Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA WA MTOTO WA MIAKA MIWILI,ASEMA: ‘HATA MIMI NAPENDA KUISHI KAMA WENGINE’

Stori: Mwandishi Wetu NI kweli kama binadamu hujafa hujaumbika! Maana ya msamiati huu ni kwamba, siku binadamu anapoingia kaburini ndipo kuumbika kwake kulivyo!
Selitian Nata (25) mkazi wa Kijiji cha Kisogo Kata ya Vigwaza Wilaya ya  Bagamoyo, Pwani amejikuta katika wakati mgumu kufuatia mguu wake wa kushoto kuvimba mfano wa tende kwa ugonjwa ambao bado haujapata tiba. Selitian Nata (25) mkazi wa Kijiji cha Kisogo Kata ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mama ajeruhi mtoto wake wa miaka miwili

Mtoto Christina Kusale (2) amelazwa katika Hospitali ya Mwananyamala baada ya kufanyiwa ukatili na mama yake mzazi kwa kumkata sehemu mbalimbali za mwili wake na kumsababishia maumivu makali.

 

10 years ago

Bongo5

AY asema mama yake na Sean Kingston humchukulia kama mwanae,’ hata kwenye Instagram yangu ana comment’

AY amesema kuwa ukaribu alionao na msanii Mjamaica-Mmarekani, Sean Kingston ni zaidi ya urafiki wa kikazi kiasi ambacho wanachkuliana kama kama familia. AY ameiambia Bongo5 kuwa mama yake Sean humchukulia kama mtoto wake na wanawasiliana mara kwa mara. “Yaani huyu jamaa ananipa support asilimia 100 huwezi kuamini ni mtu ambaye si yeye tu hadi mama […]

 

11 years ago

GPL

DENTI: HATA MIMI NILIPENDA KUWA KAMA NINYI

Kijana Amos Ng’arare Sasi mwenye umri wa miaka 21, mkazi wa Kijiji cha Kizaru, Kata ya Mryaza, Musoma vijijni anyesumbuliwa na uvimbe. Ni mateso makubwa.
Kwa karibu miaka 17 sasa, kijana Amos Ng’arare Sasi mwenye umri wa miaka 21, mkazi wa Kijiji cha Kizaru, Kata ya Mryaza, Musoma vijijni anataabika kwa ugonjwa ambao umempeleka katika hospitali nyingi bila mafanikio. Kama angeendelea na masomo yake vizuri, hivi...

 

9 years ago

Bongo5

Angelina Jolie: Mimi na Brad Pitt tuna matatizo kama wanandoa wengine

bradjelina_2980307b

Mastaa nao wapo kama sisi tu.

bradjelina_2980307b

Angelina Jolie alizungumzia maisha na mume wake Brad Pitt Jumapili ya Nov. 8, na kuweka wazi kuwa mastaa hao nao wana wakati wa shida na raha kama watu wengine kwenye uhusiano.

“Mimi na Brad tuna matatizo kama wanandoa wengine wowote,” Jolie, 40, aliliambia gazeti la The Telegraph wakati akipromote filamu yake mpya, By the Sea. “Tuna siku ambazo hujikasirisha vibaya sana lakini matatizo kwenye filamu hii sio yetu wenyewe.”

Filamu hiyo iliyoongozwa na Jolie...

 

10 years ago

Bongo5

Papa Francis asema atakufa baada ya miaka miwili au mitatu

Utamaduni wa kuachia madaraka ndani ya kanisa hilo linalotajwa kuwa na waumini wengi duniani uliasisiwa upya mwaka jana na mtangulizi wake, Papa Benedict XVI aliyeng’atuka kutokana na matatizo ya kiafya. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis kwa mara ya kwanza ametabiri hatima ya maisha yake duniani akisema kuwa anaamini Mungu anaweza kumpa muda wa […]

 

11 years ago

Mwananchi

UKATILI: Mtoto ateswa miaka miwili

>Mtoto Merina Mathayo (15) amelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (Moi) Muhimbili Dar es Salaam, baada ya kuteswa na kujeruhiwa  kichwani kwa kipigo maeneo mbalimbali ya mwili na bosi wake kwa miaka miwili.

 

10 years ago

GPL

MAMA: NISAIDIENI MWANANGU AWE KAMA WATOTO WENGINE

Na Makongoro Oging’ “Nisaidieni mwanangu awe kama watoto wengine,” ni maneno ya mama mzazi wa mtoto Azimina Abdallah (miezi 11),  mkazi wa Zanzibar, Unguja anayeishi kwa mateso na maumivu makali kutokana na jicho kuvimba tangu azaliwe. Kwa sasa mama mzazi wa mtoto huyo aitwaye Amina Mbaruku anahangaika naye huku baba yake akidaiwa kutoonekani kwa muda mrefu, hivyo kuchukua uamuzi wa kuiomba jamii imsaidie....

 

10 years ago

Bongo Movies

Nisha: Mimi ni Msanii Wa Filamu,Ila Napenda Muziki

Mwigizaji wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’ amesema japo kuwa anafanya sanaa ya uigizaji ila anapenda sana kuwa mwanamuziki.

Nisha aliyasema hayo hivi majuzi alipokuwa kwenye studio za THT pamoja na mastaa wengine wakirekoni wimbo maalumu wa maombolezo ya msiba wa marehemu Captain John Komba.

Kila la kheri Nisha kama kweli unakipaji,...nitafurahi kama ukija kivingine, uwe tofauti na kina shilole na H mama.

Mzee wa Ubuyu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani