PAC yahoji mkuu wa wilaya kuishi hotelini miezi miwili
Dar es Salaam. Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), imebaini madudu katika taarifa za hesabu za mikoa ya Mara na Tanga kwa mwaka 2013/14, zilizowasilishwa kwenye kikao cha kamati hiyo kilichofanyika jijini hapa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/MASOGANGE5.jpg)
MASOGANGE LAIVU NA MIDUME MIWILI HOTELINI
Muuza nyago maarufu Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’. Hamida Hassan na Gladness Mallya AIBU jamani! Muuza nyago maarufu Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ ametia aibu baada ya kunaswa laivu hotelini akifanya yake na wanaume wawili tofauti, Ijumaa Wikienda linaripoti. Kwa mujibu wa chanzo cha karibu na Masogange, tukio hilo lilijiri katika Hoteli ya Lamada iliyopo Mbezi-Beach jijini Dar hivi karibuni baada ya mrembo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/80HUFF25OCBEtWc2Cf9ZTf5o*0Q7OBWkD2egsOSjgOm4eBVDwfjdlEaYBI5b1yguoFxtMFDEPiGGEPQpJzfRG4riPHNzJMnC/Mgonjwa.jpg?width=650)
APOTEZA FAHAMU KWA MIEZI MIWILI
JOSEPH Matitu anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 50Â ambaye hajajulikana kuwa ni mkazi wa wapi, ameokotwa na wasamaria wema Machi 13, mwaka huu baada ya kudondoka ghafla na kupoteza fahamu. Joseph Matitu anayedaiwa kupoteza fahamu kwa miezi miwili, akiendelea kupata matibabu.
Kwa mujibu wa mtoa habari wetu, Matitu aliokotwa Kibaha, mkoani Pwani baada ya watu kumuona akiwa amelala chini, wakahisi alikuwa amefariki dunia....
10 years ago
BBCSwahili04 Aug
Sami Khedira nje miezi miwili
Kiungo wa klabu ya Juventus Sami Khedira atakua nje ya uwanja kwa miezi miwili
5 years ago
BBCSwahili28 Feb
Jamaa afukuliwa miezi miwili baada ya kuzikwa
Familia moja nchini kenya imefukua mwili wa jamaa yao kutekeleza agizo lake la kuzikwa na pakiti ya sigara pamoja na peremende anzozipenda
9 years ago
Bongo528 Sep
Messi kukaa nje kwa miezi miwili
Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha miezi miwili ijayo kufuatia jeraha la goti. Mshambuaji huyo wa Argentina aliumia katika mechi ya ligi kuu ya Hispania dhidi ya Las Palmas ambapo Barcelona ilishinda mechi hiyo kwa mabao 2-1. Messi, 28 aliondolewa uwanjani na kukimbizwa hospitali katika dakika ya 3 ya […]
10 years ago
Bongo527 Sep
PhD ya miezi miwili aliyopewa mke wa Mugabe yawakasirisha wanachuo
Chama cha wanachuo nchini Zimbabwe, Ijumaa hii kimeutaka uongozi wa chuo kikuu cha Zimbabwe kujiuzulu baada ya kumpatia mke wa rais Robert Mugabe, PhD miezi miwili tu baada ya kuanza masomo. Huchukua zaidi ya miaka mitatu hadi minne kwa mwanafunzi wa kawaida ili kupata PhD. PhD hiyo ilitolewa kwa Grace Mugabe, 49 aliyekuwa mpiga chapa […]
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pgHCO1djFo45mifnQvhAkwS8Hsx9*Y6y6l37jjJJHkNNQyaMWG0SVPQ-08xLmEWnvEUV2DiQ*9ro1ZiYRtDFxfSRveFASF6u/bobbikristinab768.jpg?width=650)
BAADA YA KUZIMIA KWA MIEZI MIWILI, BOBBI KRISTINA AZINDUKA
Bobbi Kristina. Bobbi Kristina ambaye ni mtoto wa nguli wa muziki Bobby Brown na marehemu Whitney Houston, amezinduka baada ya kupoteza fahamu kwa zaidi ya miwili kutokana na kilichoelezwa kuwa ni matumizi ya dawa za kulevya. Bobbi Kristina akiwa na baba'ke Bobby Brown.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na tovuti ya MTV na kuthibitishwa na Bobby Brown na shangazi yake, binti huyo amefumbua macho na sasa hatumii tena mashine ya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4O6eIqcn6-7U6-tWg3W2wUbGCq-J2SKi5NPmEcoFH5NRqJjEj7L5lrS6*epsOnUmf-SW016SW0byQE4h-CGsEY*EDRx55amr/Mama.jpg?width=650)
MAMA WA MTOTO WA MIAKA MIWILI,ASEMA: ‘HATA MIMI NAPENDA KUISHI KAMA WENGINE’
Stori: Mwandishi Wetu NI kweli kama binadamu hujafa hujaumbika! Maana ya msamiati huu ni kwamba, siku binadamu anapoingia kaburini ndipo kuumbika kwake kulivyo!
Selitian Nata (25) mkazi wa Kijiji cha Kisogo Kata ya Vigwaza Wilaya ya Bagamoyo, Pwani amejikuta katika wakati mgumu kufuatia mguu wake wa kushoto kuvimba mfano wa tende kwa ugonjwa ambao bado haujapata tiba. Selitian Nata (25) mkazi wa Kijiji cha Kisogo Kata ya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania