Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSANII BONGO MUVI ABAMBWA MAKABURINI AWE KAMA WEMA NA LULU

Stori:  Waandishi wetu
Ulozi! Chipukizi sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Fetty’ amenaswa makaburini akiwanga katika kile kinachodaiwa kuwa ni kutekeleza masharti ya ‘sangoma’ ili ajipatie umaarufu na kuwafikia mastaa kama Wema Isaac Sepetu, Jacqueline Wolper Massawe na Elizabeth Michael ‘Lulu’. Chipukizi sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Fetty’. Kwa mujibu wa shuhuda wetu,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TABIA YA LULU KERO BONGO MUVI

Stori: Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata
WAMEANZA! Tabia ya staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ ya kutojumuika na wenzake kwenye matukio ya kijamii hasa matatizo inadaiwa kuwakera Klabu ya Bongo Movie Unity hivyo kuandaa kikao maalum cha kumkanya. Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’. Habari kutoka kwa chanzo chetu makini, zilidai kwamba malalamiko...

 

11 years ago

GPL

MSANII BONGO MUVI HALI MBAYA

Stori: Musa Mateja
MASKINI! Hali ya kiafya ya msanii wa Komedi Bongo, Ismail Issa Makombe ‘Mapembe’ inazidi kuwa mbaya kutokana na kuugua maradhi ya ini kwa muda mrefu huku ikidaiwa kuwa wasanii wenzake wamemtelekeza. Ismail Issa Makombe 'Mapembe' alivyo sasa. Mapembe ambaye anapiga mzigo katika Kampuni ya Al-Riyam inayozalisha kipindi cha vichekesho cha Vituko Show kinachorushwa kwenye Runinga ya Channel Ten,...

 

10 years ago

GPL

MSANII BONGO MUVI AIKIMBIA NYUMBA

Mayasa Mariwata na Gladness Mallya MAJANGA! Msanii wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu `Bozi’ amejikuta akifungasha virago na kuhama kwenye nyumba aliyokuwa akiishi maeneo ya Kinondoni jijini Dar kutokana na mjengo huo kutawaliwa na mauzauza yanayosadikiwa kuwa ya kishirikina.......Soma zaidi hapa===>http://bit.ly/1KcokWO

 

11 years ago

GPL

MSANII BONGO MUVI ANASWA AKIJIUZA

Stori: Waandishi Wetu
ILE skendo ya kukithiri kwa baadhi ya mastaa Bongo kujiuza imechukua sura mpya kufuatia msanii wa Bongo Movies, Isabella Francis ‘Vai wa Ukweli’ naye kunasa mtegoni, Ijumaa lina kisa kizima. Vai wa Ukweli akiwa mawindoni. Tukio hilo la aibu kwa tasnia ya sinema nchini lilijiri usiku wa kuamkia Jumanne iliyopita, Sinza ya Vatican jijini Dar es Salaam ambapo baada ya kuumbuka, Vai alijikuta...

 

10 years ago

GPL

MSANII BONGO MUVI ALIVYONUSA KIFO!

Mayasa Mariwat Pole! Msanii wa sinema za Kibongo, Ummy Mohammed amenusa kifo baada ya kunusurika kwenye ajali ya Basi la Al-Saeed alilopanda akitokea mkoani Morogoro kwenda Dar ambapo ameumia mkono wa kushoto. Msanii wa sinema za Kibongo, Ummy Mohammed akionekana na jeraha lake baada ya kunusurika katika ajali. Akilisimulia Ijumaa Wikienda mkasa mzima, Ummy ambaye ni mwigizaji mkongwe aliyeibuka staa kwenye Sinema ya Mke Mchafu,...

 

11 years ago

GPL

MSANII BONGO MUVI AFARIKI KWA AJALI

Stori: Gladness Mallya TASNIA ya filamu Bongo imepata pigo tena baada ya msanii aliyekuwa akichipukia kwa kasi, Patrick August ‘Bryton’ kufariki dunia kwa ajali mbaya ya pikipiki.Akizungumza na paparazi wetu, Mwenyekiti wa Sherehe na Maafa kwa wasanii wa Wilaya ya Kinondoni, Masoud Kaftany alisema Bryton alipata ajali usiku wa kuamkia Jumapili maeneo ya Tabata - Relini wakati akirejea kwao maeneo ya Tabata -...

 

9 years ago

Mtanzania

Lulu: Nampenda Wema kama dada yangu

lulu_instagramNA THERESIA GASPER

KAMA unafikiri kuna ugonvi kati ya waigizaji maarufu nchini, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ na Wema Sepetu, utakuwa umekosea, kwani hakuna ugomvi kati yao.

Lulu alieleza kwamba wamekuwa wakishirikiana na Wema Sepetu katika mambo mbalimbali, ikiwemo sherehe, misiba na mijumuiko mbalimbali.

“Nampenda Wema kama dada yangu na yeye ananipenda vile vile, nimekuwa nikihudhuria kwenye shughuli mbali mbali ambazo zinamhusu, nilishiriki vema katika msiba wa baba yake na sherehe zake...

 

11 years ago

GPL

BONGO MUVI KIMENUKA

Na Hamida Hassan
BONGO Muvi kimenuka! Viongozi wapya wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ (mwenyekiti) na William Mtitu (katibu), wametofautiana kauli na kuanza kurushiana maneno mazito wakitaka kukunjana mbele ya wajumbe wa klabu hiyo. Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Chanzo makini kilitonya kuwa, kilichosababisha kuibuka kwa ugomvi huo ni baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani