Messi kukaa nje kwa miezi miwili
Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha miezi miwili ijayo kufuatia jeraha la goti. Mshambuaji huyo wa Argentina aliumia katika mechi ya ligi kuu ya Hispania dhidi ya Las Palmas ambapo Barcelona ilishinda mechi hiyo kwa mabao 2-1. Messi, 28 aliondolewa uwanjani na kukimbizwa hospitali katika dakika ya 3 ya […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili04 Aug
Sami Khedira nje miezi miwili
Kiungo wa klabu ya Juventus Sami Khedira atakua nje ya uwanja kwa miezi miwili
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/80HUFF25OCBEtWc2Cf9ZTf5o*0Q7OBWkD2egsOSjgOm4eBVDwfjdlEaYBI5b1yguoFxtMFDEPiGGEPQpJzfRG4riPHNzJMnC/Mgonjwa.jpg?width=650)
APOTEZA FAHAMU KWA MIEZI MIWILI
JOSEPH Matitu anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 50Â ambaye hajajulikana kuwa ni mkazi wa wapi, ameokotwa na wasamaria wema Machi 13, mwaka huu baada ya kudondoka ghafla na kupoteza fahamu. Joseph Matitu anayedaiwa kupoteza fahamu kwa miezi miwili, akiendelea kupata matibabu.
Kwa mujibu wa mtoa habari wetu, Matitu aliokotwa Kibaha, mkoani Pwani baada ya watu kumuona akiwa amelala chini, wakahisi alikuwa amefariki dunia....
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pgHCO1djFo45mifnQvhAkwS8Hsx9*Y6y6l37jjJJHkNNQyaMWG0SVPQ-08xLmEWnvEUV2DiQ*9ro1ZiYRtDFxfSRveFASF6u/bobbikristinab768.jpg?width=650)
BAADA YA KUZIMIA KWA MIEZI MIWILI, BOBBI KRISTINA AZINDUKA
Bobbi Kristina. Bobbi Kristina ambaye ni mtoto wa nguli wa muziki Bobby Brown na marehemu Whitney Houston, amezinduka baada ya kupoteza fahamu kwa zaidi ya miwili kutokana na kilichoelezwa kuwa ni matumizi ya dawa za kulevya. Bobbi Kristina akiwa na baba'ke Bobby Brown.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na tovuti ya MTV na kuthibitishwa na Bobby Brown na shangazi yake, binti huyo amefumbua macho na sasa hatumii tena mashine ya...
9 years ago
BBCSwahili27 Sep
Messi nje kwa majuma 8
Mshambulizi hodari zaidi duniani Lionel Messi wa Barcelona hatashiriki mashindano yeyote kwa majuma 8 yajayo kufuatia jeraha la goti
5 years ago
BBCSwahili28 Feb
Jamaa afukuliwa miezi miwili baada ya kuzikwa
Familia moja nchini kenya imefukua mwili wa jamaa yao kutekeleza agizo lake la kuzikwa na pakiti ya sigara pamoja na peremende anzozipenda
10 years ago
Mwananchi09 May
PAC yahoji mkuu wa wilaya kuishi hotelini miezi miwili
Dar es Salaam. Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), imebaini madudu katika taarifa za hesabu za mikoa ya Mara na Tanga kwa mwaka 2013/14, zilizowasilishwa kwenye kikao cha kamati hiyo kilichofanyika jijini hapa.
10 years ago
Bongo527 Sep
PhD ya miezi miwili aliyopewa mke wa Mugabe yawakasirisha wanachuo
Chama cha wanachuo nchini Zimbabwe, Ijumaa hii kimeutaka uongozi wa chuo kikuu cha Zimbabwe kujiuzulu baada ya kumpatia mke wa rais Robert Mugabe, PhD miezi miwili tu baada ya kuanza masomo. Huchukua zaidi ya miaka mitatu hadi minne kwa mwanafunzi wa kawaida ili kupata PhD. PhD hiyo ilitolewa kwa Grace Mugabe, 49 aliyekuwa mpiga chapa […]
9 years ago
Bongo516 Oct
Real Madrid yapata pigo baada ya kiungo wake Luka Modric kukaa nje ya uwanja kwa wiki tatu
Klabu ya Real Madrid imepata pigo baada ya kiungo wake, Luka Modric kuumia akiwa na timu yake ya taifa ya Croatia katika mchezo dhidi ya Bulgaria. Mchezaji huyo aliumia nyonga na jeraha hili litamuweka nje ya uwanja kwa muda usiopungua wiki tatu. Modric amekuwa na matumaini makubwa ya kurudi uwanjani mapema kiasi cha kuwahi mchezo […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania