anayesumbua na wimbo wa Shikorobo, Nurdin Bilal ‘Shetta’ kudaiwa kulala chumba kimoja na mwigizaji Rose Ndauka kuandikwa gazetini, mkewe Neila Yusuf ameshindwa kuvumilia na kudai talaka yake, Risasi Mchanganyiko linakujuza. Staa wa Bongo Fleva anayesumbua na wimbo wa Shikorobo, Nurdin Bilal ‘Shetta’ akiwa na...

 

11 years ago

GPL

MUME ADAI KUKIMBIWA NA MKE!

Stori: Mayasa Mariwata
Kweli? Jamaa aliyejitambulisha kwa jina la Ally Musa, mkazi wa Moshi mkoani Kilimanjaro anadai kukimbiwa na mkewe aliyemtaja kwa jina moja la Sauda. Bw. Ally Musa anyedai kukimbiwa na mkewe(Sauda). Akizungumza na gazeti hili, mume wa Sauda alisema kwamba, mkewe huyo ambaye alifunga naye pingu za maisha mwaka 2009, siku zote za maisha yao ya ndoa walikuwa wakiishi kwa amani na furaha tele… ...

 

11 years ago

Bongo5

Jux: Vanessa Mdee ana kila sifa ya kuwa mke

Jux amekanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake Vanessa Mdee na kudai kuwa Vanessa ni mshikaji wake tu lakini amekiri kuwa muimbaji huyo wa ‘Come Over’ ana kila sifa ya kuwa mke. Jux ambaye hivi karibuni alionekana kuwa karibu na Vanessa amesema Vanessa ni mtu wake wa karibu anayefanya kazi naye. “No ni […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani