Picha: Hamisa Mobetto amuonesha mwanaye baada ya kufikisha miezi 6
Mwanamitindo Hamisa Mobetto ambaye sasa ni mama, amepost picha za mtoto wake huyo wa kike aliyefikisha umri wa miezi 6. Mobetto ambaye amezaa na Dj mkongwe nchini, Majay amepost picha za mtoto huyo Instagram na kuandika; “Happy six month my little mermaid I love you Mwanangu #GodWin @Misfansy @Misfansy #cutekidsclub”. Kwenye picha nyingine ameandika; “Mapozi […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo511 Oct
Picha: Hamisa Mobeto amuonesha mwanaye baada ya kufikisha miezi 6
9 years ago
Bongo508 Sep
Hamisa Mobetto adai kuzaa hakujamuondolea sifa zake za uanamitindo
10 years ago
Bongo Movies11 Apr
Picha: Hizi za Hamisa Mobeto Akiwa Mjamzito Zawa Gumzo
Picha za mwanamitindo ambaye pia amewahi kucheza filamu kadhaa, Hamisa Mobeto akiwa na ujauzitoo zimewashangaza wengi leo huko kwenye mtandao wa Instagram kwani sio tu ameonenaka na ujauzito bali habari zilizotoka na picha hizo ni kwamba mwanadada huyo tayari ameshajifungua mtoto wa kike siku kadhaa zilizopita.
Tofauti na mastaa wengi , ujauzito wa staa huyu ulikuwa siri na wengi hatukujua. Hongera sana Hamisa Mobeto.
Mzee wa Ubuyu
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-fF26g4OBHLg/XkkmSopY9BI/AAAAAAABzBM/njqcjJhMNq4-jgJtBWaXkEh2zOc_Qm6JQCLcBGAsYHQ/s72-c/ome2.jpg)
BAADA YA KUFIKISHA UMEME VIJIJINI TANESCO YAZIDISHA KAMPENI YA KUWAHAMASISHA WANAVIJIJI KUCHANGAMKIA FURSA HIYO
SHIRIKA la umeme Tanzania TANESCO kupitia idara ya masoko imeanza zoezi la kutoa elimu kwa wananchi wa wilaya na vijiji vya mkoa wa Tabora.Lengo la utoaji huo wa elimu ni kuwaelimisha wananchi wanaopitiwa na mradi wa REA awamu ya tatu(REAIII) kufahamu taratibu za kuunganishiwa umeme pamoja kuchangamkia fursa za mradi kabla hazijaisha. Miongoni mwa wilaya ambazo tayari zimepitiwa na na sasa ziko kenye zoezi hilo la kupatiwa elimu ni wilaya ya Uyui, Sikonge, na baadae zitafuatiwa na wilaya ya...
9 years ago
BBCSwahili08 Sep
Mtoto aliyeibiwa apatikana baada ya miezi 4
10 years ago
Dewji Blog16 Oct
Baada ya mapumziko ya miezi 4, Lady Jaydee is BACK!
Baada ya mapumziko ya miezi 4, Lady Jaydee is BACK!!! tarehe 31 October pale MOG Bar & Restaurant (zamani NYUMBANI LOUNGE).
5 years ago
BBCSwahili28 Feb
Jamaa afukuliwa miezi miwili baada ya kuzikwa
5 years ago
BBCSwahili12 Jun
Mtoto akutana na wazazi wake miezi 10 baada ya kuzaliwa
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-mFdqwSJG6RQ/XuzH-ZrSliI/AAAAAAALupw/VmbnxB31NNYHx7aFnRFWaU7K6bU1aRxIgCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-19%2Bat%2B5.08.00%2BPM.jpeg)
Baada ya mapumziko ya miezi mitatu, mpira unazunguka miguuni tena
![](https://1.bp.blogspot.com/-mFdqwSJG6RQ/XuzH-ZrSliI/AAAAAAALupw/VmbnxB31NNYHx7aFnRFWaU7K6bU1aRxIgCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-19%2Bat%2B5.08.00%2BPM.jpeg)
Kurejea kwake ni kama mpira halisi umemkuta anae bashiri, na ofa maalum kutoka Meridian huwezi kuikataa kwani kuna ofa ya machaguo Zaidi ya 5000 kwa siku tatu tu!
Hali ilivyo sio ya kutabirika - Lazio wapo makini kwenye mashindano wakiwa alama moja nyuma ya Juventus, ambao tayari wamepoteza Kombe la nyumbani dhidi ya wapinzani wao Napoli....