MAMA: NISAIDIENI MWANANGU AWE KAMA WATOTO WENGINE
![](http://api.ning.com:80/files/SWXdzvDqQaKbPBIekOqTykBdW98cq*yXV7hol7wMo9XPb7q-Gk7RoX8FvGHv00nhFwVLDpa7lM1Tb1ySd0FtdYnP2rF1R93G/Mtoto.jpg?width=640)
Na Makongoro Oging’ “Nisaidieni mwanangu awe kama watoto wengine,†ni maneno ya mama mzazi wa mtoto Azimina Abdallah (miezi 11), mkazi wa Zanzibar, Unguja anayeishi kwa mateso na maumivu makali kutokana na jicho kuvimba tangu azaliwe. Kwa sasa mama mzazi wa mtoto huyo aitwaye Amina Mbaruku anahangaika naye huku baba yake akidaiwa kutoonekani kwa muda mrefu, hivyo kuchukua uamuzi wa kuiomba jamii imsaidie....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies22 Jun
Aunty Ezekiel: Sipendi Mwanangu Awe Mwigizaji
Staa wa Bongo Movie,Aunty Ezekiel amefunguka kuwa hapendi mtoto wake aliyejifungua hivi karibuni aitwaye Cookie,awe mwigizaji wa filamu kama yeye.
Akizungumza na Clouds Fm,alisema kuwa atakachofanya kama mzazi anataka mtoto wake asome na kama akiwa mwigizaji basi iwe kama kazi yake ya ziada siyo anayoitegemea kwenye maisha yake.
‘’Binafsi sipendi mwanangu awe mwigizaji kama mimi,na siyo lazima kama mimi mama yake niwe mwigizaji na yeye awe hivyo kuna kazi nyingi ila ninachotaka asome sana...
9 years ago
Mtanzania22 Oct
Mzee Jangala: Nilitaka mwanangu awe mwanajeshi
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MKONGWE wa filamu za vichekesho nchini, Bakari Mbelemba maarufu kama Mzee Jangala, amesema alitamani mwanaye wa kwanza wa kiume awe mwanajeshi badala ya kuwa kwenye fani yake ya sanaa.
Mzee Jangala alisema enzi zao walikuwa wanaamini zaidi ukiwa na mtoto mwanajeshi kuna mambo mbalimbali atakuwa anaweza kuyatimiza kama atakuwa na nafasi kubwa.
“Chaguo la kwanza nilitaka mwanangu awe mwanajeshi, kama alikuwa anataka kuwa daktari au kufanya sanaa basi nilipenda avifanye...
10 years ago
Bongo Movies31 May
Kajala: Simruhusu Mwanangu Paula Awe na Simu
Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja amesema hawezi kumruhusu binti yake Paula kumiliki simu ya mkoni kwasasa.
Akiongea kwenye kipindi cha The Sporah Show hivi karibuni, Kajala alisema anaweza kufikiria kumruhusu kuwa na simu hadi pale atakapomaliza kidato cha nne.
Kajala alisema mtoto wake pia hayupo kwenye mtandao picha wa Instagram.
“Paula hana simu kabisa, sio tu simu ya Instagram hata tu kitochi, hana simu,” alisema.
“Na hawezi kuwa na simu labda mpaka afike form four, yaani...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4O6eIqcn6-7U6-tWg3W2wUbGCq-J2SKi5NPmEcoFH5NRqJjEj7L5lrS6*epsOnUmf-SW016SW0byQE4h-CGsEY*EDRx55amr/Mama.jpg?width=650)
MAMA WA MTOTO WA MIAKA MIWILI,ASEMA: ‘HATA MIMI NAPENDA KUISHI KAMA WENGINE’
10 years ago
Mtanzania10 Nov
Lowassa: Kiongozi awe na ngozi kama ya tembo
![Edward Lowassa](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Edward-Lowassa.jpg)
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa
NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowasa amesema viongozi wenye maono na wasioogopa kusemwa ndio wanaotakiwa katika dunia ya sasa.
Lowasa aliyasema hayo jana alipokuwa akizindua helkopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima na vitabu tisa vilivyoandikwa na Askofu wa kanisa hilo, Josephat Gwajima.
“Hapa duniani kuna viongozi wa aina mbili, kuna viongozi ambao kazi yao ni kusimamia mahesabu na viongozi wenye...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2Tkrz8bmcYjVHt7jDR72OwpHVdeKMIaK9gW2Zyd7vLR8pjP-MO4isqXd4z4CQAdRmTDP1m1dYXpJJ9eBBoQ5-OyoDfbkk-x7/mrembo.jpg)
MREMBO ALILIA MILIONI TANO ILI AWE KAMA ZAMANI
10 years ago
Vijimambo23 Sep
MREMBO ALILIA MILIONI TANO ILI AWE KAMA ZAMANI
MSICHANA Zuhuru Juma (27) mkazi wa Temeke jijini Dar, ambaye mguu wake mmoja umevimba kiasi cha kufikisha uzito wa kilo 75 na kumsababishia maumivu makali, anahitaji kiasi cha shilingi 5,000,000 ili aweze kufanyiwa upasuaji nchini India.Msichana Zuhuru Juma (27) mkazi wa Temeke jijini Dar, ambaye mguu wake mmoja umevimba kiasi cha kufikisha uzito wa kilo 75.Uvimbe huo unaomfanya alie kila mara uliifanya Kampuni ya Global Publishers kwa kushirikiana na Kipindi cha Mimi na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZNt8FIknlRNuYV7z4RaF1wy20diKojuRwwJBEPfWHkrWENEZkX2OzyVZFeJMblpA*Y-Bozffi2iKPp9tjUw1fP-d-b-O--XS/FrolaMtegoa.jpg)
MAMA KANUMBA: SITAACHA KUMUENZI MWANANGU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DbrwTSp7ycNX-4H2V46BAb5VLsC62N5u-ZRE9Clovc8i4-kKXu2YUUVHeNKxCKd4jddRR0OL9V-0SJLsMOmUgKQw6pS5w4cg/abambwa.jpg?width=650)
MSANII BONGO MUVI ABAMBWA MAKABURINI AWE KAMA WEMA NA LULU