Hamisa Mobetto adai kuzaa hakujamuondolea sifa zake za uanamitindo
Mlimbwende Hamisa Mobetto aliyepata mtoto miezi kadhaa iliyopita, amedai kuwa enzi za kuogopa kuzaa kisa kazi hiyo zimepitwa na wakati. Mobetto ambaye amezaa na DJ mkongwe nchini, Majay amesema baada ya kujifungua amerudi kwenye kazi yake na anaimudu vizuri bila kuathiri upande wowote. “Unajua kila kitu ni mipango, unatakiwa kuangalia familia yako inahitaji nini na […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo510 Oct
Picha: Hamisa Mobetto amuonesha mwanaye baada ya kufikisha miezi 6
10 years ago
Bongo512 Apr
Wema Sepetu adai hana uwezo wa kuzaa, post yake yawaliza wengi!
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/poNlDA9JoO2BV45oD64pFGlq6SI32e2TiITuhKRBV6nrWt7FzdcGO9bF3iCII8Sq0lTNjZX1Wej4sxBDLQm1P5*3DrB8fDAj/VAIVV.jpg)
VAI ADAI HANA SIFA ZA MKE
9 years ago
Mzalendo Zanzibar22 Aug
Mgombea wa CUF adai kutekwa na kuporwa fomu zake
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja, Mkadam Khamis Mkadam. Na Rahma Suleiman 20th August 2015 Mgombea ubunge wa Chama cha Wananchi (CUF) amedai kutekwa, kutishwa na kuporwa fomu za kugombea katika jimbo la Shaurimoyo, […]
The post Mgombea wa CUF adai kutekwa na kuporwa fomu zake appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
StarTV09 Sep
Mlinzi wa kiwanja kwa zaidi ya miaka 20 adai haki zake
Serikali na taasisi za haki za binadamu zimeombwa kumsaidia mwananchi Issa Hassan Kilopola kupata haki yake ya kulipwa malimbikizo ya mshahara wa miaka 25 ya ulinzi wa Kiwanja nambari 24, Mtaa wa Mtambani B, Kata ya Jangwani jijini Dar es Salaam.
Mlinzi huyo anadai malimbikizo ya mshahara huo tangu mwaka 1990 kutoka kwa mmiliki wa awali wa kiwanja hicho Abbullih Majid anayedaiwa kufariki dunia.
Kiwanja hicho kwa sasa kinadaiwa kuuzwa kwa Mbunge aliyemaliza muda wake Suleiman...
10 years ago
Bongo Movies04 Mar
Wastara Afunguka Kumzimia Sharukhan, Adai Kubandika Picha Zake Chumbani!
“Mama weeee uwiiii jamani nakufa mwenzenu kwa huyu mtu mwanaume nampenda huyu daah.... Mpaka leo ajapta mpinzni ndani ya moyo wangu kwa pande za bollywood lov uuuuuu shaharukhan nikisema sana utakuwa uongo lakini ningekuwa mwanaume ningemcopy kilakitu katika uigizaji yaani toka mwaka 1991 naanza kumjua huyu jamaa nakumbuka nilibandika pic zake chumba kizima nikawa naongea nae kma namuona vile jamani mapenzi mabaya mapenzi yanaua hhhhha Lov U Sharukhan”.. Wastara aliandika maneno haya mara...
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Good News: Rock City Mall imekamilika, hizi ndio sifa zake kubwa usizozijua…(+Audio)
Kwa mara nyingine tena nakusogezea stori kutokea Mwanza kuhusiana na jengo jipya la Rock City Mall ambalomiezi kadhaa iliyopita lilianza kuchukua headlines baada ya kuonekana ndio Shopping Mall kubwa kuwahi kujengwa katika jiji hilo. hapa nakukutanisha na Joseph Mlinzi kabibu wa kampuni iliyojenga jengo hilo. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa […]
The post Good News: Rock City Mall imekamilika, hizi ndio sifa zake kubwa usizozijua…(+Audio) appeared first...
9 years ago
Bongo510 Oct
Kala Jeremiah adai nyimbo zake haziitaji kusafiri nje kufanya video
9 years ago
Dewji Blog07 Dec
Pires amwagia sifa Wanyama, asema ana sifa zote za kucheza Arsenal
Robert Pires.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mchezaji wa zamani wa Arsenal, Robert Pires amemsifia mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya na Southampton, Victor Wanyama na kuwa ana sifa za kucheza Arsenal kutokana na ubora alionao.
Pires aliulizwa na mwandishi wa habari wa Kenya kuhusu uwezo wa Wanyama na kusema kuwa amekuwa akimwangalia mchezaji huyo na anamwona kama mchezaji mwenye uwezo mzuri ambao kama akiongeza juhudi anaweza katika ubora wa wachezaji bora wa dunia.
“Namjua Wanyama, ni balozi...