Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jamaa afukuliwa miezi miwili baada ya kuzikwa

Familia moja nchini kenya imefukua mwili wa jamaa yao kutekeleza agizo lake la kuzikwa na pakiti ya sigara pamoja na peremende anzozipenda

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BAADA YA KUZIMIA KWA MIEZI MIWILI, BOBBI KRISTINA AZINDUKA

Bobbi Kristina. Bobbi Kristina ambaye ni mtoto wa nguli wa muziki Bobby Brown na marehemu Whitney Houston, amezinduka baada ya kupoteza fahamu kwa zaidi ya miwili kutokana na kilichoelezwa kuwa ni matumizi ya dawa za kulevya. Bobbi Kristina akiwa na baba'ke Bobby Brown.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na tovuti ya MTV na kuthibitishwa na Bobby Brown na shangazi yake, binti huyo amefumbua macho na sasa hatumii tena mashine ya...

 

10 years ago

GPL

APOTEZA FAHAMU KWA MIEZI MIWILI

JOSEPH Matitu anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 50  ambaye hajajulikana kuwa ni mkazi wa wapi, ameokotwa na wasamaria wema Machi 13, mwaka huu baada ya kudondoka ghafla na kupoteza fahamu. Joseph Matitu anayedaiwa kupoteza fahamu kwa miezi miwili, akiendelea kupata matibabu.
Kwa mujibu wa mtoa habari wetu, Matitu aliokotwa Kibaha, mkoani Pwani baada ya watu kumuona akiwa amelala chini, wakahisi alikuwa amefariki dunia....

 

10 years ago

BBCSwahili

Sami Khedira nje miezi miwili

Kiungo wa klabu ya Juventus Sami Khedira atakua nje ya uwanja kwa miezi miwili

 

9 years ago

Bongo5

Messi kukaa nje kwa miezi miwili

Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha miezi miwili ijayo kufuatia jeraha la goti. Mshambuaji huyo wa Argentina aliumia katika mechi ya ligi kuu ya Hispania dhidi ya Las Palmas ambapo Barcelona ilishinda mechi hiyo kwa mabao 2-1. Messi, 28 aliondolewa uwanjani na kukimbizwa hospitali katika dakika ya 3 ya […]

 

10 years ago

Mwananchi

PAC yahoji mkuu wa wilaya kuishi hotelini miezi miwili

Dar es Salaam. Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), imebaini madudu katika taarifa za hesabu za mikoa ya Mara na Tanga kwa mwaka 2013/14, zilizowasilishwa kwenye kikao cha kamati hiyo kilichofanyika jijini hapa.

 

10 years ago

Bongo5

PhD ya miezi miwili aliyopewa mke wa Mugabe yawakasirisha wanachuo

Chama cha wanachuo nchini Zimbabwe, Ijumaa hii kimeutaka uongozi wa chuo kikuu cha Zimbabwe kujiuzulu baada ya kumpatia mke wa rais Robert Mugabe, PhD miezi miwili tu baada ya kuanza masomo. Huchukua zaidi ya miaka mitatu hadi minne kwa mwanafunzi wa kawaida ili kupata PhD. PhD hiyo ilitolewa kwa Grace Mugabe, 49 aliyekuwa mpiga chapa […]

 

11 years ago

Michuzi

MAGUFULI AKAGUA DARAJA LA NANGOO PAMOJA NA UJENZI WA BARABARA YA NDUNDU —SOMANGA, AMPA MKANDARASI MIEZI MIWILI KUIKAMILISHA

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli amempa muda wa miezi miwili mkandarasi anayejenga barabara ya Ndundu-Somanga kufanya kazi usiku na mchana ili kumaliza kazi hiyo haraka bila kutoa visingizio vyovyote. Waziri wa Ujenzi aliitoa kauli hiyo leo katika kijiji cha Manzese, Wilayani Kilwa mkoani Lindi wakati alipofanya ziara ya kushtukiza katika eneo hilo la ujenzi. Aidha, Dkt. Magufuli alisema kuwa mkandarasi huyo ameshalipwa fedha zote alizokuwa ana dai hivyo anachotakiwa ni kufanya...

 

9 years ago

MillardAyo

Watu na mbinu zao, jamaa kavunja sheria za barabarani, baada ya askari kuja akavua nguo ili … (+Pichaz)

Katika maisha watu wana mbinu nyingi za kuhakikisha malengo au mipango yao inafanikiwa kwa kutumia mbinu tofauti tofauti. Mtu wangu wa nguvu katika pita pita zangu mitandaoni nikaingia lindaikejeblog. Tanzania tumezoea kuona madereva wa daladala wakiwashawishi traffic kwa njiani tofauti tofauti ili kukwepa adhabu au faini. Hii imetokea Lagos Nigeria dereva wa basi, baada ya kuvunja […]

The post Watu na mbinu zao, jamaa kavunja sheria za barabarani, baada ya askari kuja akavua nguo ili …...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani